Tanzania Exposed By Corona

Tanzania Exposed By Corona

Corona kitu gani
 
Kenya 296.
Vifo 14.

Tanzania 254.
Vifo 10...
Hapo lazma roho ziwaume.
Sisi mnaotuita wakaidi tuna afadhari kuliko nyie.
MWILI UPO KENYA ROHO IPO TANZANIA.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwenye hiyo 296 ondoa waliopona 74, hesabu ya chekechea, halafu kwenu kuna baadhi ya viongozi wameanza kuwa wakweli kwenye suala la watu kupukutika japo kimya kimya.

2375359_IMG-20200421-WA0045.jpg
 
Kwani kenya wameshashinda vita hii ya corona!!? Ooh hongereni sana
Hatujashinda Vita Wala hatujasema hivo. Tunajaribu kuwaelimisha muwache haya mazoea ya kujigamba eti nyie ndio munaotumia njia Bora kwa kila kitu navkuwatusi wenzenu kwa kila munachofanya. Mulianza kwa kupost nyuzi nyingi humu mkiwatusi Wakenya kwa measures walizochukua huku mukijigamba vile hamko affected Kama Kenya. Muliongea Kama mlioshinda Vita hata mukahubiri Kenya kwa makanisa yenu na kutuita wajinga. Sahii mambo imebadilika and you're being exposed sasa mmeanza kujifanya victims.
 
Mjinga inabidi kumpuuza, hawa wamekua wakichekelea Kenya, sasa Corona imeingia hadi ndani ya bunge lao, kuna mbunge ametangazwa kuumwa Corona, kuna video nyingine nimeona ya mhubiri wao mwingine akiilani Kenya na kututakia tuumwe Corona kisa kuna kipindi cha TV kilimsuta Magufuli kwa yeye kuagiza maombi zaidi ya tahadhari.
 
Kiufupi sisi tunadanganya hizo data.
Cases zipo zaidi ya 2,000 na vifo vimezidi 100.
Hospitali zimejaa na Makonda mwenyewe kasema kuwa people are dying. Kasema jana clouds fm. Yani kaona maiti nyingi hadi kapaniki.

Na rais kakimbia kaenda kwao kujificha.
Wizara ya afya inaratibu maombi( ministry of health organizing prayers)

In short: Tanzania leaders are short minded.

Corona ni janga la dunia nzima - Nchi Tajiri na Maskini ....
Lakini Corona ilipofika Kenya, WaTanzania wengi wakiongozwa na mwenyekiti wa Kamati Ya Roho Chafu - bwana joto la jiwe walifungua uzi hapa JF kusema vile ambavyo Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na Corona...

Uzi wenyewe haukuwa hata na Mbinu zozote ... ilikuwa tu kuichekelea Nchi ya Kenya ambayo ilikuwa na wagonjwa zaidi ya 100 wakati ule.

Ukijaribu kuwatuliza kidogo kuuliza swali "umepima watu 300 pekee, Kenya imepima zaidi ya 2500 wakati huo" , jibu lilikuwa matusi, "kama our target ilikuwa 300, unataka tutoe watu wa kupima wapi??? "..

The only thing that saves Tanzania is that they can cook numbers and muzzle the media..

From their economy to national projects to National disasters..

Badilikeni Muendelee kuishi..
View attachment 1425695
 
Bro every country hides Corona data. China did it, US is doing, and even Kenya is doing the same. If you want to live focus with your country data. Si mlifunga mipaka?

Corona ni janga la dunia nzima - Nchi Tajiri na Maskini

Lakini Corona ilipofika Kenya, WaTanzania wengi wakiongozwa na mwenyekiti wa Kamati Ya Roho Chafu - bwana joto la jiwe walifungua uzi hapa JF kusema vile ambavyo Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na Corona.

Uzi wenyewe haukuwa hata na Mbinu zozote, ilikuwa tu kuichekelea Nchi ya Kenya ambayo ilikuwa na wagonjwa zaidi ya 100 wakati ule.

Ukijaribu kuwatuliza kidogo kuuliza swali "umepima watu 300 pekee, Kenya imepima zaidi ya 2500 wakati huo" , jibu lilikuwa matusi, "kama our target ilikuwa 300, unataka tutoe watu wa kupima wapi?"

The only thing that saves Tanzania is that they can cook numbers and muzzle the media..

From their economy to national projects to National disasters..

Badilikeni Muendelee kuishi.
View attachment 1425695
 
Corona ni janga la dunia nzima - Nchi Tajiri na Maskini ....
Lakini Corona ilipofika Kenya, WaTanzania wengi wakiongozwa na mwenyekiti wa Kamati Ya Roho Chafu - bwana joto la jiwe walifungua uzi hapa JF kusema vile ambavyo Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na Corona...

