Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaaa.... Nimekuelewa...Roho mbaya imekujaa...
Wafanyakazi walipokaa miaka 7 Bila kuongezewa Chochote Ndio maendeleo yalikuja??
Ukikuta deni la nchi $42.1 billion na tumewekwa as moderate risks kwa zaidi ya miaka 10.Kwani hiyo miradi mikubwa magufuli alikua anatumia fedha za ndani au mikopo?
Kwa ivyo unapambana na inflation ambayo chanzo chake mafuta kwa kuongeza mishahara.
Wakati wakandarasi washaanza kulalamika gharama za kutekeleza miradi zimeongeka kwa sababu ya kupanda; hiyo inakwenda kuongeza gharama za serikali kwenye kulipia miradi
Mishahara inaenda kuongeza gharama za admin costs za serikali
Bei za bidhaa zimepanda maradufu kwenye kila kitu ongezeko la mishahara italeta unafuu kiasi lakini fall in government collection zitakuwepo tu ambazo unategemea kulipia hiyo nyongeza ya mishahara.
Kutokana na hiyo vicious circle ndio maana kila nchi duniani inapambana na bei ya mafuta kwa sababu ndio tatizo la msingi.
Hili sakata la kupambana na inflation mtu ambae kalitolea majibu yenye mazuri ni Zitto nadhani ile ndio direction sahihi.
Hili la kuongeza mishahara ni kujimbia shimo zaidi na kuacha agenda muhimu ufungui nchi kwa kuzurura bali unafungua nchi kwa kuweka easy access ya watu kuweza kuwekeza popote na accesss za kufikia masoko kirahisi au bandari kama ni for exportation.
Swala la uwekezaji wa miundombinu ni chungu lakini hakuna shortcut hakuna nchi duniani iliyokuwa bila ya kufungua access za sehemu mbalimbali nchini kwake; ukisoma historia ya US ni interconnection ya railway ndio iliyopaisha uchumi, ukienda UK canals na baadae railway na nchi nyingine nyingi ni mabarabara; hakuna uchumi unaokuwa bila ya interconnection ya kufikia masoko kirahisi.
Swala hapa kupanga ni kuchagua agenda yako ya kitaifa ya muda mrefu ni nini; sera za awamu ya sita ni za muda mrefu lakini maendeleo yanataka sacrifice.
Ni bora utumie tsh1 kupambana na inflation kwa ku stabilise bei ya mafuta which you know is a temporary measure kuliko ujiongezee full time commitments za tsh2 trillion kila mwaka wakati mapato yenyewe wasiwasi.
Sasa hivi serikali inalipa wafanyakazi wake 500bn kwa mwezi.Ulikimbia hesabu shuleni, au ulipata mswaki (F), hizo number ni kubwa na inaonekana kichwa chako kidogo sana!
Something has to give ndio mwisho wa miradi mikubwa ya barabara na other necessary infrastructure za kuchochea uwekezaji maeneo yote ndani ya Tanzania.
Hawa ni short sighted sio nation builders wapo kwa sababu ya kupigiwa makofi sio kuangalia Tanzania ya kesho.
Well kupanga ndio kuchagua, wanajibebesha majukumu based on optimistic scenario which usually highly unlikely ya kukuwa kwa mapato.
It is not rocket science kuona matatizo waliyoamua kujitwisha ili kufurahisha kadamnasi nadhani Tanzania ndio nchi pekee iliyoingeza mishahara wakati dunia nzima ina pambana na kushusha inflation with subsidising policies bei ya bidhaa ziwe stable.
Ongezeko la 23.3% ya mishahara Tanzania linaongeza 2.8 billion za hela ya South Africa au Tanzania hii hii? Hizi hesabu umezitoa kichwani kwa nani mbona kunasikitisha.Kama kila mfanyakazi ataongezewa 23.3% kwenye mshahara wake na kama wafanyakazi wanaolipwa na serikali ni 400k, hivyo wage bill itaongezeka kwa 2.8bn tu
Kwa kulipa wafanyakazi wote 23.3% ya mishahara yao sasa ni sawa na kusema wage bill imeongezeka kiasi cha 2.8 hadi 3.8bn shillings. Je ni kweli serikali itakosa 2.8 -3.5bn kwa mwezi?
Tulishaambiwa nchi hii ni tajiri sana! We ni nani unayetaka kuturudisha kwenye nyimbo za "sisi ni maskini"?Inawezekana wale wanaopokea kimya Cha chini ndo wameongezewa izo asilimia ila kadri unavyopanda juu asilimia zinapungua
Utakuwa ni mfaidika wa Royal tour,inaonyesha upepo umekujaa kichwa kizima unatamani kila kitu ufe nacho wewe.Kama.nchi haina uzalishaji ni matatizi ya tokea Uhuru.Kuongeza mshahara wala sio stareheUkisoma vizuri kitabu cha WHY NATIONS FAIL ( The Origins of Power,Prosperity & Poverty) cha DARON ACEMOGLU na JAMES A.ROBINSON utajua kwa uhakika ni kwa nini Tanzania yetu ni masikini hivi na itachukua muda mrefu kubadili hali hii.
Kwa ufupi ni kwamba tunacho kila kitu kinachohitajika kwa ajili ya maendeleo katika Nchi yetu kasoro watu wenye maarifa na taasisi imara.
