Tanzania haitakuwa moja mpaka katiba mpya tena nzuri

Tanzania haitakuwa moja mpaka katiba mpya tena nzuri

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Tanzania haitakuwa moja mpaka katiba mpya tena nzuri.

Katiba ikiwa na hawa machawa na mafisadi tutakuwa palepale. Inatakiwa katiba itengenezwe kwanza na wataalamu kwa kuzingatia kaya na uchumi wa taifa ndiyo wapewe wanasiasa. Hawa brain zero wabunge na machawa hakuna kitu hapa tutapata madudu tu. Lakini bila katiba hapa hatutoboi kama taifa
 
Mkuu mpaka kabudu wa jalalani afe! Huyu ndie anayempotosha mama yao kuhusu katiba muda wote kujiangalia yeye tu na tumbo lake
 
Tanzania haitakuwa moja mpaka katiba mpya tena nzuri.

Katiba ikiwa na hawa machawa na mafisadi tutakuwa palepale. Inatakiwa katiba itengenezwe kwanza na wataalamu kwa kuzingatia kaya na uchumi wa taifa ndiyo wapewe wanasiasa. Hawa brain zero wabunge na machawa hakuna kitu hapa tutapata madudu tu. Lakini bila katiba hapa hatutoboi kama taifa
Tanzania haitokuwa moja hadi Tanganyika ipatikane!
 
SEHEMU YA MPITO: SAUTI JUU YA TAIFA NA FUMBO LA KUPONYWA

Kabla ya kufunguka kwa hatua inayofuata, kulikuwa na jambo zito lililonijia—si kwa kelele, bali kwa uzito wa ndani usioepukika.

Maono haya hayakuwa ya mtu mmoja, wala ya mahali pa siri pekee. Yalikuwa juu ya taifa.

Nikaona juu ya Tanzania, kana kwamba anga limebeba kumbukumbu ambayo haijasemwa wazi kwa vinywa vya wengi, lakini imeandikwa katika kilio kisicho na sauti.

Kulikuwa na rejea ya tukio—tarehe iliyopita, lakini isiyoisha ndani ya roho za walioguswa nayo.
29/10/25.

Siku ambayo ardhi ilibeba damu, na ukimya ukafunika ukweli wake.

Lakini katika maono, siku hiyo haikuonekana kama mwisho—bali kama mbegu.

Mbegu ya kilio.

Imeandikwa:

“Damu ya ndugu yako inanililia kutoka katika ardhi.” (Mwanzo 4:10)

Na hapo ndipo nilipoanza kuona kwamba si kila tukio linaishia pale linapotokea. Mengine huanza kufanya kazi chini kwa chini, hadi wakati wa kujibu unapofika.

Katika picha iliyoonyeshwa, taifa lilionekana kama mjusi aliyekatika mkia—si kwa kushindwa, bali kwa kujilinda.

Sehemu inakatika ili mwili uendelee kuishi.

Lakini kilichokatika hakifi mara moja—kinatetemeka, kikitoa ishara kwa wanaotazama kwa makini.

Hivyo ndivyo ilivyoonekana.

Jaribio la kujitoa, kujisitiri, kujiponya kwa njia ya muda mfupi.

Lakini ndani yake kulikuwa na jambo jingine likianza.

Sio kwa kelele.

Sio kwa matangazo.

Bali kwa wale wanaoitwa ndani kwa ndani—wale wanaobeba mzigo wa taifa bila kutambulika.

Na hapo nikaonyeshwa muda:

Asubuhi.

Saa kumi na mbili kamili.

Mwanzo wa mwanga, lakini si mchana kamili.

Wakati ambao wachache huamka, na wengi bado wamelala.

Ndipo nilipoona kitu kikianza.

Sauti zisizo na vipaza sauti.

Maombi yasiyoandikwa.

Mioyo inayobeba mzigo bila kuonekana.

Na hapo ndipo neno lilikuja:

“Nimeyasikia.”

Kwa maana imeandikwa:

“Nimeona mateso ya watu wangu… nami nimesikia kilio chao… kwa maana nayajua maumivu yao.” (Kutoka 3:7)

Lakini pia:

“Kama watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekeza, na kuomba… ndipo nitasikia kutoka mbinguni, na kuisamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao.” (2 Mambo ya Nyakati 7:14)

Hapa ndipo fumbo linakuwa gumu zaidi.

Kwa sababu si kila kilio huleta mabadiliko.

Lakini kuna kilio kinachofika.

Na kilichoonyeshwa si mwisho wa jambo, bali mwanzo wa mchakato.

Sio uponyaji wa ghafla.

Bali kazi ya polepole—kama mvua ya kwanza kabla ya mavuno.

Taifa halikuonyeshwa likianguka.

Lilionyeshwa likipitia.

Na kati ya kupita huko, kulikuwa na mgawanyiko wa wale wanaoona na wasioona.

Wapo watakaosema: hakuna kilichotokea.

Na wapo watakaojua: kitu kimeanza.

Kwa maana imeandikwa:

“Bwana hatatenda neno lo lote, asipowafunulia watumishi wake manabii siri yake.” (Amosi 3:7)

Lakini siri haifunuliwi kwa kelele.

Hufunuliwa kwa wale wanaosikiliza kati ya mistari.

Hivyo basi, si kila mtu ataelewa mwanzo huu.

Lakini wale walioonyeshwa, watajua kuwa:

Kilio kimefika.

Na kazi imeanza.

Polepole.

Kwa utaratibu usiotambulika kirahisi.

Mpaka pale ambapo matokeo yake yatakuwa wazi kuliko mwanzo wake.

Nitaendelea…


Karibu kwenye uzi huu wangu

 
Naongeza ulipoishia
Tanzania haitakuwa moja mpaka CCM ifutwe kabisa. Katiba haitajitelekeza yenyewe, inahitaji uwajibikaji wa watu hasa mamlaka. Kwani katiba hii iliyopo imeruhusu mauaji? Mbona mmeuliwa na kutekwa? Mbona imeitwa kijitabu?
 
Tanzania haitakuwa moja mpaka katiba mpya tena nzuri.

Katiba ikiwa na hawa machawa na mafisadi tutakuwa palepale. Inatakiwa katiba itengenezwe kwanza na wataalamu kwa kuzingatia kaya na uchumi wa taifa ndiyo wapewe wanasiasa. Hawa brain zero wabunge na machawa hakuna kitu hapa tutapata madudu tu. Lakini bila katiba hapa hatutoboi kama taifa

View: https://youtu.be/z52sggSmmt4?is=bLgaKC-9ez0ICTXS
 
Back
Top Bottom