Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,413
- 23,592
Wakuu, Binafsi sikubaliani na hizo statistics zinazotolewa kuhusiana na nchi maskini kwa sababu wasomi wetu wengi wamesoma nje ya nchi badala ya ndani..Tazama toka tupate Uhuru ni hesabu kubwa ya viongozi wetu ktk serikali na mashirika wamesoma nje ya UDSM...hivyo hesabu kamili haiwezi kupatikana kwa kugeza nchi ambazo hazikufuata mfumo kama wetu. Nchi ambazo tayari zilikuwa na University zaidi ya moja na zilitosheleza kwa kiwango fulani mahitaji ya ndani na wakaweza kuchukua wanafunzi toka nchi mbalimbali toka tukitawaliwa...
Mkandara please !
Idadi ya wanafunzi wa Kenya waliosoma ama wanaosoma nje ni mara kumi ya idadi ya Watanzania sijui hapo utasema nini. Ukweli ni kuwa sisi ni vilaza what ever excuse we may have. Wakenya wana take opportunity ya kila nafasi inayopatikana tofauti na sisi ambao hata tunapopata scholarships za bure tunazifungia makabatini. Hatuna tu umasikini wa mali, tuna umasikini mbaya wa mawazo, period kama tunavyoshuhudia kwenye post ifuatayo.
Waberoya,
I meant ktk dunia ya sayansi ya leo..Tz tupo mbele ktk machapisho ya kisayansi ukilingalisha na Kenya na Ug. Sasa nini hapo hakieleweke??
One of the reasons.. Tz invested ktk small but quality education..tofauti na kenya na ndo maana nikauliza..do we need qualitative au quantitative change??
Naona Kenya ni quantitative change..na sisi ndo tumeingia ktk hiyo direction..but we compromise quality of output!
Hivi ndivyo tulivyo na hii post ni position waliyo nayo watanzania wengi. Tuna maelezo mepesi ya kutetea hali yetu duni. Eti tunajali quality education ndiyo maana idadi ya graduates wa Tanzania ni asilimia kumi tu ya wale wa Kenya - my foot !! How hollow an argument and how low can we get. Samahani kwa lugha kama hii, lakini misimamo kama hiyo ndiyo inanifanya nihamaki, sorry.