Tanzania Daima mitaani kwa kishindo. Lema na Lissu kuwasili nchini hivi karibuni.

Tanzania Daima mitaani kwa kishindo. Lema na Lissu kuwasili nchini hivi karibuni.

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
20220504_103601.jpg
 
Kumbe lipo hewani hili gazeti la Sauti ya watu!.

Ndio maana Mama amepiga mkwara kwa kusema akikunwa vizuri nae atakupapasa ila akiandikwa vibaya ataparura haya Magazeti tishio.
 
Lissu atarudi ila Lema kamwe hawezi kurudi ana madeni ya benki makubwa mno akirudi watauza nyumba yake.
 
Mataga and co mupo....Majabali ya Nchi ndani KUMEKUCHA

Mapokezi ya KISHINDO kuandaliwa
 
Anafungasha virago na wenzake...
Kamati ya chama iwaondoe Bungeni japo inaweza kuwasamehe tu waendelee kuwa wanachama. Maana kwenye Siasa hakunaga adui wakudumu. JPM ndio aliekiumiza Chama
 
Back
Top Bottom