Tanzania haitambui ushindi wa Mugabe - Membe

Tanzania haitambui ushindi wa Mugabe - Membe

1. Africa will be destroyed or built by Africans.

2. We have shamefully accepted to blame everything on outsiders without examining our own closet. Currently, we dont have African solutions for African Problems. We are just joking and wasting the lives of innocent wananchi just to fulfill our evil egoes in the pretext of standing up to the west.

3. Ni unafiki wa hali ya juu, kuona mpaka leo sisi waafrika tunaangalia vifo vya waafrika wenzetu in terms of statistics na sio damu iliyomwagika. Wanaokufa Darfur, Congo etc its non issue maana "namba ya vifo haijawa kubwa".And guess what? tunategemea statistics za hao hao tunaowapiga vita kutuelezea matatizo yetu. Viongozi kama akina Mugabe na henchmen wao walizoea kwamba wataiba na kunyanyasa wananchi and after three days it will be gone, well waafrika wameanza kuamka, if Kibaki didnt get away with it, so is everybody after him.

4. What I can tell you my friends here, trust me you, siku za Mugabe zinahesabika! Its just a matter of time, utawala wake utacollapse. NATURALLY. HUWEZI KUWA NA UCHUMI WA NOTI YA DOLA BILLION 25 ambayo haiwezi kukununulia hata mkate ukasema kwamba you are safe. Hata Idd Amini hakufika huko!

5. We can continue to argue on AU/UN..but it has no merit, millions of Africans have perished while others have faced humiliation as refugees in the presence of the said UN and AU. I believe that no body should take seriously these two organizations. They will help refugees in camps but not serious issues of substance.

6. Africa tuache unafiki, ndo maana mpaka kesho kutwa wazungu wataendelea kutudharau..killing your own family kwa kumkomoa mtu wa nje? hiyo ni akili au ni tope??? Mugabe na ufinyu wa mawazo yake..anaamini kabisa kwamba anayoyafanya anawakomoa wazungu (walio miles way wakiwa wanakula pension na maisha yao mazuri..haangalii mtoto wake aliyemzaa na Grace wa miaka kumi na nne...anamuacha Zimbabwe ya namna gani!)

7. Hapana waafrika wenzangu tujiangalie tuko wapi na tunahitaji nini katika hii dunia..or we are just here to fill the staistics? Hapana, sitaki kuamini hivyo!

8. Labda niulize, kwa nini waafrika tulio wengi, ni wachoyo na wabinafsi? tuna ile kasumba ya (TUKOSE WOTE)....Why??????
 
Africa's problems require African solutions

By Fiona Forde

...Nigeria was equally daring in refusing to recognise Mugabe as a head of state, a move that could also be interpreted as a slight against its arch-rival South Africa, as Zimbabwe mediator. Kenya raised its voice. Sierra Leone followed suit. Then Liberia, followed by Senegal and Tanzania in slightly more neutered tones.]

kama haya ndiyo yaliyotokea, hizi kauli nzito nzito nje ya ukumbi zimetokea wapi tena?


..."He has not objected to me yet," Kikwete told Independent Newspapers, although Tsvangirai has insisted on a clause to all future negotiations: No peace, no talks.
http://www.int.iol.co.za/index.php?set_id=1&click_id=84&art_id=vn20080704061956275C524259


tungoje sasa kama jamaa atakubali kuongea na mwenyekiti wa au. nani atafanya mawasiliano ya kwanza? kwa maana kwamba tz haimtambui jongwe sasa mwenyekiti ataongea na nani? nakumbuka mh. karume na cuf kuhusu suala la kumtambua.
 
hivi kuhusu zanzibar mnataka Kikwete afanye nini?just tell me honestly.Kuweni wa wazi kwa nafsi zenu kisha mseme.

