Tanzania Demoted back to LDC Status

Itabidi nirejeshe ile avatar yangu, nilikua nimewapandisha chati kumbe bado mpo hovyoo....

sasa utafanya kazi ya kutoa na kurudisha kila siku[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Reactions: nao

Vizuri naona mnajiandaa kisaikolojia, muhimu sana hivyo maana kwa namna mlivyo ving'ang'anizi mnaweza mkazingua hata mkishindwa, cha msingi ni atakayeshinda apewe uungwaji mikono ili afanikishe maendeleo kwenye nchi.
Pia mjiandae kuandika salamu za kutoa hongera kwa kiongozi wa upinzani ambaye ameshinda huko Ushelisheli na pia kumshukuru rais anayeondoka kwa kuachia bila vurugu.
 
Smart kenyans are all extinct nowdays...
When did IMF promote Tz? It was World Bank and they have never said a damn thing of demotion...
I swear, Tz is a big dick and a pain in your ass, Wiggling in..!!!.
Big cock [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Tanzania to continue being an LDC after electing a lunatic as president
 
Tanzania to continue being an LDC after electing a lunatic as president
Kwamba ulitegemea JPM hatochaguliwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkiambiwa wacheni kula propaganda za jukwaa la siasa na wanaharakati uchwara wa twitter hamsikii,

John Joseph Pombe Magufuli kiboko ya wakenya.
 
Nimefurahia kuchaguliwa kwake jamaa asiyejua biashara ndio Tz ibaki nyuma kabisa Kama LDC[emoji16][emoji16][emoji38][emoji1787]
Tena nchi isiyo na Uhuru na demokrasia thabiti haiendelei kamwe hata wajidanganye .
 
LDC kabisa UN United Nations has confirmed
When was Tanzania promoted for her to be demoted?

Compare Bangladesh with Kenya macro economically. Use any measurement that you want.
Bangladesh is LDC.
Conclusion?
 
Very sad lakini....sijui hawa majirani hukwama wapi, aidha uzembe uliokubuhu au sijui nini kwa kweli.
When was Tanzania promoted for her to be demoted?

Compare Bangladesh with Kenya macro economically. Use any measurement that you want.
Bangladesh is LDC.
Conclusion?
 
When was Tanzania promoted for her to be demoted?

Compare Bangladesh with Kenya macro economically. Use any measurement that you want.
Bangladesh is LDC.
Conclusion?

Hao Bangladesh unaokwenda kujificha nyuma ya mgongo wao tumewatupa kuleeeeee!!! Kwenye takwimu za "Median and mean wealth per adult, in US dollars"
Halafu kwenye hivyo viashiria nyie mpo "very poor"

Tatizo lenu kubwa uzembe na wizi, hata spika wenu amesema jana.
 
Yeah and who compiled those data?
What's next, number of dwellings made of iron sheets?
Just because you have diarrhea, it doesn't mean you aren't full of s#!t.
 
Yeah and who compiled those data?
What's next, number of dwellings made of iron sheets?
Just because you have diarrhea, it doesn't mean you aren't full of s#!t.

Umeanza kubwabwaja ilhali mwenyewe ulisema "use any measurement that you want".....hovyoo sana nyie watu.
Ndio maana spika wenu anawaona wa hovyoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…