Tanzania Exposed By Corona

Tanzania Exposed By Corona

Ndege hazipai na mliofunga mipaka ni nyie mlio-panic,sisi tunaendelea mishe zetu kama kawa,kama dawa...watu wanaumwa corona na wanapona

Haya bwana ila mkawaliwaze hawa au muwape hayo majibu

2376801_Screenshot_20200423-071330.jpg
 
Tulijaribu kuwaelimisha kwamba Corona ni janga duniani kote. Ila Kenya tulipopata kesi ya kwanza tu wakaanza kutukejeli na kututusi. Kuna sehemu niliwaambia kwamba hili janga litawaumbua kweli kweli. Sasa hivi tayari wanatuongoza kwa 'active cases' maanake wagonjwa 69/281 wamepona nchini Kenya idadi inakuwa 212. Tz wapo 243 baada ya wagonjwa 11/254 kupona. Siwakashifu kwasababu ya Corona ila ni kwasababu ya umbumbu na uchawi wa BAADHI yao.
We unatucheka kwani kwenu korona imeisha? Kwani huu umekuwa mpira wa miguu kushindana nani kafungwa? We unaleta utani kwenye vifo, nani kasema wewe huwezi kupata?
 
Your stupidity is out of this world. How do police killing related to Corona deaths.
they killed as they tried to institute the curfew in the name of coronavirus prevention! there u go!
 
We unatucheka kwani kwenu korona imeisha? Kwani huu umekuwa mpira wa miguu kushindana nani kafungwa? We unaleta utani kwenye vifo, nani kasema wewe huwezi kupata? Acha ujinga wewe!
Umeelewa nilichoandika au umerukia kuninukuu tu kwa mbwembwe nyingi? Sijamcheka mtu, nimewakashifu wenzako ambao walikuwa wakitucheka na kutubeza hapo awali janga hili lilipoibuka. Nitakuwia radhi kwasababa labda wewe ni mgeni kwenye jukwaa hili. Nyuzi za kuiponda Kenya kuhusu Corona zipo nyingi sana humu na sasa hivi zimebakia kuwa kumbukumbu za umbumbu wenu nyinyi wafia chama. Kuna hadi 'Score Board' ambayo walikuwa wanaitumia kila siku kujisifia na kutuweka chini kuhusu maambakizi na vifo wakisema sijui eti Tz-20 Kenya 85.
 
Back
Top Bottom