Tanzania Exposed By Corona

Tanzania Exposed By Corona

Screenshot_20200429-210832.png
 
Watanzania tuendelee lunawa mikono kwa maji tiririka.
 
Tanzania is going to be a hotspot in a week's Time just like Italy
Kuna mtu fulani amejiweka lockdown na kijiji chake rangi ya kijanai alikuwa anatuambia tuombe ndio dawa ya corona saizi anasema tujifukize,bure kabisa ila good enough corona imebisha hodi milango adimu. Tutaelewana tu mwisho wa siku.
 
Umeelewa nilichoandika au umerukia kuninukuu tu kwa mbwembwe nyingi? Sijamcheka mtu, nimewakashifu wenzako ambao walikuwa wakitucheka na kutubeza hapo awali janga hili lilipoibuka. Nitakuwia radhi kwasababa labda wewe ni mgeni kwenye jukwaa hili. Nyuzi za kuiponda Kenya kuhusu Corona zipo nyingi sana humu na sasa hivi zimebakia kuwa kumbukumbu za umbumbu wenu nyinyi wafia chama. Kuna hadi 'Score Board' ambayo walikuwa wanaitumia kila siku kujisifia na kutuweka chini kuhusu maambakizi na vifo wakisema sijui eti Tz-20 Kenya 85.
Walioanza kuwacheka na wewe unao wakashifu wote wajinga tu, mnaleta upuuzi kwenye hili janga kama mafala fulani.
 
Mkuki kwa mwanadamu mchungu vile..
Ulikuwa wapi muda huo wote wakianzisha nyuzi huku za kutucheka?
 
Mngewajibu na kuwatukana walio watukana na kuwacheka, nani alikuambia siye wote tulifanya hivyo. Tumia busara kwa wajinga, na hivyo cha kuwajibu sio mashindano wapi kuna visa vingi zaidi kama zipo timamu.
 
Wala hakuna aliyewacheka, hatujajishusha kwenye level yenu mlivyo na roho ngumu za kishetani, siku zote tulikua tukiwaambia muweke akiba maneno yenu ipo siku tutawakumbushia, mlikejeli na kuchekelea sana na kututukana ila tukawa wavumilivu kila siku tunawaambia nyie hapo ni nchi ya Kiafrika ambayo haina utofauti mkubwa na sisi, hivyo yanayotukumba yanaweza yakawapiga na nyie pia.

Mkawa mnatuhubiri hata kwenye makanisa mkitulaani, sasa tulichofanya ni kuwakumbushia kauli zenu, sema wengi waliotutukana wametoweka, wamebaki wachache tu ambao huwa na kaugonjwa fulani hivi hawaoni aibu. Yaani ikitangazwa idadi ya vifo Tanzania wanatukumbushia kwamba bado hawajafikia idadi ya Kenya, kwamba mpaka siku watafikia hiyo idadi ndio sijui watakubali kwamba janga limefika Tanzania rasmi.

Huwa tunawaambia kwamba kwetu yapo hivi kwa sababu tunapima sana, kwa siku tunapima kama watu 1,000 tunafuata watu, hatusubiri wao waje. Hivyo namba zetu zinaweza zikaonekana kupandisha kwa kasi zaidi ya majirani, lakini sote tunaogelea humo humo.

By the way poleni sana naona mumeanza kujiwekea lockdown wenyewe Historia imeandikwa, Kariakoo yawa nyeupe hakuna wateja na fremu nyingi zimefungwa kwa hofu ya Corona - JamiiForums
 
Mwenye akili hawezi kumcheka mwingine eti sababu ana korona au amejifungia, huu wote ni upumbavu unaouemdeleza na comment yako ndefu isiyo na mpango. Korona haijaisha ndiyo kwanza imeanza, na kupima watu elfu kwa siku ni kidogo sana, acheni ujinga na upambavu pande zote mbili.
 
Mwenye akili hawezi kumcheka mwingine eti sababu ana korona au amejifungia, huu wote ni upumbavu unaouemdeleza na comment yako ndefu isiyo na mpango. Korona haijaisha ndiyo kwanza imeanza, na kupima watu elfu kwa siku ni kidogo sana

Tuliwaambia muweke akiba ya maneno, wala hatucheki na haitotokea tucheke maana hatuna roho za walaji wa albino kama nyie, tunawakumbushia tu maneno yenu, mpaka sasa mtakua mumetia akili, na kama bado endeleeni na hizo kejeli zenu, ndio bado mwanzo. Tutarudi huku kukumbushiana na mtalialia hivi hivi unavyofanya.
 
Last edited:
Wala hakuna aliyewacheka, hatujajishusha kwenye level yenu mlivyo na roho ngumu za kishetani, siku zote tulikua tukiwaambia muweke akiba maneno yenu ipo siku tutawakumbushia, mlikejeli na kuchekelea sana na kututukana ila tukawa wavumilivu kila siku tunawaambia nyie hapo ni nchi ya Kiafrika ambayo haina utofauti mkubwa na sisi, hivyo yanayotukumba yanaweza yakawapiga na nyie pia.
Mkawa mnatuhubiri hata kwenye makanisa mkitulaani, sasa tulichofanya ni kuwakumbushia kauli zenu, sema wengi waliotutukana wametoweka, wamebaki wachache tu ambao huwa na kaugonjwa fulani hivi hawaoni aibu. Yaani ikitangazwa idadi ya vifo Tanzania wanatukumbushia kwamba bado hawajafikia idadi ya Kenya, kwamba mpaka siku watafikia hiyo idadi ndio sijui watakubali kwamba janga limefika Tanzania rasmi.
Huwa tunawaambia kwamba kwetu yapo hivi kwa sababu tunapima sana, kwa siku tunapima kama watu 1,000 tunafuata watu, hatusubiri wao waje. Hivyo namba zetu zinaweza zikaonekana kupandisha kwa kasi zaidi ya majirani, lakini sote tunaogelea humo humo.

By the way poleni sana naona mumeanza kujiwekea lockdown wenyewe Historia imeandikwa, Kariakoo yawa nyeupe hakuna wateja na fremu nyingi zimefungwa kwa hofu ya Corona - JamiiForums
Huyu mdudu yupo kitaa si Kenya si Tz... Kuna watu wapo nao kwa mtaa hawajawa noticed...Tz wazua taharuki ni wengi kuliko huko...Tembelea forum yenu utaona.
 
Back
Top Bottom