Rusumo one
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,458
- 4,283
rudi.domHaka kacorona ni kagojwa kadogo tu...
Jiwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
rudi.domHaka kacorona ni kagojwa kadogo tu...
Kenya 296.
Vifo 14.
Tanzania 254.
Vifo 10...
Hapo lazma roho ziwaume.
Sisi mnaotuita wakaidi tuna afadhari kuliko nyie.
MWILI UPO KENYA ROHO IPO TANZANIA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatujashinda Vita Wala hatujasema hivo. Tunajaribu kuwaelimisha muwache haya mazoea ya kujigamba eti nyie ndio munaotumia njia Bora kwa kila kitu navkuwatusi wenzenu kwa kila munachofanya. Mulianza kwa kupost nyuzi nyingi humu mkiwatusi Wakenya kwa measures walizochukua huku mukijigamba vile hamko affected Kama Kenya. Muliongea Kama mlioshinda Vita hata mukahubiri Kenya kwa makanisa yenu na kutuita wajinga. Sahii mambo imebadilika and you're being exposed sasa mmeanza kujifanya victims.Kwani kenya wameshashinda vita hii ya corona!!? Ooh hongereni sana
Hatujashinda Vita Wala hatujasema hivo. Tunajaribu kuwaelimisha muwache haya mazoea ya kujigamba eti nyie ndio munaotumia njia Bora kwa kila kitu navkuwatusi wenzenu kwa kila munachofanya. Mulianza kwa kupost nyuzi nyingi humu mkiwatusi Wakenya kwa measures walizochukua huku mukijigamba vile hamko affected Kama Kenya. Muliongea Kama mlioshinda Vita hata mukahubiri Kenya kwa makanisa yenu na kutuita wajinga. Sahii mambo imebadilika and you're being exposed sasa mmeanza kujifanya victims.
Corona ni janga la dunia nzima - Nchi Tajiri na Maskini ....
Lakini Corona ilipofika Kenya, WaTanzania wengi wakiongozwa na mwenyekiti wa Kamati Ya Roho Chafu - bwana joto la jiwe walifungua uzi hapa JF kusema vile ambavyo Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na Corona...
Uzi wenyewe haukuwa hata na Mbinu zozote ... ilikuwa tu kuichekelea Nchi ya Kenya ambayo ilikuwa na wagonjwa zaidi ya 100 wakati ule.
Ukijaribu kuwatuliza kidogo kuuliza swali "umepima watu 300 pekee, Kenya imepima zaidi ya 2500 wakati huo" , jibu lilikuwa matusi, "kama our target ilikuwa 300, unataka tutoe watu wa kupima wapi??? "..
The only thing that saves Tanzania is that they can cook numbers and muzzle the media..
From their economy to national projects to National disasters..
Badilikeni Muendelee kuishi..
View attachment 1425695
Corona ni janga la dunia nzima - Nchi Tajiri na Maskini
Lakini Corona ilipofika Kenya, WaTanzania wengi wakiongozwa na mwenyekiti wa Kamati Ya Roho Chafu - bwana joto la jiwe walifungua uzi hapa JF kusema vile ambavyo Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na Corona.
Uzi wenyewe haukuwa hata na Mbinu zozote, ilikuwa tu kuichekelea Nchi ya Kenya ambayo ilikuwa na wagonjwa zaidi ya 100 wakati ule.
Ukijaribu kuwatuliza kidogo kuuliza swali "umepima watu 300 pekee, Kenya imepima zaidi ya 2500 wakati huo" , jibu lilikuwa matusi, "kama our target ilikuwa 300, unataka tutoe watu wa kupima wapi?"
The only thing that saves Tanzania is that they can cook numbers and muzzle the media..
From their economy to national projects to National disasters..
Badilikeni Muendelee kuishi.
View attachment 1425695
Mimi ni mmoja kati ya watu waanaopinga "lockdown" au "Curfew" kwa sababu ambazo ni za kijamii na kiuchumi. Sina haja ya kuzitaja hapa kwa kuwa zimeandikwa na kujadiliwa sana humu JF.Corona ni janga la dunia nzima - Nchi Tajiri na Maskini ....
Lakini Corona ilipofika Kenya, WaTanzania wengi wakiongozwa na mwenyekiti wa Kamati Ya Roho Chafu - bwana joto la jiwe walifungua uzi hapa JF kusema vile ambavyo Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na Corona...
Uzi wenyewe haukuwa hata na Mbinu zozote ilikuwa tu kuichekelea Nchi ya Kenya ambayo ilikuwa na wagonjwa zaidi ya 100 wakati ule.
Ukijaribu kuwatuliza kidogo kuuliza swali "umepima watu 300 pekee, Kenya imepima zaidi ya 2500 wakati huo" , jibu lilikuwa matusi, "kama our target ilikuwa 300, unataka tutoe watu wa kupima wapi? "..
The only thing that saves Tanzania is that they can cook numbers and muzzle the media..
From their economy to national projects to National disasters.
Badilikeni Muendelee kuishi..
