He!
Miaka 60 baada ya uhuru, bado hatuna miundombinu iliyo bora kuifanya nchi angalau kutajwa tu kati ya nchi kadhaa zinazofanya vizuri kwenye barabara.
Pamoja na kuwa na taasisi kama Tanroad na sasa Tarura bado hatujengi barabara zinazoweza kutolewa mifano.
Kwenye maliasili ghafi kama dhahabu, almasi, tanzanite pia hakuna popote tunapotajwa zaidi ya tambo kutoka kwenye vinywa vyetu na wanasiasa wetu.
Hivi Tanzania kama nchi tunaweza nini?.
Hiyo ni ranking ya 2022, hata Kama ilikuwepo mwaka jana, barabara zetu zilithaminiwa kwa ubora upi? Ranking ya mwaka huu 2023 hata ikiwemo tuna barabara zipi kwa umbali gani zenye ubora?Tanzania ipo top 10, taarifa zako za zamani sana.
Hapo no ukweli kama tunajenga Kwa kuripua harafu bei kubwa na tunajenga kidogo ni wazi hatumo..
Miaka 60 baada ya uhuru, bado hatuna miundombinu iliyo bora kuifanya nchi angalau kutajwa tu kati ya nchi kadhaa zinazofanya vizuri kwenye barabara.
Pamoja na kuwa na taasisi kama Tanroad na sasa Tarura bado hatujengi barabara zinazoweza kutolewa mifano.
Kwenye maliasili ghafi kama dhahabu, almasi, tanzanite pia hakuna popote tunapotajwa zaidi ya tambo kutoka kwenye vinywa vyetu na wanasiasa wetu.
Hivi Tanzania kama nchi tunaweza nini?.
Sasa unashangaa nini? Hata kama hujawahi fika jaribu ku google tuu..Senegal inawezaje kuwa na miundombinu mizuri kuliko Tanzania? Hii list ni fake
Huu ni uongo leta multiple sourcesTanzania ipo top 10, taarifa zako za zamani sana.
Yani ubungo interchange unaita msalaba? Nimecheka Sana.Hapo no ukweli kama tunajenga Kwa kuripua harafu bei kubwa na tunajenga kidogo ni wazi hatumo..
Mfano Hilo li Msalaba hapo Ubungo unaita interchange ni matusi ,mchoro ulikuwa mzuri Engineer Mwendazake akaharibu Kila kitu.
Tatizo lenu mna inferiority complex na mnaingiza siasa katika kila kitu. Tanzania imepiga hatua kubwa sana katika ujenzi wa barabara na katika nchi za Afrika, ipo top 10 kwa kushika namba 9. Huo ndiyo ukweli.
Tunajenga barabara ndio, kwa thamani ipi kulingana na ubora? Labda... Tuendelee kusubiri hiyo "Highway ya kulipia Hadi Morogoro... Lakini huyo anayetujengea atajenga kwenye viwango au kulingana maono yetu kuwa na barabara ili mradi inapitika mwaka mzima?.Tatizo lenu mna inferiority complex na mnaingiza siasa katika kila kitu. Tanzania imepiga hatua kubwa sana katika ujenzi wa barabara na katika nchi za Afrika, ipo top 10 kwa kushika namba 9. Huo ndiyo ukweli.
Kwasababu hawachukuliwi hatua zozote na kuna wengine wana akaunti China wamezificha fedha za kupora.Mkuu hakuna kitu kinanikera kama hii tabia ya udokozi wa pesa ya umma huku mwisho wa mwaka wanadai watu walipe kodi.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hapo no ukweli kama tunajenga Kwa kuripua harafu bei kubwa na tunajenga kidogo ni wazi hatumo..
Mfano Hilo li Msalaba hapo Ubungo unaita interchange ni matusi ,mchoro ulikuwa mzuri Engineer Mwendazake akaharibu Kila kitu.