Tanzania Freedom Fighters (TFF) ni kina nani na nani yupo nyuma Yao?

Hata huu usenge wanaofikiria wa kuifuta Chadema watazalisha vikundi vingi sana vya kulipa kisasi kwa unyama wanaofanya.
 
Acha iwe maana tumeandika report tumechoka na tumeahauri sana kwenye maripoti hayo ila tunaonekana mabinti sayuni tu😭😭😭😢😢😢
 
Hawa majamaa wakipata vyuma(bunduki) moto utawaka.. Maridhiano ndio njia sahihi, Mauaji ya halaiki yaliyotokea 29 october kilichowabeba wauaji ni silaha tuu tena bunduki sio mabomu wala drones so TFF ikipata bunduki itakua ni majibizano , October 29 hapakua na usawa ilikua vita dhidi ya mikono mitupu(wananchi) VS Bunduki(police) mchezo haukua na usawa..
 
Nazungumzia MAUAJI na si hali ya maisha ndiyo maana nikatolea MKIRU na KITAYA huko kulikuwa na MAUAJI.
Hata ukizungumzia hiyo unayodai "hali ya mauaji", una maana yale ya Oktober wewe unaona ni hali ya kawaida?

Unataka mauaji ya namna gani ndipo ujuwe kwamba tumo kwenye hali mbaya tayari!

Mimi nadhani hukutafakari kwa kina kabla ya kutumia huo mfano wa Mkiru.

Sasa kama mfano huo ndio kitakuwa kigezo, maana yake waTanzania wakubali tu kuendelea kuuliwa, ili mradi ile hali ya Mkizu inawatia hofu sana?

Mkuu 'king' sitafuti ugomvi; kwa maana sijawahi kupishana sana na unakokuamini wewe; na nina hakika hata hapa hukuwa na maana ya kuwakatisha tamaa wanaotafuta njia za kutuondoa kwenye umateka huu waliotuweka Samia na Genge lake.
 
Mkuu tofautisha vurugu za uchaguzi na mission za mauaji.

Mission ni kama za ISIS ,Al qaeda ,MKIRU ,KITAYA yaani wana target zao endelevu ,hizo vurugu za uchaguzi ni onetime zikizimwa ndiyo imekwisha.

Effect za Mission ni kubwa sana na ndiyo maana issue ya MKIRU waliuawa watu zaidi ya 300 na wengine walikimbia kuepuka kuuawa.

Nimetafakari sana mkuu kwa huo mfano wa MKIRU/KITAYA ile ilikuwa ni hatari sana ,watu wasiojulikana walikuwa wanavamia vituo vya polisi wanapora silaha na kuua askari hovyo hovyo ,hii ina maana silaha za kivita ziliangukia mikono isiyo salama ,ona KITAYA walivyokuwa wanachinja watu hovyo hovyo.

Utofauti wa MO29 na MKIRU/KITAYA ni kwamba MO29 askari walikuwa wanaua raia while MKIRU raia walikuwa wanaua Askari ,askari anauziwa na sheria kuua raia na ndiyo maana kwa matukio yale wana hali mbaya ila raia hana protocol akiua askari ni uhalifu kama uhalifu mwingine.
 
Kwa mawazo na mtazamo wahanga wa unyanyaswaji kamasuyo,ama ndugu ama kama ama wasiopenda unyanyaswaji na ukiukaji wa haki za msingi kwa kisingizio cha vyeo na madaraka,pia wanao amino katika chaguzi halali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…