Unalalamika nini sasa? Au Kibondo sio Tz?Niko kibondo
Kuna siku niliandika hapa jf kwamba kuna sababu mbili zitaathiri kujaa kwa watu uwanjaniYaani nchi mwenyeji watu wachache kama wako ugenini?
This is not a good move.
Watanzania wanawaza Simba na Yanga zao tu badala ya utaifa🇹🇿
CAF waipe hata Rwanda badala ya Tanzania, hovyo kabisa.
Nb: Mimi ni Mtanzania kabisa.
Huu ni ukweli mchunguYaani nchi mwenyeji watu wachache kama wako ugenini?
This is not a good move.
Watanzania wanawaza Simba na Yanga zao tu badala ya utaifa[emoji1241]
CAF waipe hata Rwanda badala ya Tanzania, hovyo kabisa.
Nb: Mimi ni Mtanzania kabisa.
Wanasema ni team ya mama na vijana (wachezaji) ni watoto wa mama! Sisi tukafanye nini kwenye familia ya watu!?Yaan hta hamasa hakuna Kwa hili wamezingua kwa kwel
Hoja ya mashabiki huwezi kuichukulia kitoto namna hiyo! Mpira/Football ni mashabiki na hili linaweza kutugharimu kwenye AFCON 2027Kwamba kisa mashabiki ndo tusiwe wenyeji? Mbona hoja ya kipuuzi hii.
Kuna mpuuzi mwingine anajiita Erythrocyte alisema tumepataje uwenyeji wakati hakuna barabara, utadhani kuna timu imeshindwa kufika uwanjani kisa ubovu wa barabara
Paulo Kagame in action,nyie wanyarwanda hamuwez kaa nchi za watu bila vurugu?Yaani nchi mwenyeji watu wachache kama wako ugenini?
This is not a good move.
Watanzania wanawaza Simba na Yanga zao tu badala ya utaifa🇹🇿
CAF waipe hata Rwanda badala ya Tanzania, hovyo kabisa.
Nb: Mimi ni Mtanzania kabisa.
Kwahy n taifa pekee ndo mashabiki wapo gizani, ila viwanja vya Ulaya mashabiki wapo mwangani?Hoja ya mashabiki huwezi kuichukulia kitoto namna hiyo! Mpira/Football ni mashabiki na hili linaweza kutugharimu kwenye AFCON 2027
🤣 kila mtu anamajukumu kwenye nchi hii ya wanyonge mkuuNiko kwenye majukumu ya kitaifa mkuu pia.
Kama ni mfuatiliaji, basi kwa game zinazochezwa Tz wahudhuriaji ni wengiYaani nchi mwenyeji watu wachache kama wako ugenini?
This is not a good move.
Watanzania wanawaza Simba na Yanga zao tu badala ya utaifa🇹🇿
CAF waipe hata Rwanda badala ya Tanzania, hovyo kabisa.
Nb: Mimi ni Mtanzania kabisa.
Unajilinda nini wakati we kima unajulikana ni banyamulenge. Huo upumbavu baki nao huko kwenu ushenzini. Kwanini yule skeleron wenu hakuomba kuwa mwenyeji. Hv nyie mambwa kwanini mfuatilie our great nation, nyie ni kawilaya tu.Yaani nchi mwenyeji watu wachache kama wako ugenini?
This is not a good move.
Watanzania wanawaza Simba na Yanga zao tu badala ya utaifa🇹🇿
CAF waipe hata Rwanda badala ya Tanzania, hovyo kabisa.
Nb: Mimi ni Mtanzania kabisa.
Kwamba wewe ni Mtanzania halisi😂 hongera!Unajilinda nini wakati we kima unajulikana ni banyamulenge. Huo upumbavu baki nao huko kwenu ushenzini. Kwanini yule skeleron wenu hakuomba kuwa mwenyeji. Hv nyie mambwa kwanini mfuatilie our great nation, nyie ni kawilaya tu.