Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
baada ya vita ya kwanza ya dunia leagu of nations yaliwapokonya makoloni mataifa yaloshindwa vita na kuyaweka chini ya uangalizi wa mataifa yaloshinda kama uingereza, ufaransa, ubelgiji na nk... tofauti kubwa iliyopo haya mataifa yaliyokua chini ya uangalizi uhuru wao walikua wanaudai league of nations.Baada ya vita ya kwanza ya dunia, league of nations wakaiweka Tanzania kuwa protectorate chini ya muingereza. Sasa kuwa namna hii na kuwa koloni kama zilivyokuwa Kenya na Uganda kuna tofauti gani?
Nini faida tulizopata na hasara tulizopata ukilinganisha na makoloni kama Uganda na Kenya?
ColonyWajerumani tulikua nani kwao kabla ya vita
Kwa hiyo mtawala wetu alikuwa ni league of nations?baada ya vita ya kwanza ya dunia leagu of nations yaliwapokonya makoloni mataifa yaloshindwa vita na kuyaweka chini ya uangalizi wa mataifa yaloshinda kama uingereza, ufaransa, ubelgiji na nk... tofauti kubwa iliyopo haya mataifa yaliyokua chini ya uangalizi uhuru wao walikua wanaudai league of nations.
Tanzania haikuwahi kuwa koloni wala protectorate ya muingereza, ila Tanganyika na Zanzibar zilikuwa.Baada ya vita ya kwanza ya dunia, league of nations wakaiweka Tanzania kuwa protectorate chini ya muingereza. Sasa kuwa namna hii na kuwa koloni kama zilivyokuwa Kenya na Uganda kuna tofauti gani?
Nini faida tulizopata na hasara tulizopata ukilinganisha na makoloni kama Uganda na Kenya?
Ndiyo maana Kenya wameendelea kuliko Sisi?Uganda haikuwahi kuwa colony la Muingereza ila ilikua protectorate. Kukosa uwelewa kwa Waganda, Waingereza walitawala kama koloni.
Ni Kenya tu Waingereza hawakutegemea kuondoka.
Kuitwa protectorate, crown colony ni majina tu tofauti kiutendaji ilikua ndogo sanaUganda haikuwahi kuwa colony la Muingereza ila ilikua protectorate. Kukosa uwelewa kwa Waganda, Waingereza walitawala kama koloni.
Ni Kenya tu Waingereza hawakutegemea kuondoka.
Mzungu hawekezi pesa bila kuwa na uhakika wa political stability. Afrika Kusini, baada ya Mandela kushinda uchaguzi. Wazungu walitoa pesa nyingi kwenye uwekezaji na kuzipeleka Australia.
Kenya wameendelea nini!?..ulishafika?!..watu hawawezi kujilisha wenyewe unasema wameendelea!!..barabara mbovu,kula shida
Na UGANDA 🇺🇬, protectorate ilikua ni kingdom moja tu ya Buganda nyingine zote hazikua na hiyo favourUganda haikuwahi kuwa colony la Muingereza ila ilikua protectorate. Kukosa uwelewa kwa Waganda, Waingereza walitawala kama koloni.
Ni Kenya tu Waingereza hawakutegemea kuondoka.
Mbona wamewekeza DRC na vita kila kukicha ? Waliondoa SA kwakuhofia nationalization na sio kuogopa political instabilityMzungu hawekezi pesa bila kuwa na uhakika wa political stability. Afrika Kusini, baada ya Mandela kushinda uchaguzi. Wazungu walitoa pesa nyingi kwenye uwekezaji na kuzipeleka Australia.
Mandate colony inamaanisha nini?Tanganyika haijawahi kua-protectorate colony ... chini ya muingereza ilikua ni mandate colony baadae ikaja kuitwa trusteeship colony chini ya trusteeship committee ya umoja wa mataifa
Ni baada ya ujeremani kushindwa vita ndipo makoloni yake yalipolazimika kugawanywa, vinginevyo ujeremani ilikuwa na mipango thabiti ya kudumu kimaendeleo.Dunia ilifanya makosa sana kutuondoa kwa mjerumani.
Ni makoloni yote yaliyokua ya ujerumani kabla vita vya kwanza ... yaliyochukuliwa chini ya uangalizi wa nchi zilizoshinda vitaMandate colony inamaanisha nini?
It's obvious