Uzi wenyewe haukuwa hata na Mbinu zozote ilikuwa tu kuichekelea Nchi ya Kenya ambayo ilikuwa na wagonjwa zaidi ya 100 wakati ule.

Ukijaribu kuwatuliza kidogo kuuliza swali "umepima watu 300 pekee, Kenya imepima zaidi ya 2500 wakati huo" , jibu lilikuwa matusi, "kama our target ilikuwa 300, unataka tutoe watu wa kupima wapi? "..

The only thing that saves Tanzania is that they can cook numbers and muzzle the media..

From their economy to national projects to National disasters.

Badilikeni Muendelee kuishi..
View attachment 1425695
Mimi ni mmoja kati ya watu waanaopinga "lockdown" au "Curfew" kwa sababu ambazo ni za kijamii na kiuchumi. Sina haja ya kuzitaja hapa kwa kuwa zimeandikwa na kujadiliwa sana humu JF.

Ila kuhakikisha kila raia anawajibika kwa dhati kuzungatia ushauri wa kitaalamu juu ya kuepuka maambukizi nashauri:-
1) Viongozi wa kiserikali na kisiasa, ngazi za chini (micro-level) wasimamie kwa karibu hasa kutokuwepo mikusanyiko isiyo ya lazima katika maeneo yao km baa, masoko, vituo vya usafiri, nk

2) Ili hili lifanikiwe, viongozi hao wachukue jukumu la kuweka mazingira salama kiafya ya watu kutokukusanyika sehemu moja km kuongeza sehemu za masoko au vituo vya usafiri wa abiria.
 
Someone close to power tz told me ni kubaya,ndio sometimes naona hawa akina Geza, joto la ujinga and cohorts nashangaa tu, tz government is playing with its citizens life good thing they are not immune to it too

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatujashinda Vita Wala hatujasema hivo. Tunajaribu kuwaelimisha muwache haya mazoea ya kujigamba eti nyie ndio munaotumia njia Bora kwa kila kitu navkuwatusi wenzenu kwa kila munachofanya. Mulianza kwa kupost nyuzi nyingi humu mkiwatusi Wakenya kwa measures walizochukua huku mukijigamba vile hamko affected Kama Kenya. Muliongea Kama mlioshinda Vita hata mukahubiri Kenya kwa makanisa yenu na kutuita wajinga. Sahii mambo imebadilika and you're being exposed sasa mmeanza kujifanya victims.
Hatukuanza sisi nyinyi ndo mlianza saa chache baada ya raisi magufuli kuhutubia taifa,kupitia televisheni yenu mkamuita "mkaidi" kutokana na kuwa yeye aliamua kuwa unique,hakufuata njia yenu ya kudhibiti corona!!..tafsiri yake ni kwamba mliona mbinu yenu ni bora kuliko aliyoifuata Magufuli, kwa hiyo mjomba sisi wa tz ni watu wazuri sana huwa hatuna beef na mtu yeyote yule ila tu anayejifanya mjuaji dhidi yetu hatukuanza sisi,mlianza ninyi.

Note: Hadi sasa hakuna taifa linaloweza kusimama likijinadi kuwa limeshinda vita ya corona,dunia nzima iko chini ya giza totoro hadi sasa!
 
Hatukuanza sisi nyinyi ndo mlianza saa chache baada ya raisi magufuli kuhutubia taifa,kupitia televisheni yenu mkamuita "mkaidi" kutokana na kuwa yeye aliamua kuwa unique,hakufuata njia yenu ya kudhibiti corona!!..tafsiri yake ni kwamba mliona mbinu yenu ni bora kuliko aliyoifuata magufuli....kwa hiyo mjomba sisi wa tz ni watu wazuri sana huwa hatuna beef na mtu yeyote yule ila tu anayejifanya mjuaji dhidi yetu...hatukuanza sisi,mlianza ninyi

Note:hadi sasa hakuna taifa linaloweza kusimama likijinadi kuwa limeshinda vita ya corona,dunia nzima iko chini ya giza totoro hadi sasa!