.....sasa kama hana la kufanya zanzibar...azibe mdomo...nadhani uchafu wa viongozi walio wengi afrika ndio unaompa kiburi mugabe....nilipokuwa namsikiliza membe alivyokuwa akiongea na waandishi wa habari...hakuwa makini kujibu maswali kidiplomasia zaidi...kumbukeni mnapomuongelea mugabe mnamuongelea rais wa taifa huru[sovergn state]....sasa kwa kina membe KUANZA KUMVUA NGUO HADHARANI ...SI SULUHISHO....solution ni haya mambo yawe handled kidiplomasia zaidi ..kwani kashfa zitazua migongano....tusimuangalie mugabe ..hatumkomoi yeye ,wanaoumia ni wanawake na watoto...

nimependa msimamo wa walde alisema" i dont want my position to be known publicly...."

KUHUSU SERA ZA NJE ZA RAIS .....siwezi kumpa A+ ...nitampa C.....sioni cha kujivunia kiuchumi.....nadhani kuna watu wanafikiri mafanikio ya sera ya nje ni kuwa MBWA wa marekani.....MIMI NAAMINI MAFANIKIO YA SERA ZA NJE YATAFANIKIWA KWA KUFUATA SIASA YETU YA KUTOFUNGAMNA NA UPANDE WOWOTE....kikwete ameiacha hii siasa ..sasa anafungamana na marekani....hata mkutano wa NAM amemtuma waziri wa habari.....

sera ya nje alifanikiwa ....wa kwanza ni MWALIMU NYERERE nampa A+ ...JE UKIMPA KIKWETE A+ UNATAKA KUSEMA PERFOMANCE YAKE INAMKARIBIA MWALIMU ????????...sera za nje za mwalimu za kusini,NAM , front LINE COUNTRY zilifungua bara la afrika........hatujawahi kufanikiwa sera za nje kama enzi za mwalimu.....

kikwete pamoja na kujitahidi sera za nje .....nadhani labda AMEJITAHIDI SANA KUSAFIRI......lakini MAFANIKIO YOYOTE YA SERA ZA NJE ZAMA HIZI NI LAZIMA YATAFSIRIWE KWA ECONOMIC DIPLOMACY......tunafanikiwaje na siasa zetu za nje kiuchumi????

.........
 
Sababu za Tanzania kutomtambua Mugabe ni nini? Uchaguzi usio huru na haki? Hivi CCM ina tofauti gani na ZANU-PF? Vyote si vinatumia mbinu kubaki madarakani? Sasa hivi serikali yetu imekuwa ni kijibwa cha kufuata maelekezo na matakwa ya wakubwa (so called international community). Wakiagizwa ni lazima watende. Kwa hili la Zimbabwe ni lazima tuangalie chanzo na matokeo (cause and effect). Chanzo cha matatizo ya Zimbabwe si Mugabe. Chanzo ni matakwa ya wazungu kujaribu kurudisha saa ya historia nyuma. Ni Mugabe tu aliye kikwazo kwao. Kwa hiyo mimi siungi mkono serikali yetu kutomtambua Mugabe.

RUGE OPINION
 
Jamani kuna tafauti kubwa sana kati ya CCM na ZANU-PF. Mugabe na ZANU-PF imeweza kuifanya nchi tajiri Zimbabwe kuwa nchi duni Afrika na watu wake kuwa ni masikini wa mwisho duniani. Fedha ya Zimbabwe haina thamani yoyote hivi sasa.

Zimbawe ilikuwa ikiweza kuvuna mahindi mengi sana na kuyauza Kenya,Uganda,Tanzania, Malawi,Mozambiki na pia South Africa. Hivi leo watu wake wanakufa njaa. Je CCM imetufanya sisi Watanzania kama Mugabe na ZANU-PF wanavyowanfanyia Wazimbabwe?

Mugabe ni Dictator kama alivyokuwa Iddi Amini, Mobutu na viongozi wadhalimu wengine wa Afrika.

