Tanzania haikustahili kuwa moja ya wenyeji wa CHAN 2024

Saguda47

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2016
Posts
11,784
Reaction score
22,106
Yaani nchi mwenyeji watu wachache kama wako ugenini?
This is not a good move.
Watanzania wanawaza Simba na Yanga zao tu badala ya utaifa🇹🇿

CAF waipe hata Rwanda badala ya Tanzania, hovyo kabisa.
Nb: Mimi ni Mtanzania kabisa.
 
Wewe uko wapi?
 
Wende CCM si ndo timu yao
 
Kwamba kisa mashabiki ndo tusiwe wenyeji? Mbona hoja ya kipuuzi hii.

Kuna mpuuzi mwingine anajiita Erythrocyte alisema tumepataje uwenyeji wakati hakuna barabara, utadhani kuna timu imeshindwa kufika uwanjani kisa ubovu wa barabara
 
Kwanza kabisa awali ya yote nimshukuru Mama Rais Dr ... Maaamaaaae .....
 
Kwamba kisa mashabiki ndo tusiwe wenyeji? Mbona hoja ya kipuuzi hii.

Kuna mpuuzi mwingine anajiita Erythrocyte alisema tumepataje uwenyeji wakati hakuna barabara, utadhani kuna timu imeshindwa kufika uwanjani kisa ubovu wa barabara
Sawa mwelevu
 
Back
Top Bottom