Tanzania haipo katika nchi kumi tajiri Afrika, tumezidiwa hata na Sudan na Kenya

Tanzania haipo katika nchi kumi tajiri Afrika, tumezidiwa hata na Sudan na Kenya

Kwa mujibu wa ripoti ya IMF Tanzania haipo katika nchi tajiri barani Afrika. Kweli Tanzania ni ya kuzidiwa hata na Sudan wanaoshika nafasi ya 10 huku Kenya ikishika nafasi ya 7.

Hii ni aibu Watanzania tujitafakari hili suala halikubaliki kwa nchi yenye rasirimali nyingi kama Tanzania.
Fanya kazi zako kwa bidii,komboa uchumi wa familia yako, haya maswali ni ya miaka 100 baadae baada ya juhudi za kila mTanzania
 
Back
Top Bottom