Tanzania Freedom Fighters (TFF) ni kina nani na nani yupo nyuma Yao?

Waifute Ili kiwake, 90% ya kilichotokea kwenye MO29, ni Chadema kususia uchaguzi wangeshiriki watu wasingeandamana, so wakiifuta hakutakuwa na stability katika hii nchi
Yani washiriki ili waibiwe kura kama kawaida yenu ili muwanyanyase na kuwazodoa kwamba mmeshindwa kwenye box la kura kihalali kumbe mmewaibia kura. Kutokushiri ule uchaguzi ilikuwa ni best option halafu kama haitoshi lissu aliwaambia Kwa uwazi na upendo kabisa tuahirishe uchaguzi hata Kwa miaka miwili au zaidi ili tuifanyie marekebisho mifumo ya uchaguzi nyie mkakataa Sasa mlitaka wafanyaje ?
 
WASIKIITE TFF WAKIITE M-O- TWENTY NINE YANI (MO29).
 
HIVI HII NI YA KWELI AMA UZUSHI
 
Fisiem kwa uroho wa madaraka hii nchi inaweza geuka congo, afrika ya kati, somalia, sudan etc.
 
TUNASUBIRI FILIMBI TU KUTOKA KWA KAMANDA WETU TUKINUKISHE.NA UZURI WENGINE KAMA MIMI TUMEBAHATIKA KUPIGANA VITA NCHINI URUSI.NINASHAUKU KUBWA SANA YA KUKINUKISHA ILI KUMTOA HUYU MUUAJI NA KUINEEMESHA NCHI YANGU YA TANGANYIKA KUWA KAMA ULAYA
 
Kwa hyo huko nyumban watu wanaishi kwa kuviziana sasa

Ova
 
Mkuu tofautisha vurugu za uchaguzi na mission za mauaji.

Mission ni kama za ISIS ,Al qaeda ,MKIRU ,KITAYA yaani wana target zao endelevu ,hizo vurugu za uchaguzi ni onetime zikizimwa ndiyo imekwisha.
Sasa naona umekaza shingo juu ya jambo ambalo lipo wazi kabisa.

Ngoja nijaribu mara ya mwisho kukuonyesha tofauti kati ya hao unaowazungumzia na hawa TFF (kama kweli wapo); na kama bado huelewi, nitajuwa kwamba unalo jingine.

Kwa maoni yako ni kwamba Umkonto we Sizwe ya Afika Kusini unawaweka kwenye makundi hayo hayo uliyoyataja wewe..
Hata akina Maumau wa hapo jirani nao ni hivyo hivyo; na kwingine kokote ambako watu waliamua kutafuta uhuru wao kutoka kwa wakandamizaji; wote hao unawaweka kwenye makundi hatari yanayofanya hali kuwa hatari! zaidi kuliko kuvumilia hali iliyopo ya kutawaliwa kwa nguvu.

Sikubaliani na wewe.
 
Mkuu tofautisha vurugu za uchaguzi na mission za mauaj
Utakuwa umevurugika akili, au hujitambui kabisa kulinganisha juhudi za kujikomboa na "mission za mauaji"!

Kama kweli uamini wako ndio huu, hapa moja kwa moja nakudharau.
 
Wewe unaonaje? Kwasasa watu wanachinjana na raia wanaua polisi? Nitajie cases 10 kuanzia jan 26 mpaka sasa raia wameua polisi au magaidi wamechinja raia na polisi?
Kumbe wewe ni mpuuzi asiyetambua tofauti ya "Gaidi" na "Mpigania Uhuru"?

Polisi wakiteka/kuua waTanzania hilo kwako ni kawaida!

Sina muda tena wa kujibishana na wewe juu ya hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…