Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
πππππππLissu atarudi ila Lema kamwe hawezi kurudi ana madeni ya benki makubwa mno akirudi watauza nyumba yake.
Unatetemeka wewe ni Gambo mkuu?Lissu atarudi ila Lema kamwe hawezi kurudi ana madeni ya benki makubwa mno akirudi watauza nyumba yake.
Anafungasha virago na wenzake...Halima Mdee!
Kamati ya chama iwaondoe Bungeni japo inaweza kuwasamehe tu waendelee kuwa wanachama. Maana kwenye Siasa hakunaga adui wakudumu. JPM ndio aliekiumiza ChamaAnafungasha virago na wenzake...