Tanzania Economy to Surpass Kenya and Ethiopia by 2030

Normal Tz is so broke haezi lewa Kenya [emoji23][emoji23][emoji23]
Huko kenya wengi wenu mnakunywa changaa kwa sababu hamuwezi afford bia za maana,
Ndio maana huwa mkija huku mnalewa tu hamtamani tena kurudi kwenu kwenye maisha magumu yasiyofaa 😂😂😂
Wakati huku mtu akiwa na elfu kumi ana bia kumi 😂😂😂
 
Wale omaomba wenu wanafanya nini Kenya mahali maisha ni magumu?
 
Wale omaomba wenu wanafanya nini Kenya mahali maisha ni magumu?
Hao ni wale wanaoishi mpakani alafu wakatoroshwa na wakenya ili waje kufanywa vitega uchumi wenu,
Maisha ya kenya magumu mnoo.

TZ is $1100
Mkuu, hiyo hesabu yao ya per capital ni ujinga tu. Wanajivisha kilemba cha ukoka...wanakufa na tai shingoni..kujimwambafai kwa data za kupika.

Angalia hapa, kwamba wakenya wote wana Simu hata watoto wachanga. Maana population kwa sensa ya juzi wako million 47. Ila watumiaji wa Simu wako millioni 46+

Hao ni wale wanaoishi mpakani alafu wakatoroshwa na wakenya ili waje kufanywa vitega uchumi wenu,
Maisha ya kenya magumu mnoo.

Your beggars come from as far as Tanga. Hizo ni kilometre ngapi?
 
Thats during peak hours Jioni na asubuhi. Normal ni 40 & 50
Tanzania bei ni moja ila kwa umbali wa km 45 nauli ni sh 800 mfano chanika . Ila hapo kwa Kenya km45 kuwa ksh70 hiyo ni Mara Mbili ya tz hivyo mishahara yenu kuwa juu inatokana na gharama za maisha Kenya ni zaidi ya Mara Mbili ya tz
 
First, I would like to correct you. Our population is 49 million people, not 47 million people as you say here. Secondly, I would just like to remind you that you have an average mind just like your fellow Tanzanians here and everywhere else. You don't stop for a second to to reason or think beyond your noses.

There's something called "double registration" In short mtu anaweza kumiliki laini mbili au tatu ama hata zaidi ya Safaricom and at the same time ako na zingine za Airtel or Orange all registered. When CAK compiles data, it compiles the number of "subscribers" not the number of people who own mobile phones. Personally, I have two Safaricom lines and an Airtel line, all of them active. Does that make me "three people" at the same time? Under CAK data, Al these three lines that I own are listed as subscribers but the fact is that they are owned by one person. I know it's a bitter pill to swallow but the fact remains that mobile phone penetration in Kenya is higher than any other country in EA. Ugua pole
 
Tanzania bei ni moja ila kwa umbali wa km 45 nauli ni sh 800 mfano chanika . Ila hapo kwa Kenya km45 kuwa ksh70 hiyo ni Mara Mbili ya tz hivyo mishahara yenu kuwa juu inatokana na gharama za maisha Kenya ni zaidi ya Mara Mbili ya tz
Chanika iko less than 18km toka Dar wacha uongo.
Huo umbali nikama kwenda Githurai apa Nairobi. Huko nauli ni hadi sh10

Ooh i forgot Dar metro aint that big
 
Hizo ni statistics straight from your ass.

Pombe ya maskini Kenya ni keg na kikombe kimoja 1/2 litre ni sh50

Nkileta makanga wa matatu huko wanakula wanawake wenu na kunywa mvinyo wote na kubaki na change.
 
keeep sleeping, ukiachana na kwamba thats 2030, some sectors tulishawaacha 100 years ahead mfano tourism hata mkicombine kenya + uganda bado hamuwezi ifikia Tz, your talking of 2030 while things are already happening
 
[emoji23][emoji23][emoji23]This means a normal Kenyan has higher spending power & richer so he/she party in Tz unlike you guys.

Natafuta 50k nteremke huko, najua ntakua millionaire instant pale[emoji4][emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…