Ni hivi, Tanzania hakuna chama cha siasa kinachoitwa CCM, kuna kundi la wahalifu, wezi, wahuni, wakoloni weusi wanaotumia hila za kila namna kukandamiza watanzania.
Vyombo vya Dola hawalali usiku kucha wanaumiza vichwa jinsi ya kulibakisha madarakani kundi hili la washenzi wa CCM. Vyombo vya dola na taasisi zetu wamegeuka maamuma kabisaaa!
Wako radhi kuacha kushughulikia heshima na hatma ya nchi ili tu wafanye kwanza mambo ya kipumbavu kama kumshughulikia mwanasiasa wa upinzani!
Nchi mevurugwa kabisa, ili tu kulinda maslahi ya kundi la kihalifu la CCM.
Kama bado umebaki na akili kidogo, sikiliza akiongea Mkuu wa nchi, mawaziri, wakuu wa mikoa na viongozi wengine! Unaishia kuona aibu na kushangaa tumefikiaje hapa hadi viongozi wamekuwa mazuzu, maamuma, wajinga kiasi hiki?
Unagundua ni kazi ya kundi linalojiita CCM!