Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 15,415
- 29,584
- Thread starter
-
- #21
MKuu, habari hii inaongelea amani, sio ujeuri wa kijeshi.Kwa herikisiwa cha amani!
Kuna wendawazimu hapa nchini bado wanaiita Tanzania kisiwa cha amani!
Mkuu Vatican haingii kwenye statistics kama hizi kwa kuwa katika mambo haya inakuwa ni Italy. Labda pia mkiwa wabakaji sana wa watoto hamuwezi kuingia kwenye 50 bora!hata vatican hawamo
Anayekupandiksha ndo anakushusha, kwa sasa hatutaki sifa za kinafiki tunapambana na hali yetu, viva serikali ya awamu ya tano. Orodha kitu gani watuweke na orodha ya nchi zenye flyover kuonyesha tumepiga hatua au zenye streamline.Hahaha! ILikuwamo katika nchi 50 zenye amani kabla ya utawala huu. Nchi kama Sierra Leone, Malawi hazikuwamo.
Suala la kujiuliza kama Watanzania ni kwamba, hivi tunapenda sana uchumi ukue na ufisadi ukomeshwe kwa gharama ya kukosa amani nchini? Ndio maana nilisema kwamba ikiwa Magufuli angeweka jitihada kidogo tu ya kuifanya Tanzania kuwa ya amani, kuvumilia siasa za upinzani na kutokuwa mbele kukiuka haki za binadamu, basi angekuwa the best president sio tu Tanzania bali hata Afrika na duniani kwa ujumla. Lakini sasa huyu jamaa pamoja na jitihada kubwa katika ufisadi na uchumi ni kinara wa kuvunja haki za binadamu na demokrasia. Kwa nini? Ni sawa na kama unaoa mke bora sana kwenye kupika na usafi wa ndani, lakini kwenye kulea watoto na mambo mengine ya ndani ndani anakuwa zero kabisa. Huyo ni mke bora? Wengine watsema ndio wengine hapana, mie ninasema hapana. Mke bora ni yule anaejua kubalance kila kitu.
Huko nyuma Tanzania ilijulikana duniani kama nchi ambayo ilikuwa kisiwa cha amani. Sasa kutokana na matukio mengi ya kuvunjwa kwa haki za binadamu pamoja na migongano ya kisiasa na vitendo vya polisi dhidi ya raia Tanzania haionwi tena kuwa nchi yenye amani.
Badiliko kubwa la kuitoa Tanzania toka kuwa mojawapo ya nchi za amani limetokea katika uongozi wa awamu ya tano. Hivyo serikali ya awamu ya tano ipongezwe kwa kujitahidi kuimarisha uchumi na kumaliza ufisadi, lakini isutwe kwa kuiondoa Tanzania kweye listi ya nchi zenye amani duniani.
Kwa Afrika nchi zilizomo kwenye listi ni Mauritius, Botswana, Sierra Leone, Madagascar, Ghana, Namibia, Malawi na Zambia. Tukumbuke kuwa habari kama hizi zinaharibu sana soko la utalii na uwekezaji.
Mataifa 50 yanayoongoza kuwa na amani duniani mwaka 2018 ni kama ifuatavyo;
View attachment 876351
Source: Institute for Economics and Peace (IEP)
Hao ni wale" wanao vishwaga T-shirt na kofia zenye rangi ya njano na kijaniKwa heri kisiwa cha amani!
Kuna wendawazimu hapa nchini bado wanaiita Tanzania kisiwa cha amani!
KIna Tomaso lazima siku zote watakuwapo tu. Hivi unajua hata hao Institute for Economics and Peace (IEP) walioitengeneza, au wanatumia vigezo gani? Kama unadhani ni mambo ya kujitungia kwanza tafuta vigezo wanavyotumia kutengeneza hii list halafu ndio uvichambue, sio unapigia kelele kitu usichokijua. Marekani wangekuwamo ungesema imetengenezwa na Wamarekani wamejipendelea. Mswahili bwana, ukimsifia anakupongeza, ukimkosoa atasema muongo, mchochezi na unaendeleza porojo. Tutafika kweli?Hii Jedwari yoyote anaweza kutengeneza kwa Excel hata word tu..... eti hata Sierra Leone ina amani kuliko Tanzania
Awatuweke na orodha ya nchi zenye flyover kuonyesha tumepiga hatua au zenye streamline.
