Tanzania haina Mapato ya kubeba ongezeko la Mishahara yote kwa asilimia 23.3%

Dah.....bado nasisitiza.....kuna umuhimu wa kuchanganya damu na mataifa mengine....serikali ingedhamini mabinti angalau 1000....waende kwenye mataifa mengine.....labda miaka 20 ijayo tutakuwa tunafikiri na kutenda tofauti na sasa,,,,,,🤣🤣🤣🤣🤭
 
Tatizo jingine kubwa zaidi ni kuwaza kuwa siasa ni uongo, udanganyifu, ghiliba bila uhalisia.
Ni lazima kufanya siasa za ukweli zenye matokeo halisi ya faida na maendeleo chanya kwa wananchi.
 
Why Mwijaku? Kwani yy ndo kielelezo cha ujinga? Au unabifu nae?? next time ukiwa anaongelea ishu serious dnt mix with foolish jokes ,utakosa wachangiaji,
 
Ko hujui kuwa motisha (motivation) huongeza tija katika uzalishaji? Tanzania itakuwa nchi ya kwanza duniani kuongeza mishahara kwa wafanyakazi wake? Hiyo hesabu uloweka hapa mbona haina mgawanyo? Yaani wafanyakazi waendelee kupata mishahara ileile ilihali gharama za maisha zimepanda kweli? Waulize wakulima mazao Yao yalivopanda bei ndo utajua umuhimu wa nyongeza hiyo.
 
Mkuu
Mi Binafsi sioni tena kutangazwa bkwa miradi ile mikubwa ya kimkakati!
Sijui nini kumetokea hadi sasa!
NAJIULIZA
Mwenye majibu naomba!!
Hii serikali siyo ya maneno, ni ya vitendo. Uliza walosight ndo utajua ukweli wangu
 
Huo ndo ukweli mchungu. That increment is huge money.

Hata mtukate tozo kila upande can't afford that arrears.

Uhuru aliongeza kwa 12% nchi yenye uchumi mkubwa.

Hapa kwetu tunategemea royo tuwa.
 
Watu wa mwendazake inawauma maana mpendwa wao anaumbuka mama anaongeza mishahara na kazi zinaendelea
 
Watu wa mwendazake inawauma maana mpendwa wao anaumbuka mama anaongeza mishahara na kazi zinaendelea
Mwendazake alikuwa anajua hela zake, mishahara alikuwa anaongeza kwa wafanyakazi wa mabarabara tu
 
Failures mna excuses nyingi sana..

Huyu ndio Samia sasa mama wa vitendo sio porojo 👇
 

Attachments

  • 20220702_104205.jpg
    309.4 KB · Views: 8
  • 20220702_104212.jpg
    349.2 KB · Views: 5
Huo ndo ukweli mchungu. That increment is huge money.

Hata mtukate tozo kila upande can't afford that arrears.

Uhuru aliongeza kwa 12% nchi yenye uchumi mkubwa.

Hapa kwetu tunategemea royo tuwa.
Hahaa! Unamuangalia uhuru kuijaji tanzania??!! Mishahara ilikuwa haijapanda kwa muda gani? Unaweza kukuta uhuru alichokipandisha ndani ya miaka yake ni zaidi ya 23.3%. Kwani ktk hesabu zako ongezeko hilo ni sawa na kiasi gani kwa mwaka mzima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…