Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Miaka ya nyuma kila ikifika January hapa nchini palikuwa na tatizo kubwa sana la uhaba wa madarasa na hii ilisababisha watoto wengi waliochaguliwa kidato cha kwanza kukosa nafasi ya kujumuika na wenzao.
Serikali ya CCM kuona hili ni tatizo la kudumu ikaona itumie mkopowa Uviko 19 ili kumaliza hili tatizo. Sasa kila wilaya hizi pesa zimetumika vyema na na kujenga madarada amabayo yataondoa kero ya kukosa vyumba vya madarasa.
Sasa kama mkopo huu umetumika vyema, wapinzani mnashuparia nini kuhusu mkopo na kushadidia mambo? Kisa tu spika amehoji?