7. Mahindi
8. Mchele
9. Nyama/kuku/ng'ombe/mbuzin.k.
10. Maziwa
11. Samaki
Ni watu gani wasioweza kufanikisha haya kama viongozi watakuwepo wa kuwajibika kwa wananchi kufanya kazi zao kwa ufanisi.
Mbona mahindi na mchele miaka ya hivi karibuni imewezekana, si ni waTanzania hao hao wanaofanya haya, kwa nini hayo mengine washindwe hadi twende kulilia watu wa nje waje hapa kutufanyia kazi hizi.
Na si hayo tu yanayohusika na kilimo na ufugaji, yapo maeneo mengi sanna ambayo wananchi wapo tayari kabisa kuyafanya kwa ufanisi, hata ya uzalishaji wa viwandani, wapo.