Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 16,583
- 42,992
Yani washiriki ili waibiwe kura kama kawaida yenu ili muwanyanyase na kuwazodoa kwamba mmeshindwa kwenye box la kura kihalali kumbe mmewaibia kura. Kutokushiri ule uchaguzi ilikuwa ni best option halafu kama haitoshi lissu aliwaambia Kwa uwazi na upendo kabisa tuahirishe uchaguzi hata Kwa miaka miwili au zaidi ili tuifanyie marekebisho mifumo ya uchaguzi nyie mkakataa Sasa mlitaka wafanyaje ?Waifute Ili kiwake, 90% ya kilichotokea kwenye MO29, ni Chadema kususia uchaguzi wangeshiriki watu wasingeandamana, so wakiifuta hakutakuwa na stability katika hii nchi