Tanzania Haijashinda Medali yoyote Olympics kwa takriban miaka 40. Shida iko wapi?

Ikiwa Mashindano ya Olympics yamemalizika leo Agosti 11, 2024 Wawakilishi wa Tanzania katika Mashindano ya Olympics nchini Ufaransa watarejea nchini bila ushindi wa Medali yoyote

Tanzania ilipeleka timu ya Wanariadha 7 kwenye Mashindano hayo

Aidha mara ya mwisho Tanzania kupta Medali ya fedha kupitia mwanariadha Filbert Bayi na Suleimani Nyambui mwaka 1980

Mdau unadhani ni hatua gani zichukuliwe ili Tanzania iweze kuchukua medali ikishiri tena Mashindano haya 2028?
Hizo hela wafanyie shughuli nyingine tu.
 
Tuko busy na simba na yanga
 
Tumeshindwa na nchi ambazo hazina hata watu... Singapore...
Cyprus...kuna vinchi vidogoo ila vimepta medali...Sisi tuna ujinga mwingi Sana...

Mtapata medali na waziri ndo huyu Ngumbaro?
Hatari kweli kweli.....ila changamoto ni zaidi ya Ndumbaro kuanzia maandalizi n,k
 
Kila jambazi akitaka mambo yake yaende anajiunga na chama then he will be safe, nchi haiwezi kwenda Kwa namna hiyo.
 
Nguvu zimeelekezwa kwenye mpira, hata sasa muda huu wanatakiwa waanze kuwanoa wachezaji wenye vipaji mbalimbali, ndani ya miaka 4 watakuwa angalau wamepata wachezaji waliondaliwa, na sio muda ukifika wanakumbuka kujifunika shuka asubuhi, hapo watakuwa wameshachelewa na matokeo yake ndio haya kama tunavyoyaona.
 
Tatizo kubwa ni viongozi wa riadha hasa hivi vizee vya TOC, Filbert Bayi ( huyu hataki mtu avunje rekodi yake ya uwanjani) , kuna kizee kingine kinaitwa Henry Tandau ( hiki kina kiburi sana na kujifanya kinawajua viongozi wote) na Ghulam Rashid wa Zabzibar.

Hivi vizee ni tatizo kubwa kwenye riadha tanzania
 
Tanzania ilipeleka timu ya Wanariadha 7 kwenye Mashindano hayo
Bora sisi tumepeleka 7 Kisha tumetoka mikono mitupu. Tumesevu bajeti.

Kuna nchi imepeleka 88 na bado imetoka bilabila. 👇👇👇

Kiufupi, uwezo mdogo tulionao kutoka Kwa wachezaji.
 
Attachments

  • Olympic 2024.jpg
    Olympic 2024.jpg
    101.2 KB · Views: 6
The reasons are obvious. Hatuandai Wana michezo.

Bongo tunasubiri utoke kwa juhudi zako ili ushobokewe au kupondwa ukifeli. Serikali haitoi mchango wowote ule kwa wanamichezo.

Kingine, bongo tunapenda mpira ila mpira wenyewe hautupendi. Tumeweka akili zote huko tumesahau michezo mingine kabisa.
 
Bora sisi tumepeleka 7 Kisha tumetoka mikono mitupu. Tumesevu bajeti.

Kuna nchi imepeleka 88 na bado imetoka bilabila. 👇👇👇

Kiufupi, uwezo mdogo tulionao kutoka Kwa wachezaji.

Hao wachezaji mliwaandaa?
 
Tumeshindwa na nchi ambazo hazina hata watu... Singapore...
Cyprus...kuna vinchi vidogoo ila vimepta medali...Sisi tuna ujinga mwingi Sana...

Mtapata medali na waziri ndo huyu Ngumbaro?

Idadi ya watu sio hoja. Hoja ni maandalizi. Kama hatuandai watu toka utotoni kuwa competent to compete at the world level hatuwezi toboa abadan.
 
Uongozi unaohusika na maandalizi ya Olympic Tanzania hawako siriasi na jambo hili kwa miaka 40
Maandalizi duni
Uchaguzi wa wanamichezo mbovu pia
Nina amini mitaa ina watu wanaoweza kutufikisha mbali ila hawapewi nafasi
Mashindano ya michezo mashuleni, mtaani na vyuoni tunayashudia live na uwezo tunauona live miaka yote hiyo, cha ajabu vizazi vyote vinavyoonesha uwezo katika michezo hiyo hatuwaoni wakipewa nafasi ya kuwakilisha nchi 😰😰
 
The 2024 Paris Olympic Games concluded on Sunday, with the U.S. topping the medal table.

According to the medal count, the U.S. leads, followed by China, Japan, and Australia, with the hosts, France, wrapping up the top five.

In Africa, Kenya leads the continent with four gold medals, two silver, and five bronze.

The East African country got two gold medals through Beatrice Chebet in the 5,000m and 10,000m races.

Emanuel Wanyonyi also won gold in the 800 metres, while Faith Kipyegon set an Olympic Record in the 1,500-metre race with a time of 3: 51.29.

Algeria is second with two gold and one bronze medal. Kaylia Nemour won the sole gold medal, making history by becoming the first African to win a medal in artistic gymnastics. Boxer Imane Khelif won welterweight gold.

South Africa is third on the medal list, with swimmer Tatjana Smith winning one gold medal. They also won silver and three bronze medals.

Ethiopia is fourth, with one gold medal in the men’s marathon through Tamirat Tola and three silver medals.

Egypt completes Africa’s top five, with one gold from Ahmed Elgendy in modern pentathlon, and one silver and bronze.
 
Ikiwa Mashindano ya Olympics yamemalizika leo Agosti 11, 2024 Wawakilishi wa Tanzania katika Mashindano ya Olympics nchini Ufaransa watarejea nchini bila ushindi wa Medali yoyote

Tanzania ilipeleka timu ya Wanariadha 7 kwenye Mashindano hayo

Aidha mara ya mwisho Tanzania kupta Medali ya fedha kupitia mwanariadha Filbert Bayi na Suleimani Nyambui mwaka 1980.

Soma Pia: Watanzania 7 kupeperusha Bendera ya Tanzania katika Olimpiki 2024 huko Paris

Mdau unadhani ni hatua gani zichukuliwe ili Tanzania iweze kuchukua medali ikishiri tena Mashindano haya 2028?
Shida ni ccm na kamati ya olimpiki.
Tumpe gidabuday
 
Hata medali ya nidhamu wameikosa?
 
Back
Top Bottom