Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 378
- 766
Lengo kuu huwa ni kushiriki. Kushinda sio moja kati ya mikakati yetu.Ikiwa Mashindano ya Olympics yamemalizika leo Agosti 11, 2024 Wawakilishi wa Tanzania katika Mashindano ya Olympics nchini Ufaransa watarejea nchini bila ushindi wa Medali yoyote
Tanzania ilipeleka timu ya Wanariadha 7 kwenye Mashindano hayo
Aidha mara ya mwisho Tanzania kupta Medali ya fedha kupitia mwanariadha Filbert Bayi na Suleimani Nyambui mwaka 1980
Mdau unadhani ni hatua gani zichukuliwe ili Tanzania iweze kuchukua medali ikishiri tena Mashindano haya 2028?
Medali hazidondoki. Zinapatikana kwa matayarisho na commitment ya hali ya juu ambayo CCM hawana. Kama kungekuwa na medali zinazotolewa kwa kigezo cha ufanisi wa serikali basi hali ingekuwa hivyo hivyo.Ikiwa Mashindano ya Olympics yamemalizika leo Agosti 11, 2024 Wawakilishi wa Tanzania katika Mashindano ya Olympics nchini Ufaransa watarejea nchini bila ushindi wa Medali yoyote
Tanzania ilipeleka timu ya Wanariadha 7 kwenye Mashindano hayo
Aidha mara ya mwisho Tanzania kupta Medali ya fedha kupitia mwanariadha Filbert Bayi na Suleimani Nyambui mwaka 1980
Mdau unadhani ni hatua gani zichukuliwe ili Tanzania iweze kuchukua medali ikishiri tena Mashindano haya 2028?
Nguvu gani kama sio uchawi wa yanga na makafara yao kila Siku!!!tumeweka nguvu kwenye mpira tu, michezo mingine haisikiki
Tatizo ni beyond NdumbaroTumeshindwa na nchi ambazo hazina hata watu... Singapore...
Cyprus...kuna vinchi vidogoo ila vimepta medali...Sisi tuna ujinga mwingi Sana...
Mtapata medali na waziri ndo huyu Ngumbaro?
Kwa mpira upi? Huu uliojaa wageni?tumeweka nguvu kwenye mpira tu, michezo mingine haisikiki
Hata huko hatuna kitutumeweka nguvu kwenye mpira tu, michezo mingine haisikiki
Fungu la kukosa hiliIkiwa Mashindano ya Olympics yamemalizika leo Agosti 11, 2024 Wawakilishi wa Tanzania katika Mashindano ya Olympics nchini Ufaransa watarejea nchini bila ushindi wa Medali yoyote