Kumbe motor grader huwa linapinduka! Ndo mara ya kwanza kuona

Kumbe motor grader huwa linapinduka! Ndo mara ya kwanza kuona

Kuna tairi moja halipo, yawezekana lililazwa makusudi kwa ajili ya marekebisho fulani,
Mkuu ni kweli halipo
Lakini nilisha shuhudia likitembea bila tairi moja
Trecta ikitilewa tairi ya mbele linasonga kama kawa
 
Yan pinduka mkuu me nimewai shuhudia kwa macho likipinduka kule tukuyu mwakaleli ndan ndan
 
Nimestaajabu sana,limeangukaje tambarare hivi
FB_IMG_1616412952794.jpg
 
Back
Top Bottom