Tanzania envoy temporarily deactivates Twitter account after criticism from Kenyans

You no longer making sense! Let me go take a bath.

Have a good day, and hello to all Kiberans.
 
You no longer making sense! Let me go take a bath.

Have a good day, and hello to all Kiberans.
Truth is never sense to a bongolala. Go have a bath. Urge your countrymen to understand the amount of corruption going on in your country.
 
musipoweka habari wazi, tutawasaidia.
huyo Simbakibuenye hatokaa aisahau siku kama ya leo maishani mwake kwa kipigo alichopokea.
huo ni mwanzo tu. uzuri, media za Kenya zipo huru, na wananchi pia wanajua haki zao. we will make you toe the line.
Lakini zimeshindwa kuwasaidia kupambana na ukabila, rushwa na njaa, Uhuru gani usiokua na msaada wowote kwa wananchi?
 
Siku zote tunawaambia kwamba wakenya hamna akili na wala hamjui mambo yanayotokea duniani na hata ndani ya nchi yenu, unawezaje kuuliza swali la kijinga kama hili na bado wenzako wajinga wakashabikia?. Hivi hujui kwamba kipindi Jaguar anatoa yale matamshi huyu hakuwa ni balozi hapo Kenya, aliyekua balozi ni yule mama aliyopokea wale Tausi?.

Ninyi wakenya ni watu wapuuzi sana, yule mama alipobadilishwa na kuteuliwa huyu wa sasa hivi, media zenu zilipiga sana kelele na kukosoa huo uteuzi kwa madai kwamba yule mama aliondolewa kwa sababu ya kutochukua msimamo mkali dhidi ya Kenya wakati wa misuguano kati ya Kenya na Tanzania kuhusu mapambano dhidi ya Corona, iweje Leo unauliza alikua wapi kipindi Jaguar anatoa matamshi ya uchochezi, inamaana hata hufuatilii vyombo vyenu vya habari?
 
What a heap of hogwash. Simply answer the question - are you developed or not? What are you doing in the LDC category? Stop being stupid. Abattoirs. What next? City clocks?🤣🤣🤣

Sindano imekuingia kwa mfupa.
🤣😂🤣
Uhuru n Umoja ukiona anatokwa na povu namna hiyo ujue umempa more and above the required dose. Good work, keep it up. 🤝🤝🤝
 
Balozi wa Tanzania nchini Kenya anawaambia Wakenya waandike ukweli.

Wakati serikali yake ya Tanzania inaficha ukweli.

Katika Information Theory wanasema, ukitaka habari ya kweli isambazwe, usiifiche, iweke wazi.

Ukificha ukweli, watu watasambaza chochote, hata uongo.

Serikali ya Tanzania kwa kuficha ukweli, inaalika uongo usambazwe.

Balozi wa Tanzania kabla ya kulaumu Wakenya, angeanza kwa kuishauri serikali yake yenyewe iache kuficha ukweli.
 
Sindano imekuingia kwa mfupa.
🤣😂🤣
Uhuru n Umoja ukiona anatokwa na povu namna hiyo ujue umempa more and above the required dose. Good work, keep it up. 🤝🤝🤝

Huyu NairobiWalker twajuana miaka mingi huko Skyscrapercity.com. Wengine ni Gezaulole ingawa kwa sasa tuna tofautiana, mwingine ni Bantugbro, Magufuli wetu huko skyscraper.
 
Manyang'au ya kwao yamewashinda, kudandia ya wenzao, endeleeni kuhangaika na corona huku Kenyatta akitafuna hela za vaccinations

Poleni sana kwa hii misiba ya maprofesa, ungepata elimu japo kiduchu ungeelewa gharama ya kumpoteza profesa, japo na hao wasomi wenu ni mabongolala pia maana na wao wameshakubali kuimbishwa nyimbo za korona haipo Tanzania na sasa wanapukutika balaa....

Hahahaha, I do agree with you, Tanzania there is tribalism, terrorism, hunger, police brutalit, terrorism, Nepotism, and land grabbers like Kenya, only because they are not reported. Hahahahahaha.
 
Huyu NairobiWalker twajuana miaka mingi huko Skyscrapercity.com. Wengine ni Gezaulole ingawa kwa sasa tuna tofautiana, mwingine ni Bantugbro, Magufuli wetu huko skyscraper.

Okay NairobiWalker is a qs by professional. So he has a very limited technical capacity and know how in the fields of economics, finance, social science issues etc.

Nilikuweko huko miaka ya nyuma. Lkn sasa sijaenda muda mrefu sana.
Anyways, good job to educate those morons, coz have psychological biases to any serious competitor.
 
Hawa wana bongoamka...

Tanzania is one of the poorest countries in the world. That's more than enough evidence.
MH! And yet Tanzania has surplus food for its people and Kenya, a rich country, has millions going hungry🥱

By the way, neither poverty nor wealth are evidence of corruption.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…