AU na kiongozui wake rais J.kikwete wameshindwa kutatua huu mzozo wa Zimbabwe.
Mugabe asingeliruhusiwa kuhudhuria mkutano wa AU kule Misri na wangelimfukuza ili kuonyesha msimamo wa AU.
Mbeki ambaye ni mshauri wa Zimbawe naye pia ameshindwa na swali hili kwani yeye anamuweka Mugabe mapajani mwake.

Wakati umweadia kwa nchi za Afrika kutatua matatizo yake na sio lazima kungojea UN au EU.
Ifukuzeni Zimbawe katika AU na waache Wazimbabwe wawe wakimbizi katika nchi nyingine jirani za Afrika.
Kuna tafauiti gani kati ya Mugabe na Haile Sillasi wa Ethiopia ambaye watu wake walikufa njaa wakati yeye analisha simba wake nyama za ng'ombe?
 
mkuu masanja, hakika historia itatuhumu vibaya tukiyafumbia macho yanayotokea zimbabwe. naamini historia pia itatuhukumu vibaya/vizuri kwa jinsi serikali yetu inazozichukua kusuluhisha mgogoro wa zimbabwe.

mola ijalie afrika
 
Unataka ASKARI NA WANAJESHI WETU waendelee kufanya hicho walichokuwa wakikifanya hivi majuzi tu tena miaka ya themanini Na hata kabla ya mashamba yao kuchukuliwa na serikali?

Unawaona hao wanaocheza golf na huku majority wakifa na ku suffer kwa njaa na huku mamluki wakiwalinda kama inavyoonekana hapo juu?

Hivi huyo ASKARI AMA MWANAJESHI HAPO JUU ANAWALINDA HAO WAZUNGU WANAOKULA MARAHA HAPO DHIDI YA NANI?

Je anawalinda dhidi ya Mzungu mwenzao?

Ama Mwafrika mwezake? Hapo yuko tayari kummua nani? Mwafrika ama Mzungu? Na kwanini?
 
Jamani kuna tafauti kubwa sana kati ya CCM na ZANU-PF. Mugabe na ZANU-PF imeweza kuifanya nchi tajiri Zimbabwe kuwa nchi duni Afrika na watu wake kuwa ni masikini wa mwisho duniani. Fedha ya Zimbabwe haina thamani yoyote hivi sasa.

Zimbawe ilikuwa ikiweza kuvuna mahindi mengi sana na kuyauza Kenya,Uganda,Tanzania, Malawi,Mozambiki na pia South Africa. Hivi leo watu wake wanakufa njaa. Je CCM imetufanya sisi Watanzania kama Mugabe na ZANU-PF wanavyowanfanyia Wazimbabwe?
Mugabe ni Dictator kama alivyokuwa Iddi Amini, Mobutu na viongozi wadhalimu wengine wa Afrika.

AU na kiongozui wake rais J.kikwete wameshindwa kutatua huu mzozo wa Zimbabwe.
Mugabe asingeliruhusiwa kuhudhuria mkutano wa AU kule Misri na wangelimfukuza ili kuonyesha msimamo wa AU.
Mbeki ambaye ni mshauri wa Zimbawe naye pia ameshindwa na swali hili kwani yeye anamuweka Mugabe mapajani mwake.

Wakati umweadia kwa nchi za Afrika kutatua matatizo yake na sio lazima kungojea UN au EU.
Ifukuzeni Zimbawe katika AU na waache Wazimbabwe wawe wakimbizi katika nchi nyingine jirani za Afrika.
Kuna tafauiti gani kati ya Mugabe na Haile Sillasi wa Ethiopia ambaye watu wake walikufa njaa wakati yeye analisha simba wake nyama za ng'ombe?

ni haki yako mkuu kuamua kwamba ccm imetufikisha peponi.
 
