Tanzania haina Vita ya kiuchumi na nchi yoyote, ila ina Vita vya kiroho

Uamini,usiamini,hakuna yeyote anayeweza kuwa Rais kwa njia yoyote bila kibali cha Mungu.

Utaumia bure kama huu ukweli hauujui
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hao jamaa zako wanajua JPM ni kifaa halisi cha kazi na wala hatanii, hababaishi. Ndiyo maana walipoona buku lake kurasa 303, wakachanganyukiwa maana wanajua akifanikiwa itakuwa nongwa na noma sana kwao. Ndiyo maana wanajaribu kila kona kupiga spana zao, lakini nazo zinateleza tu. Go JPM Go!!!
Go JPM go to hell
 
Achana na huyo jamaa ana huzuni, huenda ni miongoni mwa waleee waathirika kwenye mojawapo ya makundi ya walarushwa, wapigadili, wazembe, watumishi hewa, mafisadi na makanjanja.
Mpiga dili kapiga €27 million. Nchi haina Corona, kazichukua za Nini?
 
Ila nmekuja kugundua watanzania wengi ama hawa reason au bendera hufuta upepo.
Nani hajui kuwa corona ilikuwepo tanzania na ilichukua ndgu zetu na hata serikali ilikuwa inatangaza.
Kwahiyo kumbe walitoa fedha zao ili tuzidi kuwa na corona au tupambane na corona?
Hapo awali hakuna asiyejua serikali iliweka strategies mbalimbali za kupambana na covid 19 na kweli covid 19 amerudi alikotoka.
Swali la kuwauliza hao jamaa ni moja tu kwamba,
Mlitupa fedha ili tupambane na covid 19 au ili tuzidi kuwa na covid 19
 
Kwani mlipodai ambulance za serikali zinasafirisha maiti kuzika usiku, na zile klipsi zenu togwa za kuediti, na zileee hotuba za masaa kumi za Mr Hai & Mr Heavy, mlikuwa mnazungumzia ugonjwa gani???
 
Walitaka watupatie na ileeeeeeeeeeeeeeeeee chanjo yao ghashashi aliyoikubali Mr wa nchi jirani.
 
Kwani mlipodai ambulance za serikali zinasafirisha maiti kuzika usiku, na zile klipsi zenu togwa za kuediti, na zileee hotuba za masaa kumi za Mr Hai & Mr Heavy, mlikuwa mnazungumzia ugonjwa gani???
Ilikuwa ni September? Hizo pwsa nyie mmezitapeli September
 
Kwani mlipodai ambulance za serikali zinasafirisha maiti kuzika usiku, na zile klipsi zenu togwa za kuediti, na zileee hotuba za masaa kumi za Mr Hai & Mr Heavy, mlikuwa mnazungumzia ugonjwa gani???
Baada ya kuulizwa hela mlizopiga ndio mnakubali kuwa ilikuwa kweli? Si mlikana nyie?
 
