Nashukuru sana serikali inarudisha JKT maana kule kijana anatoka akiwa anaweza kujitegemea na yuko tayari kwa lolote kwa maslahi ya taifa lake.
Hizo pesa za kuwahudumia hao watakaojiunga na JKT kila mwaka kwa nini zisitumike kuongeza lecture rooms, laboratories, studios, seminar rooms na tena viwe vinakuviequiped ipasanyo; kujenga mabweni ya wanafunzi, office spaces na nyumba kwa staff na mambo mengine mengi ambayo ya muhimu yanayokosekana katika vyuo vyetu. Zaidi ya hapo, wanafunzi wote wasio na uwezo wasome bure.
JKT thing is not a priority when lots of basic needs are missing.
So JKT ni kitega uchumi ikiendeshwa vizuri.
Kumbe unajua haiwezi kuendeshwa vizuri hadi kufikia kuwa kitega uchumi. Hiyo sentensi inaeleza hisia zako.
Kwa sasa JKT sio kipaumbele. Serikali ijaribu kuwa cost effective kama inavyopigiwa makelele humu kila siku. Maswala kama haya ya kuwekeza katika elimu ni kitega uchumi endelevu.
Hivi ni Tanzania tu ndiyo yenye matabaka?, mbona zipo nchi nyingi zina matabaka hayo na zinakalika! na tangu lini unategemea nchi ikawa na watu sawa! Imeshindikana china itakuwa bongo?
The philosophy of self -reliance ni muhimu sana kwa vijana wa sasa ambapo wanaweza kujengwa hivyo kupitia JKT TUU.
if you think JKT is not a priority you are in wroung side of our history and know speed in wroung direction is irrelevant
LETS BECOME THE CHANGE THAT WE WANTS TO SEE IN THE WORLD.
AM
...
Angalia wanafunzi wa kidato cha sita Ifunda wanagoma kufanya mock exams kisa hawajafanya mazoezi kwa vitendo ya kutosha, hii ni dalili tosha kuwa vijana wetu wamechagua hofu baadala ya matumaini na hii ni kwa kutokana kwa kukosa elimu ya kujitegemea ambayo inapatika JKT....
Na mimi najiuliza what was the problem with the first arrangement ambapo waliochaguliwa kwa academic merits kupewa scholarships? Well wakasema kuchangia then kwanini isingekuwa kama zamani if you are selected in the public university then you have your loan/grant of 100? What made the decision makers to think of financing the private universities? I thought hao wenye pesa hiyo ndo ingekuwa sehemu yao ya kuwapeleka watoto wao na kuweka mazingira ya vyuo hivyo to their stds. I realy get confused kusikia neno private and then using public funds to support private bodies what kind of the definition I we fabricating? From which concept as far as property rights are concerned? Is it done out of ignorance or purposively? Those are things which I need to be enlightened otherwise I think we either dont know what we want or what we ought to do.Kuna masuala kadhaa bado yananipa shida:
Je watanzania tunaamini katika elimu? Elimu ina nafasi gani katika ukombozi wa taifa hili masikini? Tunawekeza kiasi gani katika elimu kama taifa na kama mtu mmoja mmoja?
Je elimu ni mojawapo ya vipaumbele vya serikali yetu? Nikitazama hali ya shule zetu,migomo ya walimu, migomo ya wanafunzi vyuo vikuu. nk napata taabu kuamini kama elimu ni kipaumbele kimojawapo cha serikali na wananchi kwa ujumla?
Je ni dhambi kwa serikali kutumia pesa ya walipa kodi (masikini na matajiri) kusomesha vijana wake (watoto wa masikini na matajiri) chuo kikuu (bure au kwa kuwakopesha 100%)?
Je ni vizuri kwa serikali kuwa na sera ambayo bado hakuna namna nzuri ya kuitekeleza? Ingawa sera ya uchangiaji ni nzuri lakini bado serikali haina uwezo wa kufanya objective assessment ya nani ana uwezo na nani hana uwezo? Uwezo(utajiri) pia ni dynamic, unaweza kulala tajiri ukaamka masikini (angalia mzozo wa kiuchumi wa marekani)!
