Mafiningo
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 4,434
- 4,673
kaenda kuchukua mahela ya watu, kayatumia, kumbe wanamchora tu, Sasa wanamuuliza, hela zetu za Corona umefanyia Nini wakati kwenu hamna Corona?Tanzania hatuna Corona, kaenda kuchukua mahela ya watu, kayatumia, kumbe wanamchora tu, Sasa wanamuuliza, hela zetu za Corona umefanyia Nini wakati kwenu hamna Corona?
Hana majibu, hiyo sio Vita vya uchumi, Ni Vita vya kiroho, unasutwa na dhamira yako.
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana....
Cc: mahondaw