Viongozi wa nchi, na viongozi wa CCM Mara nyingi wamesikika wakisema eti nchi yetu iko kwenye vita vya kiuchumi, ina pambana na mabeberu.
Huuu Ni utopolo daraja la Kwanza, unapambanaje na mbuzi? Kama mabeberu ni nchi hisani unapambanaje na anayekupa msosi?
Hebu fikiria uchumi wetu ulivyo, yaani choka mbaya, balance of trade hamna, tunanunua nje Kila kitu tunachokitumia, isipokuwa maji na chakula tu, halafu tunajinasibu eti tuna Vita.
Taifa hili linaongoza kwa kutokuwa na furaha. Usipokuwa na furaha ni kwamba una majonzi.
Ukikaa kwenye hali ya majonzi kwa muda mrefu, unaanza kuona kila mtu hakupendi, ndio tuonavyo, tunaona Rwanda hawatupendi, Kenya hawatupendi, Wazungu hawatupendi yaaani full wenge.
Hii sii Vita ya uchumi, Ni Vita ya kiroho.
Tunagombana na Yale tuyaonayo kwenye akili zetu.
Ndio maana mkuu kaminya Twitter, bila VPN hutoboi.
Ndio maana anasema anatamani malaika wazime mitandao.
Ndio maana anatamani nchi nzima tuwe CCM
Ndio maana anatamani yeye awe jaji, mwendesha mashitaka, Polisi, mchungaji, daktari, nesi, yaani kila kitu awe yeye. Kwasababu ndani yake hamna kutosheka. Hiyo Ni Vita ya kiroho.
Tanzania hatuna Corona, kaenda kuchukua mahela ya watu, kayatumia, kumbe wanamchora tu, Sasa wanamuuliza, hela zetu za Corona umefanyia Nini wakati kwenu hamna Corona? Hana majibu, hiyo sio Vita vya uchumi, Ni Vita vya kiroho, unasutwa na dhamira yako.
Watu wakipigwa risasi mchana kweupe, hujishughulishi kufanya uchunguzi, unaona is none of your business.
Ben Saanane kapotea, hujali, unaona poa tu
Azory kapotea, Wala huhangaiki
Maiti zinaokotwa kwenye mifuko mitoni na baharini, hujali.
Hii inaonyesha una roho gani, hiyo Ni Vita ya kiroho sio uchumi.
Unasema eti watu wanayatamani madini yetu. Mbona kipindi cha Nyerere hakukuwa na wachimbaji zaidi ya Williamson, hao mabeberu walipungukiwa Nini?
Dunia ikikosa tanzanite kwani itaathirika Nini?
Una Vita vya kiroho ndio maana kila siku unataka kuombewa.
Hamna kiongozi tangu Uhuru ameomba Mara nyingi zaidi aombewe isipokuwa wewe
Sijaona la maana lolote ulilosema hapa zaidi ya lawama zako binafsi ulizotumbuliwa kwa vyeti feki au kuminywa mianya yako ya wizi wa kodi.

Watu ninyi wa aina hii ndiyo mnakuja sana mitandaoni kuaminisha watu kua serikali na JPM hawafai,na bahati nzuri huku mitandaoni tunaingia kama 15% tu ya waTanzania wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuendelea kumlaani haisaidii.Tunapaswa kujua kuwa Mungu amekubali awe kiongozi wetu.Hatujui kama Muumba wetu anavyojua.Kwa hiyo tunapaswa kumbariki na kumuombea,hata kama tunaona kuna mambo haturidhiki nayo.
Kisasi ni juu ya Mungu kama kweli hayo yanayosemwa hajayafanyia kazi.Wakati mwingine ni vigumu kujua huenda yamefanyiwa kazi ikabaki kuwa siri.
Mungu hawezi shiriki dhambi naomba usiweke neno mungu katika siasa za Tanzania angalia yalutokea watu wamekufa wamefungwa na wakaiba kura halafu uweke mungu
Weka neno shetani kama nilivyo mm
 
Hao jamaa zako wanajua JPM ni kifaa halisi cha kazi na wala hatanii, hababaishi. Ndiyo maana walipoona buku lake kurasa 303, wakachanganyukiwa maana wanajua akifanikiwa itakuwa nongwa na noma sana kwao. Ndiyo maana wanajaribu kila kona kupiga spana zao, lakini nazo zinateleza tu. Go JPM Go!!!
Ujumbe huo umeletwa kwenu kwa hisani ya watu wa MAREKANI
 
