matairi yote yapokuna tairi moja halipo, yawezekana lililazwa makusudi kwa ajili ya marekebisho fulani,
Nilitaka kushangaa et hadi wewe hauamini mambo hayaNaamini
Asante mkuuMkuu hiyo machine inaitwa motor grader. Ukisema caterpilar hiyo ni brand name ambayo kuna machine nyingi sana kama bulldozer, excavator, wheel loader etc.
Shukrani kwa somoMkuu hiyo machine inaitwa motor grader. Ukisema caterpilar hiyo ni brand name ambayo kuna machine nyingi sana kama bulldozer, excavator, wheel loader etc.
Alafu utasikia limeua watu 30.Ni ajali kama ajali zingine tu(kwa hisani ya kiongozi wa serikali)
Yapo matukio mengi sana ya uvunjifu wa amani. Yanayotajwa ni kwa sababu hao ni watu maarufu. Ya Kibiti hayasahauliki, wanaofungwa bila kufikishwa mahakamani ...Kuokotwa maiti zisizojulikana mto ruvu, kudungwa risasi hadharani kwa mwanasiasa Tundu Risu na mpaka sasa hakuna taarifa za kushikiliwa mtu kwa makosa hayo kutaiwekaje Tanzania kwenye moja ya nchi zenye amani?
Matairi yote yapo [emoji41]Ndo ujue pombe sio chai
Yapo yotekuna tairi moja halipo, yawezekana lililazwa makusudi kwa ajili ya marekebisho fulani,
Hili limepinduka, bado la Magogoni.Unaanzaje kulipindua hili kwa mfano... Kama sio kipaji basi ni juju... Uchawi upo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 876522
Hilo tukio lipelekwe katika maajabu ya guiness aisee, operator inabidi ahojiwe au lilichotwa na upepo?Unaanzaje kulipindua hili kwa mfano... Kama sio kipaji basi ni juju... Uchawi upo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 876522