Tanzania haiwezi survive bila Wazungu. Rais aache kuhadaa wajinga

Hawa mabeberu wanatusaidia sana hasa upande wa Ajira.

Kuna baadhi ya mashirika watu wanalipwa vizuri Sana .

Tuwaache mabeberu tunawategemea Sana sisi vijana ambao serikali haiwezi kutuajiri na kutupa Mishahara na marupu rupu.
 
Bado hatujafikia hizo levels za siasa kuathiri mapato na mahusiano na nchi nyingine.

Sisi Tanzania tuna nafuu mara elfu kulinganisha na nchi nyingine zinazotuzunguka.
 
Uoga na fikra za kipunda ndio mtaji mzuri kwa wazungu kumtawala mwafrika upuuzi tu!
Wewe una nina cha maana kuwazidi wazungu?. Wale wanawekeza kwenye tafiti na maarifa kwa vijana wao ili wawaze vyema kwa ajili ya nchi zao na jamii kwa ujumla, sisi afrika viongozi wanatengeneza mazuzu ili wabaki madarakani.
 
Nadhani mnakoleza mambo, hakuna sehemu ambayo rais Saima amesema hatutaki ushirikiano na nchi za Ulaya na American, yeye amesema mbona hata Ulaya haya mambo yanatokea? Akachukua mfano wa Trump amekoswa risasi mara 2 lakini warepublic hawajaandamana.
 
Wewe ndio hujaelewa.
 
Wewe una nina cha maana kuwazidi wazungu?. Wale wanawekeza kwenye tafiti na maarifa kwa vijana wao ili wawaze vyema kwa ajili ya nchi zao na jamii kwa ujumla, sisi afrika viongozi wanatengeneza mazuzu ili wabaki madarakani.
Wewe una maoni gani katika hili baada ya kujigundua ni mlinzi wa viongozi kubaki madarakani!
 
Sisi watanzania tuamke na kuwafanya viongozi watutumikie na siyo sisi kutumikia viongozi. Kila siku wapumbavu na mbumbu wanaongezeka kila siku katika jamii yatu alafu tunaona ni sawa. lazima kila mmoja akatae kutumikia viongozi bali atumikie jamii ya watanzania. Tunajua maaskari wengi ni uwezo wao ni mdogo ( hawana maarifa ya kutosha), hivyo kuendelea kuwashabikia sisi tunajichimbia shimo wenyewe, siku tukianza kunyang'anywa mali zetu na wapendwa wetu ndiyo tutaona madhara tulioyatengeneza kwa muda mrefu.
 
Weka hitimisho wananchi wanakusoma!
 
Mungu abariki wazungu make ndio wanafanya familia nyingi sana za Kitanzania watu wanaenda Chooni.Hata hao CCM kila mmoja anaota kufika Marekani au Ulaya.

1.NGO zilizo jaaa Tanzania asilimia 99.9 ziko funded na Wazungu wa Ulaya na Marekani. Hizi NGO Zimeajili makuni kwa maelfu ya raia.
Je kuna NGO kutoka China?

2. Sekita ya utalii asilimia 99.9 ya watalii wa maana wanatoka Ulaya na Marekani. Hao wakikata mrija tutakufa hakika.

3.Vipi vyoo tunavyo jengewa kwa hisani ya watu wa Marekani?

Raiasi anahadaa wajinga kwamba tunaweza jiamulia mambo yetu. Tanzania sio Urusi na labda tunajilinganisha na Urusu kwamba kwa sababu wametengwa basi na sisi tunaweza ishi bila wao.

Wajinga hawajiui kwamba GDP ya jimbo la Calfornia ni kubwa kuliko GDP ya Africa nzima combined?

Wajifunze Zimbabwe hadi leo inajitafuta na haitakaa irudi kuwa stable kiuchumi kwa siku za hivi karibuni.
Anafikiri waarabu wanaweza kutusaidia.
 
Ni diplomatic ties , kumbuka Tz haifungamani na mtu yyote yule ...Kwa watalii nchi yoyote ile ni huru kwenda hata wabongo wanaenda kwao .

Tz inaweza kuachana na mzungu na ikafungamana na communist kama china , ikafika mbali sana wala hmna shida ...Tz haifungamani na nchi yoyote ile dunia kumbuka ,ni suala la kuchagua tu hatuwezi kufa njaa kwa kukataa wazungu .

What if kuna baadhi ya nchi za Africa hazina uhusiano na wazungu kabisa , zipo zinaongea lugha ya kiarabu na maisha yao yao yanaenda .
 
Uoga na fikra za kipunda ndio mtaji mzuri kwa wazungu kumtawala mwafrika upuuzi tu!
Technicaly si uoga ila ni fact hamna uwezo. Why 60 years after uhuru bado mnapokea misaada, mnakopa nje?
Kama ungekuwa si uwogs msingefanya hivyo but too bad dunia ya leo bila kufungua milango huendi mahali
 
Tanzania haifungamani na nchi yoyote ila ina sheria zake katika muingiliano ..
 
Mungu abariki wazungu make ndio wanafanya familia nyingi sana za Kitanzania watu wanaenda Chooni.Hata hao CCM kila mmoja anaota kufika Marekani au Ulaya.

1.NGO zilizo jaaa Tanzania asilimia 99.9 ziko funded na Wazungu wa Ulaya na Marekani. Hizi NGO Zimeajili makuni kwa maelfu ya raia.
Je kuna NGO kutoka China?

2. Sekita ya utalii asilimia 99.9 ya watalii wa maana wanatoka Ulaya na Marekani. Hao wakikata mrija tutakufa hakika.

3.Vipi vyoo tunavyo jengewa kwa hisani ya watu wa Marekani?

Raiasi anahadaa wajinga kwamba tunaweza jiamulia mambo yetu. Tanzania sio Urusi na labda tunajilinganisha na Urusu kwamba kwa sababu wametengwa basi na sisi tunaweza ishi bila wao.

Wajinga hawajiui kwamba GDP ya jimbo la Calfornia ni kubwa kuliko GDP ya Africa nzima combined?

Wajifunze Zimbabwe hadi leo inajitafuta na haitakaa irudi kuwa stable kiuchumi kwa siku za hivi karibuni.

Uoga na fikra za kipunda ndio mtaji mzuri kwa wazungu kumtawala mwafrika upuuzi tu!

Tatizo la Africa ni ufisadi.

Pesa zinazotokana na rasilimali za Afrika hasa Tanganyika zinaishia mikononi wa watu wachache wanaotumiwa na Rais .
Bandari
Maliasili
Madini
Ardhi
Mikopo
Sheria ya manunuzi.
Magari ya kifahari ya serikali ni mengi kuliko CT Scan hospitalini na Ambulance .
Halamashauri zina magari mengi na matumizi makubwa kuliko huduma wanazotoa na makusanyo.

Wawekezaji ni kichaka cha kupiga pesa na mikataba ya kipumbavu .

Matokeo yake ni kuruhusu NGO zisizo na maana yoyote zaidi ya kujaza ujinga vijana ,watoto na wanawake .
 
Dhwahiri!
 
Back
Top Bottom