View attachment 1425695
Hatukuanza sisi nyinyi ndo mlianza saa chache baada ya raisi magufuli kuhutubia taifa,kupitia televisheni yenu mkamuita "mkaidi" kutokana na kuwa yeye aliamua kuwa unique,hakufuata njia yenu ya kudhibiti corona!!..tafsiri yake ni kwamba mliona mbinu yenu ni bora kuliko aliyoifuata Magufuli, kwa hiyo mjomba sisi wa tz ni watu wazuri sana huwa hatuna beef na mtu yeyote yule ila tu anayejifanya mjuaji dhidi yetu hatukuanza sisi,mlianza ninyi.Hatujashinda Vita Wala hatujasema hivo. Tunajaribu kuwaelimisha muwache haya mazoea ya kujigamba eti nyie ndio munaotumia njia Bora kwa kila kitu navkuwatusi wenzenu kwa kila munachofanya. Mulianza kwa kupost nyuzi nyingi humu mkiwatusi Wakenya kwa measures walizochukua huku mukijigamba vile hamko affected Kama Kenya. Muliongea Kama mlioshinda Vita hata mukahubiri Kenya kwa makanisa yenu na kutuita wajinga. Sahii mambo imebadilika and you're being exposed sasa mmeanza kujifanya victims.
Hatukuanza sisi nyinyi ndo mlianza saa chache baada ya raisi magufuli kuhutubia taifa,kupitia televisheni yenu mkamuita "mkaidi" kutokana na kuwa yeye aliamua kuwa unique,hakufuata njia yenu ya kudhibiti corona!!..tafsiri yake ni kwamba mliona mbinu yenu ni bora kuliko aliyoifuata magufuli....kwa hiyo mjomba sisi wa tz ni watu wazuri sana huwa hatuna beef na mtu yeyote yule ila tu anayejifanya mjuaji dhidi yetu...hatukuanza sisi,mlianza ninyi
Note:hadi sasa hakuna taifa linaloweza kusimama likijinadi kuwa limeshinda vita ya corona,dunia nzima iko chini ya giza totoro hadi sasa!
Ukaidi (stubbornness) yenu ilitajwa baada ya kuita Corona kaugonjwa na kwamba rais alitangaza live kwa taarifa za habari kuwa Corona ikiingia kanisani inaungua yenyewe, sasa hapo yeye kama rais lazima asemwe na dunia yote, magazeti yapo mengi yamemwandika kuhusu, sema kama ilivyo kawaida yenu lazima mlie sana sisi tukisema....hehehe
Sasa hivi ndio naona mumeanza kutia akili, naona kauli za kusema Corona itaungua kanisani zimeisha, mnahamasisha tahadhari, Makonda ambaye alikua akipiga kifua akisema watu wajitokeze wapige kazi, leo hii ndiye anasema watu wa mikoani wasije Dar maana watu wanapukutika....huwa mpo slow sana kwenye kuchambua nyakati, ona hizi picha mbili za kauli za rais wenu wa Dar es salaam
![]()
![]()
Tz si kubaya kama ulivyoaminishwa mambo yapo kama kawaida!Someone close to power tz told me ni kubaya,ndio sometimes naona hawa akina Geza, joto la ujinga and cohorts nashangaa tu, tz government is playing with its citizens life good thing they are not immune to it too
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mwache tu, ataelewa tu with time, wacha a worship uncleUkaidi (stubbornness) yenu ilitajwa baada ya kuita Corona kaugonjwa na kwamba rais alitangaza live kwa taarifa za habari kuwa Corona ikiingia kanisani inaungua yenyewe, sasa hapo yeye kama rais lazima asemwe na dunia yote, magazeti yapo mengi yamemwandika kuhusu, sema kama ilivyo kawaida yenu lazima mlie sana sisi tukisema....hehehe
Sasa hivi ndio naona mumeanza kutia akili, naona kauli za kusema Corona itaungua kanisani zimeisha, mnahamasisha tahadhari, Makonda ambaye alikua akipiga kifua akisema watu wajitokeze wapige kazi, leo hii ndiye anasema watu wa mikoani wasije Dar maana watu wanapukutika....huwa mpo slow sana kwenye kuchambua nyakati, ona hizi picha mbili za kauli za rais wenu wa Dar es salaam
![]()
![]()
Wacha niamini propaganda than some brainwashed dudeTz si kubaya kama ulivyoaminishwa mambo yapo kama kawaida!
Acha kuamini propaganda..
Na sio lazima kuamini,ukitaka endelea kuamini hicho unachoamini.
Hili la Corona mnaendelea kujikanganya na kukaidi kila ushauri wa kitaalam.Tatizo lako huwa unapenda sana habari za udaku,walau ungekuwa unafanya research kidogo ungeona jinsi umejaza kamasi kwa kichwa chako,raisi Magufuli alikuwa sahihi kuitwa ugonjwa wa corona ni kaugonjwa kadogo kwa sababu ukiangalia statistics za wizara ya afya kwa kuangalia vifo ungeshangaa jinsi malaria na tb zilivyoua watanzania tangu january, watu wengi mliona ajabu sana kwa sababu Magufuli alifanya tofauti na mlivyotegemea,mlitegemea lockdown,lakini jamaa ni unique sana,ni risk taker,watu wa aina yake ni wachache sana katika dunia .. lockdown ilishaonyesha ku-fail katika nchi za ng'ambo...only dumb ass anayeweza kufuata mbinu za watu waliofeli
Hili la Corona mnaendelea kujikanganya na kukaidi kila ushauri wa kitaalam.
Yeye aliita kaugonjwa, jana kwenye hotuba yake alibadilisha hiyo kauli na kuanza kuita ugonjwa hatari. Suala la kuua watu wachache ukilinganisha na malaria sio hoja, swali muhimu ni maambukizi yake, itakua una ubumbumbu kama mpaka sasa haujaweza kuona athari za Corona duniani na hata hiyo Tanzania, leo hamna ndege zinapaaa, hamna watalii na mengine mengi, lini malaria imewahi kusababisha kitu kama hicho.
Lini Malaria yamewahi kusababisha kitu kama hiki