According to the dataz za ndani ya mkutano yaani ukumbini huko Misri, ni yale yale tunayosema hapa kuwa hakukuwa na mwenye ubavu wa kumwambia Mugabe anything,

1. Sikua ya kwanza ya mkutano, Mugabe akiwa hajafika viongozi wengi waalikuwa mstari wa mbele kujaribu kupitisha hoja ya Mugabe kutotambuliwa na kwamba afukuzwe, lakini alikuwa ni Rais Wade, aliyekataa kata kata na kusema kuwa kwa kufanya hivyo, AU itakuwa inaji-limit yenyewe katika kufanikisha mapatano kati ya Mugabe na opposition, kwa sababu kumtenga Mugabe ina maana moja tu nayo hawatakuwa na uwezo wa kuwakutanisha na upinzani, na wade akasema kuwa hiyo haiwezi kuwa hoja ya AU, ni lazima Mugabe atambuliwe kwa sababu asipotambuliwa ina maana anaingi akwenye mkutano kama nani? Hakukuwa na majibu kwenye hili yaani hii ikapita bila ubishi.

2. Sasa wakati haya yanaendelea Mugabe ndio kwanza alikuwa anaapishwa kule Zimbabwe, na hatimaye akaingia ndani kesho yake akaingia Egypt, alipofika tu Airport, mzungu mmoja wa media akamrushia maneno machafu sana Mugabe, lakini likuwepo kikosi maalum cha walinzi waliotayarishwa rasmi kwa ajili tu ya kumlinda Mugabe, wakati owte wa mkutano, maana wa-Egypt walishashitukia wakamua kuwa not in their soil watahakikisha kuwa ameondoka salama.

3. The next thing Mugabe, akaingia ukumbini, Botswana wa kwanza kumrushia mawe, ikafuata Nigeria, then akaja Museveni, wote wakamrushia mawe sawa sawa, sasa ikaja zamu ya Mugabe kujibu mapigo the dataz ni kwamba ilikuwa aibuu, kwa sababu kwanza alimuambia mkulu wa Botswana kuwa nchini kwake kuna TV 7 na Radio yake ambazo ni za wazungu na zimeanzishwa maalum na the West kwa ajili ya kutaka kuivuruga Zimbabwe sasa huyo rais wa hiyo nchi ana ubavu gani kusimama kama Afrikan Elder na kutoa ushauri kwa Mugabe?

Akamwambia Museveni kuwa ni mjinga wa kutupwa kama anaamini kweli ana ubavu wa kumkemea Mugabe wakati ametumiwa na wazungu weee kuiharibu Zaire sasa hawamuhitaji wamemtupa ndio anajaribu kumletea unafiki, akamwambia waziri wa nje Wa Nigeria, aliyesoma hotuba ya rais wake ambaye alitoka kwenye mkutano mara tu baada ya Mugabe kuingia, kwamba rais wako yupo wapi? Amekwenda kupiga siku kwenu kuulizia kesi yake ya wizi wa kura za uchaguzi inavyoendelea, lakini leo anaweza kuniambia mimi kuhusu demokrasia?

4. Mugabe sasa ikwa zamu yake kuweka chini msimamo wake, akaongea kwa jeuri sana dharau kuwa Zimbabwe itadumu milele katika uanchama wake ndania ya AU, hakuna kiongozi yoyote anyetumwa na wazungu anyeweza kuwaambia lolote wa-Zimbabwe,

Akaongeza kuwa kama ni Political Coalitions ameshazifanya ya kutosha, toka na kina Nkomo na Sithole, kwa hiyo at this time and point hana mpnago wowote wa kufanya siasa za Coalition kama za Kenya, aliuita ni upumbavu wa Wazungu tu huo! Akasema kuwa haamini anaposikia kuwa Tshangarai anaweza kuwa kiongozi wa Zimbabwe kwa sababu ni mjinga mjinga ambaye kazi yake ni kupewa maneno ya kusema na wazungu, akasema kuwa ni mjinga to the point kwamba kuna wakati hata hawezi kukumbuka yote aliyoambiwa ksuema na wazungu, anaweza kuongea na media akakatisha mazungumzo kwa sababu amesahau yote aliyoambiwa kusema na wazungu.

