Tanzania Exposed By Corona

Ndege hazipai na mliofunga mipaka ni nyie mlio-panic,sisi tunaendelea mishe zetu kama kawa,kama dawa...watu wanaumwa corona na wanapona

Haya bwana ila mkawaliwaze hawa au muwape hayo majibu

 
We unatucheka kwani kwenu korona imeisha? Kwani huu umekuwa mpira wa miguu kushindana nani kafungwa? We unaleta utani kwenye vifo, nani kasema wewe huwezi kupata?
 
Your stupidity is out of this world. How do police killing related to Corona deaths.
they killed as they tried to institute the curfew in the name of coronavirus prevention! there u go!
 
We unatucheka kwani kwenu korona imeisha? Kwani huu umekuwa mpira wa miguu kushindana nani kafungwa? We unaleta utani kwenye vifo, nani kasema wewe huwezi kupata? Acha ujinga wewe!
Umeelewa nilichoandika au umerukia kuninukuu tu kwa mbwembwe nyingi? Sijamcheka mtu, nimewakashifu wenzako ambao walikuwa wakitucheka na kutubeza hapo awali janga hili lilipoibuka. Nitakuwia radhi kwasababa labda wewe ni mgeni kwenye jukwaa hili. Nyuzi za kuiponda Kenya kuhusu Corona zipo nyingi sana humu na sasa hivi zimebakia kuwa kumbukumbu za umbumbu wenu nyinyi wafia chama. Kuna hadi 'Score Board' ambayo walikuwa wanaitumia kila siku kujisifia na kutuweka chini kuhusu maambakizi na vifo wakisema sijui eti Tz-20 Kenya 85.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…