Umewahi kufika Senegal? Unless unatania.Senegal inawezaje kuwa na miundombinu mizuri kuliko Tanzania? Hii list ni fake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umewahi kufika Senegal? Unless unatania.Senegal inawezaje kuwa na miundombinu mizuri kuliko Tanzania? Hii list ni fake
Kama ukubwa ni sababu basi marekani ingekuwa nchi masikini zaidi ya Tanzania.Tz ni nchi ya 31 kwa ukubwa Duniani. Huwezi kuijenga nchi yote kirahisi ivyo...
Tatizo lenu mna inferiority complex na mnaingiza siasa katika kila kitu. Tanzania imepiga hatua kubwa sana katika ujenzi wa barabara na katika nchi za Afrika, ipo top 10 kwa kushika namba 9. Huo ndiyo ukweli.