Akaongeza kuwa ameshitushwa na habari kuwa wazungu, walipodhani upinzani wameshinda wameshangilia sana wakiimba kuwa watarudishiwa mashamba yao, akasema hivyo ni ndoto.

5. Mama wa Liberia, akamuomba sana Mugabe kuwa awe na heshima kidogo kwa viongozi wenziwe, kwa sababu alisema uchaguzi ukishaaharibiwa tu mara moja, inachukua karibu miaka 30 inayofuata kujaribu kurudi kwenye ukweli na wanaolipa ni wananchi sio marais walioharibu ule uchaguzi, Museveni akarudi tena na kuiomba AU ipitishe azimio la kupiga marufuku kwa vayma vya siasa Afrika kupewa hela na wazungu kwa ajili ya ucgauzi, hakuna liyekubali hii hoja.

6. Waliongea viongozi wengine pia, lakini wote sasa walikuwa wakimuogopa Mugabe, sasa to everybody's shock wakaanza ku-shift their blame na kumrushia Mbeki mawe, kuwa ndiye chanzo cha Mugabe kuwa jeuri, Mbeki hakujibu kabisaa alikaa kimyaaa akiwasikiliza mpaka mwisho.

7. Mwisho akaingia Muungwana, na kumwambia Mugabe, kuwa aache tabia ya kuwa defensive na kwamba sio kila rais aliyeko mle ndani ana tatizo na yeye, isipokuwa wanajaribu kumsaidia tu na si kweli kwamba wote ni wajinga na hawana akili kama alivyowajibu,

akamwambia mwizi aliyekuibia jana leo anaweza kukuonyesha mwizi aliyekuibia leo sasa ni vyema umkimbilie kwanza aliyekuibia leo, ndio baadaye umrudie aliyekuibia jana ambaye unamfahamu tayari, lakini sio yule aliyekuibia leo, kwa hiyo akamtaka Mugabe akubali mapatanisho na kwamba AU, itawaomba SADC na muungano wa Angola, Tanzania na Lesotho, kulishughulikia suala hilo la zimbabwe, pia kuna waliotaka Mbeki atolewe katika front ya ku-deal na Mugabe, labda apewe Carter, lakini Museveni na wengine walikataa kabisa kuwa itamchukua Carter miaka mingi kujifunza majina ya wahusika huko Zimbabwe, kwa hiyo Mbeki aendelee tu kazi yake.

Now nilitkaka kusema hivi, ndio yale yale tuliyosema kuwa waa-Afrika, mpaka tutakapokuwa na chaguzi za demokrasia ya kweli katika nchi zetu ndipo tutakuwa na ubavu wa kuwafundisha wengine, maana yaliyotokea huko Misri ni aibu tupu! Hatufurahishwi na tabia za Mugabe katika uchaguzi wa Zimbabwe, lakini pia hatufurahishwi na uchaguzi wa Zanzibar, sasa labda tuamue kama Zimbabwe ni muhimu kuliko Zanzibar, au Zanzibar ni muhimu kuliko zimbabwe!
 
..zimbabwe ni muhimu kuliko zanzibar!

Why? Zimbabwe kwa mafisadi ni muhimu kuliko Zanzibar na Tanzania kwa ujumla kwani wako radhi kuwepo na vita ama hata ardhi ipasuke kuliko wakutane na mkono wa sheria kwa tuhuma zao za ufisadi!

Hivyo basi wananchi wasikubali na waendelee kudai haki zao za msingi na si kusikiliza mabwana vita!
Vita ya ZIMBABWE NI MAKUBALIANO YA MAFISADI NA SI WATANZANIA!
Na ndio maana nikasema hatuna qualification ya kuzungumzia issues za Zimbabwe na wakati ni kweli kabisa nchi yetu imeuzwa!
 
kipinge wanachoamini wenzako lakini waheshimu. yaani wewe unaamini muumba hakuwapa uwezo wa kuona fact wale unaotofautiana nao mawazo?!
matusi mengine bwana!

