Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Usijiangalie wewe,angalia pia vitu vimepanda bei-malalamiko yote haya ni kutokana na vipato vya watu kuwa vidogo ndio maana unaona kelele nyingi ya vitu kupanda bei.So,sote tunajua the only solution to that ni kuongeza fedha mtaani ili watu waanze kufanya production.Something has to give ndio mwisho wa miradi mikubwa ya barabara na other necessary infrastructure za kuchochea uwekezaji maeneo yote ndani ya Tanzania.
Hawa ni short sighted sio nation builders wapo kwa sababu ya kupigiwa makofi sio kuangalia Tanzania ya kesho.
Well kupanga ndio kuchagua, wanajibebesha majukumu based on optimistic scenario which usually highly unlikely ya kukuwa kwa mapato.
It is not rocket science kuona matatizo waliyoamua kujitwisha ili kufurahisha kadamnasi nadhani Tanzania ndio nchi pekee iliyoingeza mishahara wakati dunia nzima ina pambana na kushusha inflation with subsidising policies bei ya bidhaa ziwe stable.
Kama Serikali una njia 2 za kuweka hela kwenye mzunguko ni either utekeleze miradi ambayo itakayopeleka hela kwa watu au uongeze mishahara.Kumbuka 80% ya miradi yetu Wakandarasi ni wa nje hivyo fedha zote ukizotoa kwenye hiyo miradi zinahama kwenda Nchi zingine na huku fedha za ongezeko LA mishahara mostly zitaenda kwenye shughuli nyingi zinazomilikiwa na wazawa.