BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Mungu abariki wazungu make ndio wanafanya familia nyingi sana za Kitanzania watu wanaenda Chooni. Hata hao CCM kila mmoja anaota kufika Marekani au Ulaya.
1. NGO zilizo jaaa Tanzania asilimia 99.9 ziko funded na Wazungu wa Ulaya na Marekani. Hizi NGO Zimeajili makuni kwa maelfu ya raia.
Je kuna NGO kutoka China?
2. Sekita ya utalii asilimia 99.9 ya watalii wa maana wanatoka Ulaya na Marekani. Hao wakikata mrija tutakufa hakika.
3. Vipi vyoo tunavyo jengewa kwa hisani ya watu wa Marekani?
Rais anahadaa wajinga kwamba tunaweza jiamulia mambo yetu. Tanzania sio Urusi na labda tunajilinganisha na Urusu kwamba kwa sababu wametengwa basi na sisi tunaweza ishi bila wao.
Wajinga hawajui kwamba GDP ya jimbo la Calfornia ni kubwa kuliko GDP ya Africa nzima combined?
Wajifunze Zimbabwe hadi leo inajitafuta na haitakaa irudi kuwa stable kiuchumi kwa siku za hivi karibuni.