Ukaidi (stubbornness) yenu ilitajwa baada ya kuita Corona kaugonjwa na kwamba rais alitangaza live kwa taarifa za habari kuwa Corona ikiingia kanisani inaungua yenyewe, sasa hapo yeye kama rais lazima asemwe na dunia yote, magazeti yapo mengi yamemwandika kuhusu, sema kama ilivyo kawaida yenu lazima mlie sana sisi tukisema....hehehe

Sasa hivi ndio naona mumeanza kutia akili, naona kauli za kusema Corona itaungua kanisani zimeisha, mnahamasisha tahadhari, Makonda ambaye alikua akipiga kifua akisema watu wajitokeze wapige kazi, leo hii ndiye anasema watu wa mikoani wasije Dar maana watu wanapukutika....huwa mpo slow sana kwenye kuchambua nyakati, ona hizi picha mbili za kauli za rais wenu wa Dar es salaam

2375359_IMG-20200421-WA0045.jpg

2359223_abdulnondo1_1___B-ncLjHnmkR___.jpeg
 
Tatizo lako huwa unapenda sana habari za udaku,walau ungekuwa unafanya research kidogo ungeona jinsi umejaza kamasi kwa kichwa chako,raisi Magufuli alikuwa sahihi kuitwa ugonjwa wa corona ni kaugonjwa kadogo kwa sababu ukiangalia statistics za wizara ya afya kwa kuangalia vifo ungeshangaa jinsi malaria na tb zilivyoua watanzania tangu january, watu wengi mliona ajabu sana kwa sababu Magufuli alifanya tofauti na mlivyotegemea,mlitegemea lockdown,lakini jamaa ni unique sana,ni risk taker,watu wa aina yake ni wachache sana katika dunia .. lockdown ilishaonyesha ku-fail katika nchi za ng'ambo...only dumb ass anayeweza kufuata mbinu za watu waliofeli
 
Someone close to power tz told me ni kubaya,ndio sometimes naona hawa akina Geza, joto la ujinga and cohorts nashangaa tu, tz government is playing with its citizens life good thing they are not immune to it too

Sent using Jamii Forums mobile app
Tz si kubaya kama ulivyoaminishwa mambo yapo kama kawaida!

Acha kuamini propaganda..
 
Ukaidi (stubbornness) yenu ilitajwa baada ya kuita Corona kaugonjwa na kwamba rais alitangaza live kwa taarifa za habari kuwa Corona ikiingia kanisani inaungua yenyewe, sasa hapo yeye kama rais lazima asemwe na dunia yote, magazeti yapo mengi yamemwandika kuhusu, sema kama ilivyo kawaida yenu lazima mlie sana sisi tukisema....hehehe

Sasa hivi ndio naona mumeanza kutia akili, naona kauli za kusema Corona itaungua kanisani zimeisha, mnahamasisha tahadhari, Makonda ambaye alikua akipiga kifua akisema watu wajitokeze wapige kazi, leo hii ndiye anasema watu wa mikoani wasije Dar maana watu wanapukutika....huwa mpo slow sana kwenye kuchambua nyakati, ona hizi picha mbili za kauli za rais wenu wa Dar es salaam

2375359_IMG-20200421-WA0045.jpg

2359223_abdulnondo1_1___B-ncLjHnmkR___.jpeg
Huyu mwache tu, ataelewa tu with time, wacha a worship uncle

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lako huwa unapenda sana habari za udaku,walau ungekuwa unafanya research kidogo ungeona jinsi umejaza kamasi kwa kichwa chako,raisi Magufuli alikuwa sahihi kuitwa ugonjwa wa corona ni kaugonjwa kadogo kwa sababu ukiangalia statistics za wizara ya afya kwa kuangalia vifo ungeshangaa jinsi malaria na tb zilivyoua watanzania tangu january, watu wengi mliona ajabu sana kwa sababu Magufuli alifanya tofauti na mlivyotegemea,mlitegemea lockdown,lakini jamaa ni unique sana,ni risk taker,watu wa aina yake ni wachache sana katika dunia .. lockdown ilishaonyesha ku-fail katika nchi za ng'ambo...only dumb ass anayeweza kufuata mbinu za watu waliofeli
Hili la Corona mnaendelea kujikanganya na kukaidi kila ushauri wa kitaalam.

Yeye aliita kaugonjwa, jana kwenye hotuba yake alibadilisha hiyo kauli na kuanza kuita ugonjwa hatari. Suala la kuua watu wachache ukilinganisha na malaria sio hoja, swali muhimu ni maambukizi yake, itakua una ubumbumbu kama mpaka sasa haujaweza kuona athari za Corona duniani na hata hiyo Tanzania, leo hamna ndege zinapaaa, hamna watalii na mengine mengi, lini malaria imewahi kusababisha kitu kama hicho.

Lini Malaria yamewahi kusababisha kitu kama hiki
 
Ndege hazipai na mliofunga mipaka ni nyie mlio-panic,sisi tunaendelea mishe zetu kama kawa,kama dawa...watu wanaumwa corona na wanapona
 
Back
Top Bottom