Tanzania General Hip Hop Awards

Katika category ya nyimbo bora ya pamoja ngomba ya kimbia ya langa, babuu ilipaswa kuwepo
 
conscious ni BONTA MAARIFA HAINA USHINDANI
best collabo MCHIZI WANGU REMIX HAINA MPINZANI
msanii bora muda wote FID Q AKIFUATIWA NA AFANDE SELE
nawasilisha
 
MSANII BORA HIP HOP WA MUDA WOTE
@ALBERT MANGWEA
WIMBO BORA HIP HOP WA MUDA WOTE
@DARUBINI_ Afande Sele
WIMBO BORA HIP HOP WA KUSHIRIKIANA
@MTAZAMO_Sele+P.Jay+Sele
ALBUM BORA HIP HOP
@MACHOZI JASHO NA DAMU_P.Jay
MSANII BORA HIP HOP NYIMBO ZA UFAHAMU
@Bonta
MSANII BORA TUNGO SIMULIZI
@Jay moe
MSANII BORA WA FREESTYLE
@ALBERT MANGWEA
MSANII BORA KTK ENGLISH LANGUAGE
@Niki MBISHI
MSANII BORA MWENYE MITINDO MINGI
Fid Q
MTAYARISHAJI BORA HIP HOP
@P FUNK MAJANI
TUZO ZA HESHIMA
SUGU, MAJANI
 
kama stamina hayupo hakuna haja ya kuendelea na hizo tuzo...
Roma kabla ya kuimba kibamia ( kabla ya kutekwa ).. acheni ubinafsi
 

Considered
 
Gheto ambassador P the Mc, Gifted son na kimbunga hizi mashine zingine The real one
 
kama stamina hayupo hakuna haja ya kuendelea na hizo tuzo...
Roma kabla ya kuimba kibamia ( kabla ya kutekwa ).. acheni ubinafsi
Stamina naye ni mwana muziki wa Hip Hop?
 
Wimbo bora wa hiphop wa muda wote ni "HAWATUWEZI" wa nako 2 nako
 
INA MAANA KATIKA KATEGORIA ZOTE HIZO #MAN_FONGO HAYUPO ?!?!
 
Aiseeee kipindi hicho. . . BINGWA ZA BONGO. . yani unatamani nyimbo zote uzisikilize
. . GK , mnyaru , sugu , nature , o ten , dulayo , 2berry , jay d , nura , k lyni , temba , chege , mchizi mox , zey b , q chief , mez b , bushoke , suma lee , suma g , watv pori , wakali kwanza , dulayo. . .
wakati mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…