Maana yako ni kuwa hapa tulipo sasa ni pazuri, au siyo?Tunaelekea kubaya ,nikikumbuka mauaji ya MKIRU na KITAYA ni hatari.
Maana yako ni kuwa hapa tulipo sasa ni pazuri, au siyo?Tunaelekea kubaya ,nikikumbuka mauaji ya MKIRU na KITAYA ni hatari.
ANC na Umkonto we Sizwe, kulikuwa na shida gani?Halafu baadaye wataanza kuwaunganisha na Chadema.
Umebaki kuwa vioja tu sasa!Kwa Tanzania nayoijua.
Hata usijaribu kuisogelea hiyo TFF.
Ushauri tu.
Maana yako ni kuwa hapa tulipo sasa ni pazuri, au siyo?
Hata huu usenge wanaofikiria wa kuifuta Chadema watazalisha vikundi vingi sana vya kulipa kisasi kwa unyama wanaofanya.Aisee! Mzaha mzaha hutumbua usaha. Ukiwanyima watu njia halali na ya amani ya kufanya mageuzi basi jiandae kukabiliana na njia haramu zisizo za amani.
Tena mwisho wa mambo haya huwa ni viongozi na familia zao kuuawa kinyama na maiti zao kuanikwa / kuburuzwa mitaani.
Waifute Ili kiwake, 90% ya kilichotokea kwenye MO29, ni Chadema kususia uchaguzi wangeshiriki watu wasingeandamana, so wakiifuta hakutakuwa na stability katika hii nchiHata huu usenge wanaofikiria wa kuifuta Chadema watazalisha vikundi vingi sana vya kulipa kisasi kwa unyama wanaofanya.
Kama watu walikiwasha MO29, basi vikundi vya uhasi vinaweza tokeaHata Hamas walianza mdogo mdogo kama hivi. Nawashauri kikundi chao wakiite Black October 29.
Kama MO29, watu waliipiga kiberiti nchi basi ata vikundi vya waasi vinaweza tokea, Tanzania Haina strong intelligenceKwa Tanzania nayoijua.
Hata usijaribu kuisogelea hiyo TFF.
Ushauri tu.
Acha iwe maana tumeandika report tumechoka na tumeahauri sana kwenye maripoti hayo ila tunaonekana mabinti sayuni tu😭😭😭😢😢😢Serikali ya Tanzania kama kawaida yake wanachukulia vitu pooa. Ata kabla ya tarehe 29,walikuwa wanabwatuka Kwa kejeri, dharau na masimango kuwa hakuna atakae andamana ila tarehe 29, tulishuhudia nchi ikipigwa kiberiti haijapata kutokea.
Sasa hivi Kuna kikundi kinaitwa TFF, kinajipanga,kinajinadi kuua polisi, wajumbe wa serikali za mitaa na viongozi wa CCM. Hawa TFF naona serikali inawapuuza ila wanaonekana wako so serious.
Je TFF ni nani na yupi Yuko nyuma Yao?
Hata ukizungumzia hiyo unayodai "hali ya mauaji", una maana yale ya Oktober wewe unaona ni hali ya kawaida?Nazungumzia MAUAJI na si hali ya maisha ndiyo maana nikatolea MKIRU na KITAYA huko kulikuwa na MAUAJI.
Mkuu tofautisha vurugu za uchaguzi na mission za mauaji.Hata ukizungumzia hiyo unayodai "hali ya mauaji", una maana yale ya Oktober wewe unaona ni hali ya kawaida?
Unataka mauaji ya namna gani ndipo ujuwe kwamba tumo kwenye hali mbaya tayari!
Mimi nadhani hukutafakari kwa kina kabla ya kutumia huo mfano wa Mkiru.
Sasa kama mfano huo ndio kitakuwa kigezo, maana yake waTanzania wakubali tu kuendelea kuuliwa, ili mradi ile hali ya Mkizu inawatia hofu sana?
Mkuu 'king' sitafuti ugomvi; kwa maana sijawahi kupishana sana na unakokuamini wewe; na nina hakika hata hapa hukuwa na maana ya kuwakatisha tamaa wanaotafuta njia za kutuondoa kwenye umateka huu waliotuweka Samia na Genge lake.
Wajanja sana,yani mwanzo nilidhani ni shirikisho la mpira asee ,hapa ukidakwa wasema mimi nimkereketwa wa TFF, HAHAHAHAAATFF - Tanzania Football Federation.
TFF - Tanzania Freedom Fighter.
Unaweza kudondokea popote kwa kujilinda.
Kwa mawazo na mtazamo wahanga wa unyanyaswaji kamasuyo,ama ndugu ama kama ama wasiopenda unyanyaswaji na ukiukaji wa haki za msingi kwa kisingizio cha vyeo na madaraka,pia wanao amino katika chaguzi halali.Serikali ya Tanzania kama kawaida yake wanachukulia vitu pooa. Ata kabla ya tarehe 29,walikuwa wanabwatuka Kwa kejeri, dharau na masimango kuwa hakuna atakae andamana ila tarehe 29, tulishuhudia nchi ikipigwa kiberiti haijapata kutokea.
Sasa hivi Kuna kikundi kinaitwa TFF, kinajipanga,kinajinadi kuua polisi, wajumbe wa serikali za mitaa na viongozi wa CCM. Hawa TFF naona serikali inawapuuza ila wanaonekana wako so serious.
Je TFF ni nani na yupi Yuko nyuma Yao?
Kabla ya Oct to remember mlibwatuka hivi hivi!Isijekuwa ni wakora wanaojificha kwenye ishu za siasa...