Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
conscious ni BONTA MAARIFA HAINA USHINDANI
best collabo MCHIZI WANGU REMIX HAINA MPINZANI
msanii bora muda wote FID Q AKIFUATIWA NA AFANDE SELE
nawasilisha
Wanapaswa kupata tunzo za heshima!!Ngwair na Godzilla sijawaweka sababu ni marehemu
MSANII BORA HIP HOP WA MUDA WOTE
@ALBERT MANGWEA
WIMBO BORA HIP HOP WA MUDA WOTE
@DARUBINI_ Afande Sele
WIMBO BORA HIP HOP WA KUSHIRIKIANA
@MTAZAMO_Sele+P.Jay+Sele
ALBUM BORA HIP HOP
@MACHOZI JASHO NA DAMU_P.Jay
MSANII BORA HIP HOP NYIMBO ZA UFAHAMU
@Bonta
MSANII BORA TUNGO SIMULIZI
@Jay moe
MSANII BORA WA FREESTYLE
@ALBERT MANGWEA
MSANII BORA KTK ENGLISH LANGUAGE
@Niki MBISHI
MSANII BORA MWENYE MITINDO MINGI
Fid Q
MTAYARISHAJI BORA HIP HOP
@P FUNK MAJANI
TUZO ZA HESHIMA
SUGU, MAJANI
Stamina naye ni mwana muziki wa Hip Hop?kama stamina hayupo hakuna haja ya kuendelea na hizo tuzo...
Roma kabla ya kuimba kibamia ( kabla ya kutekwa ).. acheni ubinafsi
hapana sio wa hip hop ni wa mchirikuStamina naye ni mwana muziki wa Hip Hop?
INA MAANA KATIKA KATEGORIA ZOTE HIZO #MAN_FONGO HAYUPO ?!?!Zifuatazo ni tuzo za vipengele mbalimbali vya muziki wa Hip hop Tanzania.
Naombeni tupige kura baada ya wiki moja tutatoa tuzo.
MSANII BORA WA HIP HOP WA MUDA WOTE
1. Professor jay
2. Afande selle
3. FID Q
4. Mwana FA
5. Jay moe
6. Roho saba
7. Nikki mbishi
8. Joh Makini
9. Chid benz
10. Kala Jeremiah
WIMBO BORA WA HIP HOP WA MUDA WOTE
1. Mtazamo- Afande selle ft prof jay & sollo thang
2. Kikao cha dharura- prof jay
3. Bado nipo nipo- mwana FA
4. Proffesional- Fid Q
5. Mchizi wangu remix
6. Ukiskia paa remix
7. Alikufa kwa ngoma- mwana FA ft lady jay dee
8. Darubini- Afande selle
9. Classic - Nikki mbishi, stereo, one & Fid Q
10. Zubeda- prof jay
11. Propaganda- Fid q
12. Dar es salaam stand up- chid benz
13. Mwanza - fid q
14. Mathematics - Roma
WIMBO BORA WA KUSHIRIKIANA WA HIP HOP KWA MUDA WOTE
1. Mchizi wangu remix
2. Ukiskia paa remix
3. Ni hayo tu- Fid q
4. Mimi- Geez mabovu, Fid q, Jay moe, Chid benz
5. Mtazamo- afande selle ft prof jay & sollo thang
6. Ingekuwa vipi- jay moe ft mwana Fa
7. Classic material- one, Nikki, stereo & fid q
8. Kamba 2 kamba- mexicana la cavella
ALBUM BORA YA HIP HOP MUDA WOTE
1. Machozi, jasho na damu- prof jay
2. Ulimwengu ndio mama- jay moe
3. A.K.A Mimi-Ngwair
4. Propaganda- Fid q
5. Soga za mzawa- one incredible
6. Sam magoli- Nikki mbishi
MSANII BORA WA NYIMBO ZA UFAHAMU(CONSCIOUS MC)
1. Bonta
2. Kala Jeremiah
3. Afande selle
4. Dizasta vina
5. Prof jay
MSANII BORA KATIKA TUNGO ZA USIMULIZI (STORYTELLER)
1. Jay moe
2. Chindo
3. Dizasta vina
4. Prof jay
MSANII BORA WA MTINDO HURU (FREESTYLE).
1. Nikki Mbishi
2. Chid benz
3. Nchama the best
MSANII BORA KATIKA MAGHANI YA LUGHA YA KIINGEREZA
1. One incredible
2. Fid q
3. Jay moe
4. Nikki mbishi
MSANII WA HIP HOP MWENYE MITINDO MINGI YA KUGHANI
1. Stops rhymes
2. Joh makini
3. Fid q
4. One incredible
MTAYARISHAJI BORA WA MUZIKI WA HIP HOP WA MUDA WOTE
1. Duke
2. P funk majani
3. J rider
4. Palla midundo
5. Master jay
6. Cjamoker
7. Q the don
TUZO YA KUMBUKUMBU NA HESHIMA KWA MC’s WALIOTUTOKA.
Mangwair, Langa, Complex & Godzilla.
TUZO ZA HESHIMA
Tuzo za heshima zitatolewa kwa waasisi wa muziki huu ambao hawajawekwa kwenye kategoria za kushindanishwa.
TUPIGENI KURA SASA
MWISHO WA KUPIGA KURA NI JUMANNE IJAYO.
Hata mimi namshangaaYaaani freestyle usimuweke ngwair ata Kama ni marehem he z de winner.Pengo lake halizibiki.
Af kipenz changu langa simuoni humo.
Acha tuzo za kifigisu