Tanzania Government Bans Sending of Messages With The Word 'Tundu Lissu' in the Text

Tanzania Government Bans Sending of Messages With The Word 'Tundu Lissu' in the Text

Mashashola

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2020
Posts
4,345
Reaction score
5,718
Screenshot_20201024-084453.jpg
 
Wacha Upumbavu Andika Magufuli kama itaenda
Mbona viherehere sana
Binafsi nimajaribu. Meseji hiyo hiyo nikibadilisha jina na kuweka Magufuli inaenda. Niki-edit na kuweka Tundu Lissu haiendi! Hili ni mojawapo ya mambo ya hovyo kabisa kuwahi kushuhudiwa kwenye siasa za vyama vingi hapa nchini! Ni AIBU, to say the least!
 
Binafsi nimajaribu. Meseji hiyo hiyo nikibadilisha jina na kuweka Magufuli inaenda. Niki-edit na kuweka Tundu Lissu haiendi!! Hili ni mojawapo ya mambo ya hovyo kabisa kuwahi kushuhudiwa kwenye siasa za vyama vingi hapa nchini! Ni AIBU, to say the least!!
Jaribu John Pombe Magufuli na si Magufuli!

Au andika Tundu uone tofauti.
 
Usiamini Machotara hata siku moja, huwa hawajitambui, hawajijui kama baridi au moto, na siku moja watakuangusha, ...
 
Yaani wewe leo utapigwa spana kwenye nyuzi zako zote utakazofungua kwa sababu hauna akili ya kufikiri.

Nimejaribu muda huu kuandika JOHN POMBE MAGUFULI nikatuma ikagoma kwenda,

Nikaandika pia TUNDU LISSU nikatuma ikagoma kwenda,

Kama nadanganya atokee Mtanzania yoyote ajaribu kama mimi,

Ukiambiwa wacha kufanya page za wanaharakati uchwara source za nyuzi zako husikii...ona sasa unapigwa spana bure.

IMG_20201024_093154_297.JPG
 
Sasa atasemaje serikali ya Tanzania? Kwani haya makampuni yanatoa huduma kwa maelekezo ya serikali?

Kuna watu wao ni kuweweseka tu.

Halafu wanaweweseka kwa kauli aliyoitoa mwanamke Maria Salungi.

Siku zote wenzangu nawahusia, mwanamke anapotoa kauli yake, jambo la kwanza kufanya ni kujipa wakati kabla ya kuamua. Usipokuwa makini unaweza ukajikuta umekurupuka, halafu hata wewe mwenyewe unaanza kujishangaa. Lazima tujue, ya kuwa, wao hutumia hisia kuliko utambuzi, kufikiri na akili au hekima.
 
Sasa atasemaje serikali ya Tanzania? Kwani haya makampuni yanatoa huduma kwa maelekezo ya serikali?
We jamaa ni mgeni katika dunia hii?

Kuna Kampuni inaweza kufanya mambo yake kama serikali husika haitaki ifanye mambo yake?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Alafu tunashangaa watu wanakosa Uzalendo na nchi yao, kumbe wachache ndio wanatengeneza watu wa namna hio, huwezi kuonea baadhi ya watu alafu ukategemea kusiwe na reaction, Tanzania ya wachache haiwezi kuwa Tanzania ya WENGI.
 
Back
Top Bottom