Viongozi wa nchi, na viongozi wa CCM Mara nyingi wamesikika wakisema eti nchi yetu iko kwenye vita vya kiuchumi, ina pambana na mabeberu.
Huuu Ni utopolo daraja la Kwanza, unapambanaje na mbuzi? Kama mabeberu ni nchi hisani unapambanaje na anayekupa msosi?
Hebu fikiria uchumi wetu ulivyo, yaani choka mbaya, balance of trade hamna, tunanunua nje Kila kitu tunachokitumia, isipokuwa maji na chakula tu, halafu tunajinasibu eti tuna Vita.
Taifa hili linaongoza kwa kutokuwa na furaha. Usipokuwa na furaha ni kwamba una majonzi.
Ukikaa kwenye hali ya majonzi kwa muda mrefu, unaanza kuona kila mtu hakupendi, ndio tuonavyo, tunaona Rwanda hawatupendi, Kenya hawatupendi, Wazungu hawatupendi yaaani full wenge.
Hii sii Vita ya uchumi, Ni Vita ya kiroho.
Tunagombana na Yale tuyaonayo kwenye akili zetu.
Ndio maana mkuu kaminya Twitter, bila VPN hutoboi.
Ndio maana anasema anatamani malaika wazime mitandao.
Ndio maana anatamani nchi nzima tuwe CCM
Ndio maana anatamani yeye awe jaji, mwendesha mashitaka, Polisi, mchungaji, daktari, nesi, yaani kila kitu awe yeye. Kwasababu ndani yake hamna kutosheka. Hiyo Ni Vita ya kiroho.
Tanzania hatuna Corona, kaenda kuchukua mahela ya watu, kayatumia, kumbe wanamchora tu, Sasa wanamuuliza, hela zetu za Corona umefanyia Nini wakati kwenu hamna Corona? Hana majibu, hiyo sio Vita vya uchumi, Ni Vita vya kiroho, unasutwa na dhamira yako.
Watu wakipigwa risasi mchana kweupe, hujishughulishi kufanya uchunguzi, unaona is none of your business.
Ben Saanane kapotea, hujali, unaona poa tu
Azory kapotea, Wala huhangaiki
Maiti zinaokotwa kwenye mifuko mitoni na baharini, hujali.
Hii inaonyesha una roho gani, hiyo Ni Vita ya kiroho sio uchumi.
Unasema eti watu wanayatamani madini yetu. Mbona kipindi cha Nyerere hakukuwa na wachimbaji zaidi ya Williamson, hao mabeberu walipungukiwa Nini?
Dunia ikikosa tanzanite kwani itaathirika Nini?
Una Vita vya kiroho ndio maana kila siku unataka kuombewa.
Hamna kiongozi tangu Uhuru ameomba Mara nyingi zaidi aombewe isipokuwa wewe

Unashauri nini kifanyike?
 
Sijaona la maana lolote ulilosema hapa zaidi ya lawama zako binafsi ulizotumbuliwa kwa vyeti feki au kuminywa mianya yako ya wizi wa kodi.

Watu ninyi wa aina hii ndiyo mnakuja sana mitandaoni kuaminisha watu kua serikali na JPM hawafai,na bahati nzuri huku mitandaoni tunaingia kama 15% tu ya waTanzania wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Vyeti vipi feki? Kajifunzeni Kingereza, anzeni maandalizi mapema ya kesi zenu za The Hague
 
Ni kweli kabisa. USA na EU kupamba na Tanzania kiuchumi ni sawa na Katibu Mkuu wa Wizara kupamba na mkulima aliyemwacha kijijini kiuchumi. USA na EU zinapambana na China, Japan, Korea. Hizi nyingine ni ndoto za CCM za mchana kweupe.
 
Tanzania hatuna Corona, kaenda kuchukua mahela ya watu, kayatumia, kumbe wanamchora tu, Sasa wanamuuliza, hela zetu za Corona umefanyia Nini wakati kwenu hamna Corona?
Hana majibu, hiyo sio Vita vya uchumi, Ni Vita vya kiroho, unasutwa na dhamira yako.

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana....

Cc: mahondaw
 
Uamini,usiamini,hakuna yeyote anayeweza kuwa Rais kwa njia yoyote bila kibali cha Mungu.

Utaumia bure kama huu ukweli hauujui
Kuna viongozi wanawekwa ili kuwapa funzo wananchi kuwa inatakiwa watumie akili zao vizuri bila hivyo wataumia sana
 
Back
Top Bottom