You know, hakuna ishu imenihakikishia kuwa wabongo tuko mbali sana na ukweli wa siasa, au elimu ya siasa kwa ujumla kama hii, kwa sababu kwa wananchi wa taifa lolote lile wanaojua vizuri elimu ya siasa, huu ndio hasa wakati myafaka kwenye ishu kama hii kuibana serikali ili ijisafishe au angalau ijiangalie yenyewe kwanza, kwa sababu time kama hizi hazitokei mara nyingi sana kwenye siasa za taifa,

I mean hiki kitendo cha serikali yetu kujiweka yenyewe kwenye mtego, toka juzi tumekuwa tukijibu maswali mazito sana toka kwa wakulu on our stand hapa, na tunasema again and again kama ambavyo tumekwua tukiwaambia kuwa Tanzania tujisafishe kwanza ndio tutakuwa na nguvu ya kuwasafisha wengine.
 
Kafara,

..don't get me wrong on this, ndugu wana JF nawaheshimu sana sana pengine usivyoweza kufikiri............hapa ni sehemu ninapojifunza mengi tu.......if im wrong onmy principles tell me so.....niko tayari kujirudi.............

Mkuu FMES,
...maneno yako hapo juu ni muhimu, hakuna anayepinga ukweli unaosema..........however, kuna wakati inabidi tufike tuseme.....this is the line....enough is enough.....lets act.............na hata kama sisi tuna makosa....then tutumie standarsd hiyo hiyo tuliyotumia kumhukumu Mugabe na iwe applied na kwetu.....bila kuoneana haya..........thats the bottom line.....im talking about........lakinitukiendelea kusema hatuwezi hatuwezi..........tumsubiri nani ili aweze?
.......walio na demokrasia Botswana wamepigwa maneno na Mugabe kama ulivyotukatia ze dataz.........then what else.........

......guys lets be serious, Mugabe hafai period, na ninarudia KAMA (i have always used this word KAMA....i.e. IF) hilo tamko limetolewa....nawapa credit waliolitoa.......tukikubalina hapo then tunyosheane vidole........

asanteni wakuu
 
Inawezekana Membe amepotosha ukweli.

Delegates wengine waliokuwemo kwenye mkutano hawakusema ya Membe.


AU treads softly on Zimbabwe

By Elizabeth Blunt
BBC News, Sharm el-Sheikh

_44797546_africanunionsummit226.jpg

The summit stopped short of calling the
election illegitimate.


Coming just three days after the country's highly controversial second-round vote, this was Robert Mugabe's first international appearance since being re-elected president.

In the old days of the Organisation of African Unity, the continental body could quite reasonably have been described as a dictators' club.

There were always one or two honourable exceptions - Senegal for instance, and Botswana.

Yet otherwise, between the military coup plotters and the presidents-for-life, the majority of those attending summits would have been in no position to criticise any of their colleagues for lack of democracy.

But things are changing.

New democracies

The old democracies - those honourable exceptions of the past - are still there, and they have now been joined by countries like Sierra Leone and Liberia, which have emerged as democracies despite devastating civil wars.

Sierra Leoneans recently voted out the ruling party candidate, and Liberia's elections produced a run-off between a woman and a football star.

This was far more representative of Africa's young population and powerful women than the middle-aged men who still fill the hall at African Union summits.

Even Nigeria, where elections have often been far from perfect, enjoys lively political debate and rampant freedom of speech.

These were the countries which, from their own position of strength, led the criticism of Robert Mugabe in Sharm el-Sheikh.

In public, most of his colleagues simply ignored him, but behind closed doors he was obliged to sit and listen to trenchant criticism of the way he had been returned to power.

Possibly the strongest came from Zimbabwe's neighbour, Botswana.

Its vice-president, Mompati Merafhe, said Botswana did not believe the elections reflected the will of the Zimbabwean people or conferred legitimacy on President Mugabe's government

Representatives of the present Zimbabwean government should be excluded from African Union meetings, he argued.