Hata watu wachache wenye maarifa tulionao pia wana maarifa yaliyopitwa na wakati (obsolete) au waliyo karirishwa tu! Tunaweza kusema maarifa yao hayo ni USELESS KNOWLEDGE tu.
Nchi bila uzalishaji na kuingiza Nguvu kazi kubwa katika uzalishaji ili kuongeza tija ni kazi bure tu.
Viongozi wetu na wachumi wetu waliwasoma akina Adam Smith kwenye THE WEALTH OF NATIONS kwa ajili ya kukariri kujibia mitihani tu!
Watu wetu hata wasomi wakubwa hawajui kutafsiri hata vitu basic kabisa!
Watu wanaambiwa kima cha chini la Mshahara kimeongezeka kwa asilimia 23.3% ,wao wanakimbilia Rais ameongeza Mishahara kwa asilimia 23.3% ( akili za Ki- Mwijaku Mwijaku)!
Jiulize kwanza kama Mishahara itaongezwa kwa asilimia 23.3% yote ,Wage Bill yetu itakuwa Shilingi ngapi?!
Wage Bill ikifika bilioni 900 kwa mwezi na madeni tunayolipa kwa mwezi ni bilioni 900 wakati Mapato yetu kwa mwezi Trilioni 1.5 ( bilioni 1500) Nchi itakwendaje?!
Ukitaka kujua Nchi hii ina tatizo kubwa katika Wealth Creation angalia utitiri wa tozo katika mafuta!
Kwahiyo ukifuatilia sasa mjadala ni asilimia 23.3% ya ongezeko la Mishahara ni kwa kima cha chini pekee au Mishahara yote!
Uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana, ndo maana kwao ni rahisi sana kumwelewa Mrisho Mpoto au Mwijaku kuliko ninachomweleza hapa.Naona mfanyishwa kazi unafurahia tangazo na unachukia ukweli wa tangazo.
Sasa sikiliza wewe mfanyishwa kazi, alichoeleza mleta mada ni kwamba ongezeko hilo haliwezekani. Maana pato jumla la mwezi ni dogo kuliko mahitaji jumla ya mwezi.
Hujui kitu,tulia! Dunia hii haiko kama ilivyo Bali iko kama wewe ilivyo!Alipoacha kutangaza ongezeko la Mishawaka Mei mosi mliongea na Sasa ametangaza mnaongea .Kenge Nyie.
Huwa hamkosekani 🤣🤣Ukisoma vizuri kitabu cha WHY NATIONS FAIL ( The Origins of Power,Prosperity & Poverty) cha DARON ACEMOGLU na JAMES A.ROBINSON utajua kwa uhakika ni kwa nini Tanzania yetu ni masikini hivi na itachukua muda mrefu kubadili hali hii.
Kwa ufupi ni kwamba tunacho kila kitu kinachohitajika kwa ajili ya maendeleo katika Nchi yetu kasoro watu wenye maarifa na taasisi imara.
Hata watu wachache wenye maarifa tulionao pia wana maarifa yaliyopitwa na wakati (obsolete) au waliyo karirishwa tu! Tunaweza kusema maarifa yao hayo ni USELESS KNOWLEDGE tu.
Nchi bila uzalishaji na kuingiza Nguvu kazi kubwa katika uzalishaji ili kuongeza tija ni kazi bure tu.
Viongozi wetu na wachumi wetu waliwasoma akina Adam Smith kwenye THE WEALTH OF NATIONS kwa ajili ya kukariri kujibia mitihani tu!
Watu wetu hata wasomi wakubwa hawajui kutafsiri hata vitu basic kabisa!
Watu wanaambiwa kima cha chini la Mshahara kimeongezeka kwa asilimia 23.3% ,wao wanakimbilia Rais ameongeza Mishahara kwa asilimia 23.3% ( akili za Ki- Mwijaku Mwijaku)!
Jiulize kwanza kama Mishahara itaongezwa kwa asilimia 23.3% yote ,Wage Bill yetu itakuwa Shilingi ngapi?!
Wage Bill ikifika bilioni 900 kwa mwezi na madeni tunayolipa kwa mwezi ni bilioni 900 wakati Mapato yetu kwa mwezi Trilioni 1.5 ( bilioni 1500) Nchi itakwendaje?!
Ukitaka kujua Nchi hii ina tatizo kubwa katika Wealth Creation angalia utitiri wa tozo katika mafuta!
Kwahiyo ukifuatilia sasa mjadala ni asilimia 23.3% ya ongezeko la Mishahara ni kwa kima cha chini pekee au Mishahara yote!
Sasa hivi serikali inalipa wafanyakazi wake 500bn kwa mwezi.
Tu assume serikali iwaongezee kila mfanyakazi wake 50% ya mshahara wake.
Hii ina maana wage bili itakuwa 750bn kwa mwezi.
Je serikali haiwezi kupata hiyo 250bn kwa mwezi?
Akili ndogo,hapo unadhani sasa kwamba Mimi napinga nyie kuongezewa Mishahara! Utapata akili pale utakapokuta Mshahara wako umeongezewa elfu 10 na wewe kuchekelea asilimia 23.3% ambayo ni kwa kima cha chini ambacho wewe haumo!Huwa hamkosekani 🤣🤣