Kumbe motor grader huwa linapinduka! Ndo mara ya kwanza kuona

Kumbe motor grader huwa linapinduka! Ndo mara ya kwanza kuona

kuna tairi moja halipo, yawezekana lililazwa makusudi kwa ajili ya marekebisho fulani,
Hapana sisi mafundi huwa hatupindui magari/mashine kama hizo kwa ajili ya matengezo bali huwa tunaingia chini ya gari au kupandisha gari ktk handaki la ufundi au kunyanyua gari(magari madogo) kwa machine maalum.
 
Thread za Mshana Jr ni fikirishi sana. Yawezekana anaongelea bulidoza mtu fulani hivi kwamba kuna siku ataanguka (nimewaza tu kwa sauti nene lakini sio kweli Mshana Jr hawazi hivyo)🙄🙄🙄
 
Hii katika uchambuzi wa mifumo ya ulinzi na usalama katika ULOZI na UCHAWI tunatumia "MKUYATISM THEORY" kuliangusha na kuliinua tunatumia Maputo,hii kitaalamu tunajikita katika nadharia ya"UKARAISM".
Maelezo zaidi napatikana GWIZUKULU JILALA HERBALIST CENTRE-UKEREWE.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hilo litakuwa chapa CHAMPION tena 1984 series

1537869606040.png

Huwezi kuta chata ya CAT lina pindukahovyo mkuu

1537869729205.png
 
Attachments

  • 1537869544200.png
    1537869544200.png
    31.9 KB · Views: 37
Hatimaye heading imefanyiwa masahihisho
 
Yaonekana lilikuwa very speed na operator alikuwa kalifanyia Articulation!

Kila chombo huwa kina pinduka hata roller compact linaloshindilia Barbara lenye drums huwa linapinduka pia!
 
Back
Top Bottom