No sanctions

_44796486_-9.jpg

Some African leaders did criticise
Mr Mugabe


Delegates who attended the closed debate said that Mr Mugabe was given the chance to respond to the criticisms, which he did at considerable length.

He must have been persuasive, since the resolution which emerged at the end of the session was as favourable as he could have wished.

It expressed concern about the criticism by observer groups of the conduct of the elections, but did not pronounce them illegitimate.

It made no mention of any sanctions against Mr Mugabe's government, only encouraging the parties to honour their commitment to participate in dialogue, and supporting the call for a government of national unity.

It also warmly endorsed the role of intermediary held by South African President Thabo Mbeki, who the more hawkish delegates considered either ineffectual, or far too close to Mr Mugabe.

The African Union proceeds by consensus, not majority vote, and there was clearly no consensus for any kind of sanctions.

Even so, it was a weak resolution.

It was also one whose proposals depend utterly on the goodwill of the contending parties. And not everyone felt they could rely on that.

The Liberian President, Ellen Johnson Sirleaf, said she thought it was the view of many in the room that President Mugabe's government would have what she called "insurmountable difficulties" in leading efforts to put into effect the solutions proposed in the resolution.
 
Ujweli ni kwamba very few in the AU have room to talk.......jana niliangalia Inside Africa....ni kweli Mugabe alitoa changamoto kwa kiongozi yeyote yule wa Africa kumnyooshea kidole halafu watu wataamua kama kidole hicho ni safi au la!!! Mugabe has a point here....Lol
 
Kwa Hili Serikali imesimama upande sahihi.....Hongera Mh. Membe

Wakuu inatubidi kuipongeza serikali ya Tz kwa msimamo iliounyesha juu ya sakata hili la Zimbabwe.
H.E J.Kikwete, Hon. Member, You are the new beacons of light to shine where there is darkness in African continent.

Maelfu ya Wazimbabwe wanateseka; wazee, wanawake na watoto kwa kuwa tu Bob. Mugabe/ Jongwe anataka kuendelea kung'ang'ania madaraka na pengine hadi afie hapo. 'This can not be right and it will never be right'.

Nimepata fursa ya kuwa karibu na Wazimbabwe kadhaa, na wanaonyesha masikitiko makubwa kile kinachotokea nchini mwao. Bob Nugabe has turned from 'HERO to ZERO'.

Mkuu Kitila nimekusoma vizuri, ni upofu wa hali ya juu eti ili uonekani Pan-Africanist inabidi umuunge mkono BOB. huu ni upungufu wa fikra na mtazamo sahihi.
Maana ya Pan-Africanism kama ni hiyo inayotaka kupindishwa basi wengi hatumo.

Nnnajua hapa macritics watataka kuchanganya madawa wa kuikoroga hii topic na mambo mengine yasiyokwenda sawia pale nyumbani. i.e Kiwira, EPA n.k. Lakini ikumbukwe pamoja na masakata yote ya hapo nyumbani, 'we 'll be failing our duty as Africans, if we don't speak loud and clear in condemnataion of such sham, unfair and un-democratic election that has put back Bob into power again.

Mungu ibariki Afrika
Mungu wabariki Waafrika.
 
Luke 23:34

Then Jesus said, "Father forgive them, for they know not what they do". This first saying of Jesus upon the cross was Jesus' prayer for forgiveness for those who were crucifying him: the Roman soldiers, and apparently for all others who were involved in his crucifixion.
 
Tanzania inastahili heshima na Pongezi kwa kuweza kutoa statement kama hiyo.Na wasimtambue kweli kweli
 
Kafara,

..don't get me wrong on this, ndugu wana JF nawaheshimu sana sana pengine usivyoweza kufikiri............hapa ni sehemu ninapojifunza mengi tu.......if im wrong onmy principles tell me so.....niko tayari kujirudi.............

...asanteni wakuu

nimekupata mkuu, ila niliona yale maneno yalikuwa na utata kiasi. tuendelee kukata issues.
 
Back
Top Bottom