Je ni mwanafunzi gani anyestahili mkopo? - ni yule mwenye uwezo wa kurejesha au yule asiye na uwezo? Kwa maoni yangu kama serikali ingalikuwa na uwezo wa kufanya objective assessment ya nani ni 'masikini' na nani ni 'tajiri' basi watoto wa masikini ingetakiwa iwasomeshe bure na wale wa matajiri ingeliwakopesha kwa asilimia 100%. Binafsi naamini kama serikali ingalikuwa na matumizi mazuri ya kodi na rasilimali zetu basi ingeweza kabisa kutoa mikopo na kusomesha bure watoto wa masikini.
Na mimi najiuliza what was the problem with the first arrangement ambapo waliochaguliwa kwa academic merits kupewa scholarships? Well wakasema kuchangia then kwanini isingekuwa kama zamani if you are selected in the public university then you have your loan/grant of 100? What made the decision makers to think of financing the private universities? I thought hao wenye pesa hiyo ndo ingekuwa sehemu yao ya kuwapeleka watoto wao na kuweka mazingira ya vyuo hivyo to their stds. I realy get confused kusikia neno private and then using public funds to support private bodies what kind of the definition I we fabricating? From which concept as far as property rights are concerned? Is it done out of ignorance or purposively? Those are things which I need to be enlightened otherwise I think we either dont know what we want or what we ought to do.
... I realy get confused kusikia neno private and then using public funds to support private bodies ...
Sijui kama umenielewa vizuri. Hili lakukosa vyuo vyakutosha haifanyi sisi kushindwa kuwa na special arrangements na vyuo binafsi kama vile colaboration with public universities huku wakiwa na admision ya public universities for only special courses na siyo kama confusion iliyopo sasa hivi (Kama private universities wanavyofanya kwa upande wa human resource I mean lectures). Sasa kama hivi ndivyo basi atleast tonge develop concept yetu na tusitumie neno private mixing with public haipo labda ni new innovation ya kitanzania otherwise ndo maana kuna a lot of constraints katika implementation.
Daruso ilishafutwa sijui alikuwa anaongea kwa niaba ya nani kauli kama hizo hazitakiwi haswa kwa nchi yetu ya tanzania tuliozoea amani , uhuru na upendo maisha yetu yote hatuko tayari kuacha vijana hao watishie maisha wengine
Hii mikopo ya elimu ya juu imeanza kutolewa tangu 1994(kama sijakosea)... Serikali ituambie mpaka 2008 imeshatoa mikopo kwa watu wangapi, wangapi wamehitimu, na kiasi gani cha hiyo mikopo kimeshalipwa kwa ajili ya vizazi vinavyofuata.
DARUSO haijafutwa. kilichofutwa ni Uongozi wa DARUSO tena umefutwa na Uongozi wa UDSM! Waliowachagua viongozi wa DARUSO ni Wanafunzi wenyewe, lituko ni kuwa Wanaowafuta Uongozi ni Utawala wa UDSM! Hapo sasa! Sijui Demokrasia ya wapi hiyo
Ze marcopolo na Shy Mngekuwa ndio watu wa Daraja la chini haya maneno ya Machibya mngeyaaelewa lakini kwakuwa mambo yenu yapo shwari lazima mumuone kama Mzushi tu kwani kwenu hakuna Effect na inawezekana nyi e ndio mliosoma bure Wasaliti wakubwa na wanene, nadhani mnashindwa kusoma alama za nyakati !!!!!!
Daruso ilishafutwa sijui alikuwa anaongea kwa niaba ya nani kauli kama hizo hazitakiwi haswa kwa nchi yetu ya tanzania tuliozoea amani , uhuru na upendo maisha yetu yote hatuko tayari kuacha vijana hao watishie maisha wengine