Tanzania Government Bans Sending of Messages With The Word 'Tundu Lissu' in the Text

Tanzania Government Bans Sending of Messages With The Word 'Tundu Lissu' in the Text

CCM's days are numbered, it might not be in this election. But if Lissu runs again he could win.
 
Ni propaganda za kishamba sema hau sms halafu unatuma sms , hata iweje Watanzania sasa hv wengi wanajielewa hakuna mtu mwenye akili timamu atakae mchagua mjerumani cjui mbeligiji amabae mwezi nzima ajaahidi atajenga nini zaidi ya kutangaza atasimamia haki na sheria tu bc cjui huyo mtu wa mjini na vijijini cjui kama zinamsaidia hizo sheria za mahakamani
 
Hawa huwa kama kwenye jela fulani ya kujitakia.
 
Afrika tuna matatizo lakini haya ya Tanzania ni too much, hii ni kali ya mwaka, yaani hehehehe!!!
 
Wakenya ambao huwa tunapenda kulalamika kuhusu nchi yetu inapaswa tuwe tunayaona haya, maana hii ni level nyngine haijawahi kutokea Afrika, hatujashuhudia hii hata zile enzi za giza za miaka ya themanini.
 
Binafsi nimajaribu. Meseji hiyo hiyo nikibadilisha jina na kuweka Magufuli inaenda. Niki-edit na kuweka Tundu Lissu haiendi!! Hili ni mojawapo ya mambo ya hovyo kabisa kuwahi kushuhudiwa kwenye siasa za vyama vingi hapa nchini! Ni AIBU, to say the least!!
@Vodacom Tanzania mnatumika kisiasa mmekosa credibility
ila mwisho wenu waja
tulieni
 
Afrika tuna matatizo lakini haya ya Tanzania ni too much, hii ni kali ya mwaka, yaani hehehehe!!!
Kama kichaa yani ukisikia Jambo tu unashabikia we una uhakika? Mimi ninatumia voda mbona sms zimeenda nimejaribu jana hizo ni propaganda alikua hana sms ndio maana haijaenda
 
Tarehe 17 nimepata sms from CCM. Hiii ilitumia bulk sms ofcourse
 
Siku wakenya wakijua akili za upinzani Tanzania watashangaa.
Upinzani wanapika habari za uongo na kueneza kwenye mitandao, wa k wanameza kama zilivyoandikwa!
 
Sasa kama mmefanya mengi "yanayojieleza yenyewe" (kwa mujibu wenu), mnaogopa nini!!!!!??? Ila baba basi tu umekuwa mbabe tunaogopa kusema vile tulivyokuchoka!
 
Back
Top Bottom