Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
TFF ni kila Mtanzania mpenda haki.Serikali ya Tanzania kama kawaida yake wanachukulia vitu pooa. Ata kabla ya tarehe 29,walikuwa wanabwatuka Kwa kejeri, dharau na masimango kuwa hakuna atakae andamana ila tarehe 29, tulishuhudia nchi ikipigwa kiberiti haijapata kutokea.
Sasa hivi Kuna kikundi kinaitwa TFF, kinajipanga,kinajinadi kuua polisi, wajumbe wa serikali za mitaa na viongozi wa CCM. Hawa TFF naona serikali inawapuuza ila wanaonekana wako so serious.
Je TFF ni nani na yupi Yuko nyuma Yao?
Acha kiwakeKama wanawalenga watesi wa watanzania hakuna shida.
Hii Tanzania haitakuja kuwa sawaaaUkiwanyima watu haki watatafuta pa kutokHiea
Acha kiwakeTunaelekea kubaya ,nikikumbuka mauaji ya MKIRU na KITAYA ni hatari.
Acha kiwakeHao ni wananchi wameamua kuijambisha serikali ila wale wenyewe wapo porini huko hawana hata makelele. Ni siku tu kitanuka tz.
MbeyaWameua watu wapi huko?
Aisee! Mzaha mzaha hutumbua usaha. Ukiwanyima watu njia halali na ya amani ya kufanya mageuzi basi jiandae kukabiliana na njia haramu zisizo za amani.Mbeya
Mussolini na HitlerAisee! Mzaha mzaha hutumbua usaha. Ukiwanyima watu njia halali na ya amani ya kufanya mageuzi basi jiandae kukabiliana na njia haramu zisizo za amani.
Tena mwisho wa mambo haya huwa ni viongozi na familia zao kuuawa kinyama na maiti zao kuanikwa / kuburuzwa mitaani.
Sasa wewe tukueleweje, kwamba unawahimiza hao "serikali HARAMU" wafanye nini?Serikali ya Tanzania kama kawaida yake wanachukulia vitu pooa. Ata kabla ya tarehe 29,walikuwa wanabwatuka Kwa kejeri, dharau na masimango kuwa hakuna atakae andamana ila tarehe 29, tulishuhudia nchi ikipigwa kiberiti haijapata kutokea.
Sasa hivi Kuna kikundi kinaitwa TFF, kinajipanga,kinajinadi kuua polisi, wajumbe wa serikali za mitaa na viongozi wa CCM. Hawa TFF naona serikali inawapuuza ila wanaonekana wako so serious.
Je TFF ni nani na yupi Yuko nyuma Yao?