NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Nimefanya utafiti binafsi nimegundua hakuna tatizo la ajira nchini Bali tatizo la kifikra na kimaslahi la viongozi tuliowapa dhamana.
1. SEKTA YA KILIMO MIFUGO
Hii ndio UTI wa mgongo wa taifa letu, katika watu milioni 60 waliopo nchini karibu million 30 ni wakulima waliopo mijini na vijijini, Idadi ya wataalamu was kilimo/mifugo inaendana na idadi ya wakulima hao?
Yaani uwiano uliopo kati ya Afisa kilimo/mifugo na wakulima upoje? Kila afisa anahudumia wakulima wangapi Kwa mwaka?
Tufanye Kila Afisa anahudumia wakulima 50 Kwa mwaka, gawanya idadi ya wakulima kwa idadi ya wakulima wanao hudumiwa na huyo afisa (30000000÷50=600000) Kuna hitajika maafisa kilimo 600000 nchi nzima, he waliopo wanafika idadi hiyo? Jibu ni hapana! Chukua hao laki sita toa waliopo kwenye ajira utapata idadi ya ajira pungufu zilizopo Hadi sasa!
Hakuna tatizo la ajira nchini.
2. SEKTA YA ELIMU
Kila mwaka watoto wanaoandikishwa kujiunga darasa la kwanza inaongezeka lakini idadi ya walimu haiongezeki kukidhi mahitaji yao!nchi nzima Ina walimu kama laki tatu, katika watu million sitini nusu yao yaani million 30 ni vijana wenye umri chini ya 23 ambao wapo mashuleni, mfano TU, takwimu inaweza kuongezeka kwasababu watoto ni wengi zaidi kuliko watu wazima!
Chukua nusu idadi ya watu (30000000÷300000=100), kila mwalimu anafundisha wastani wa vijana 100,kitaalam anapaswa afundishe 45 Kwa darasa. Kwa idadi hiyo mwalimu mmoja anafundisha mara tatu ya idadi kitaalam kwa uwiano mkubwa sana!
Chukua hiyo 100÷45=2.2 kwa hiyo idadi ya walimu wanaohitajika ni mara mbili ya waliopo kwahiyo 300000×2=600000 -300000=300000, kuna walimu laki tati wengine wanahitajika nchini kuendana na idadi ya wanafunzi waliopo mashuleni na vyuoni!
Ajira za ualimu laki tatu zipo wazi kabisa!
3. SEKTA YA AFYA
Katika watu million 61, to assume million 20 ni wagonjwa was magonjwa mbali mbali nchini, tuchukue idadi ya madaktari nchi nzima waajiriwa kama laki mbili, gawanya Kwa idadi ya wagonjwa 20000000÷200000=100, inamaana kila dokta au nesi anahudumia wagonjwa 100 Kwa siku. Sasa basi wastani wa mhudum na mgonjwa kwa siku ni ngapi? Tuseme labda 50,100÷50=2, idadi ya madokta na manesi wanaohitajika ni mara mbili ya waliopo yaani laki mbili wengine wanahitajika mahospitalini!
Kuna ajira 200000 za wahudumu was afya nchini!
Kwenye sekta hizo kuu tatu Kuna jumpa kuu ya ajira wastan million Moja yaani, jumlisha sekta ya kilimo, afya na elimu 500000+300000+200000=1000000
Kuna uhaba wa waajiriwa million moja kwenye sekta za umma nchini!
Hakuna tatizo la ajira Bali tatizo la viapaumbele.
Bado sekta ya viwanda vya sukari, mafuta na vinginevyo ambavyo supply ipo chini ndio maana kuna mfumuko wa bei.
Ajira zipo, serikali Haina fedha za kuajiri kwasasbabu fedha nyingi zimeelekezwa kwenye anasa za kulipa wanasiasa mishahara mikubwa, posho za madaraka na magari ya kutembelea plus bills zote!
Anahitajika mtu atakaeenda kuondoa uozo huo!
Pia ajira za serikali mwisho miaka 15, yaani mtumishi was umma anatumika Kwa ufanisi na nguvu timamu Kwa miaka 15 TU SI zaidi ya hapo! Kwahiyo ajira za maisha Hadi kustaafu ziondolewe zije za mikataba za miaka mitano ,mitano Kwa awamu tatu tu! Mikataba ya maisha inaleta kubweteka kwa mtumishi. Kila baada ya kumaliza mkataba inafanyika tathmini juu ya utendaji KAZI na matokeo kwa asilimia 60, akikidhi vigezo ndio anaoengezewa mkataba au kusitishiwa mkataba!
Shirika la kazi Duniani lielezwe kama ongezeko la watu ni kubwa na mahitaji yanaongezeka na ajira lazima ziongezeke!
Anahitajika mwenye uwezo huo na nchi itasonga!
HAKUNA TATIZO LA AJIRA NCHINI BALI VIPAUMBELE VYA WENYE DHAMANA.