Uchumi upi ulioimarishwa huna habari kwamba biashara zinafungwa?Huko nyuma Tanzania ilijulikana duniani kama nchi ambayo ilikuwa kisiwa cha amani. Sasa kutokana na matukio mengi ya kuvunjwa kwa haki za binadamu pamoja na migongano ya kisiasa na vitendo vya polisi dhidi ya raia Tanzania haionwi tena kuwa nchi yenye amani.
Badiliko kubwa la kuitoa Tanzania toka kuwa mojawapo ya nchi za amani limetokea katika uongozi wa awamu ya tano. Hivyo serikali ya awamu ya tano ipongezwe kwa kujitahidi kuimarisha uchumi na kumaliza ufisadi, lakini isutwe kwa kuiondoa Tanzania kweye listi ya nchi zenye amani duniani.
Kwa Afrika nchi zilizomo kwenye listi ni Mauritius, Botswana, Sierra Leone, Madagascar, Ghana, Namibia, Malawi na Zambia. Tukumbuke kuwa habari kama hizi zinaharibu sana soko la utalii na uwekezaji.
Mataifa 50 yanayoongoza kuwa na amani duniani mwaka 2018 ni kama ifuatavyo;
View attachment 876351
Source: Institute for Economics and Peace (IEP)
Du Mkuu, mbona sasa ndio unanikatisha tamaa kabisa? Mwenzio nilikuwa angalau najipa tumaini. Yaani hakuna zuri hata moja? Si angalau tulikamata mchanga wa Acasia? Tukajenga ukuta Merelani? Tukaagiza trafiki watoze sana faini? Tukazuia mazao yetu kuuzwa Kenya? Tukasema watu wachape kazi wasiende kwenye mikutano nje? Tukazuia semina watu kujilipa posho? Tukatumbua tumbua kila siku? Tukaanza kujenga SGR na Stiegller kwa pesa zetu? Tukajenga flyover TAZARA? Tukabana ukusanyaji kodi? Tukanunua bombardier na Dreamliner? Tukapunguza mishahara ya ma-CEO? Tukajenga uwanja wa kimataifa Chato? Yaani yote hayo ni bure uchumi haujakua tu?Uchumi upi ulioimarishwa huna habari kwamba biashara zinafungwa?
Ufisadi upi ulioisha unajua zilipo 1.5t?
I say nenda shule ukasome kitu kinaitwa conducive environment for tourism and foreign direct investments, halafu rudi utoe comments zako.Kwani sisi inatuongezea nini katika maisha yetu ya kila siku
Mbona kama mada imepandiana?Marekani.- wanaua watu kila siku, polisi wanaua, raia wanaua, wabakaji wanaua, nk
Kenya - kuna El Shabab, kuna mauaji ya wao kwa wao, kuna mauaji ya polisi
Uganda - risasi nje nje hasa ukiwa mpinzani wa Museveni.
Uingereza - japo polisi wao sio wauaji, kuna sualaa terorism kubwa tu, pamoja na uuaji wa mitaani na ubakaji wa watoto, watu kutekwa nk
Hilo litakuwa chapa CHAMPION tena 1984 series
View attachment 877301Dah mashine ya ukweli sana
Huwezi kuta chata ya CAT lina pindukahovyo mkuu
View attachment 877304
Ndo ujue hiyo taarifa haijapikwa ni halisiHata USA na Russia siwaoni
Wewe ACHA HIYO KABISA WALAHIR.I P TANZANIA
Waondoe uwongo wao hapa!
Dadeki zao walahi!