Hizo hela wafanyie shughuli nyingine tu.Ikiwa Mashindano ya Olympics yamemalizika leo Agosti 11, 2024 Wawakilishi wa Tanzania katika Mashindano ya Olympics nchini Ufaransa watarejea nchini bila ushindi wa Medali yoyote
Tanzania ilipeleka timu ya Wanariadha 7 kwenye Mashindano hayo
Aidha mara ya mwisho Tanzania kupta Medali ya fedha kupitia mwanariadha Filbert Bayi na Suleimani Nyambui mwaka 1980
Mdau unadhani ni hatua gani zichukuliwe ili Tanzania iweze kuchukua medali ikishiri tena Mashindano haya 2028?
Tuko busy na simba na yangaIkiwa Mashindano ya Olympics yamemalizika leo Agosti 11, 2024 Wawakilishi wa Tanzania katika Mashindano ya Olympics nchini Ufaransa watarejea nchini bila ushindi wa Medali yoyote
Tanzania ilipeleka timu ya Wanariadha 7 kwenye Mashindano hayo
Aidha mara ya mwisho Tanzania kupta Medali ya fedha kupitia mwanariadha Filbert Bayi na Suleimani Nyambui mwaka 1980
Mdau unadhani ni hatua gani zichukuliwe ili Tanzania iweze kuchukua medali ikishiri tena Mashindano haya 2028?
Hatari kweli kweli.....ila changamoto ni zaidi ya Ndumbaro kuanzia maandalizi n,kTumeshindwa na nchi ambazo hazina hata watu... Singapore...
Cyprus...kuna vinchi vidogoo ila vimepta medali...Sisi tuna ujinga mwingi Sana...
Mtapata medali na waziri ndo huyu Ngumbaro?
Mpira wenyewe wageni ndio wanaovuma zaiditumeweka nguvu kwenye mpira tu, michezo mingine haisikiki
Bora sisi tumepeleka 7 Kisha tumetoka mikono mitupu. Tumesevu bajeti.Tanzania ilipeleka timu ya Wanariadha 7 kwenye Mashindano hayo
Bora sisi tumepeleka 7 Kisha tumetoka mikono mitupu. Tumesevu bajeti.
Kuna nchi imepeleka 88 na bado imetoka bilabila. 👇👇👇
Kiufupi, uwezo mdogo tulionao kutoka Kwa wachezaji.
Tumeshindwa na nchi ambazo hazina hata watu... Singapore...
Cyprus...kuna vinchi vidogoo ila vimepta medali...Sisi tuna ujinga mwingi Sana...
Mtapata medali na waziri ndo huyu Ngumbaro?
cc Gerson MsigwaHao wachezaji mliwaandaa?
Shida ni ccm na kamati ya olimpiki.Ikiwa Mashindano ya Olympics yamemalizika leo Agosti 11, 2024 Wawakilishi wa Tanzania katika Mashindano ya Olympics nchini Ufaransa watarejea nchini bila ushindi wa Medali yoyote
Tanzania ilipeleka timu ya Wanariadha 7 kwenye Mashindano hayo
Aidha mara ya mwisho Tanzania kupta Medali ya fedha kupitia mwanariadha Filbert Bayi na Suleimani Nyambui mwaka 1980.
Soma Pia: Watanzania 7 kupeperusha Bendera ya Tanzania katika Olimpiki 2024 huko Paris
Mdau unadhani ni hatua gani zichukuliwe ili Tanzania iweze kuchukua medali ikishiri tena Mashindano haya 2028?
Hata medali ya nidhamu wameikosa?Ikiwa Mashindano ya Olympics yamemalizika leo Agosti 11, 2024 Wawakilishi wa Tanzania katika Mashindano ya Olympics nchini Ufaransa watarejea nchini bila ushindi wa Medali yoyote