Tanzania haiwezi survive bila Wazungu. Rais aache kuhadaa wajinga

Jpm alikimbilia wachina wakamnyosha.

Mchina hana huruma na mtu ambaye anashindwa kuendesha nchi yake vizuri na a ashi dwa kudhibiti Rushwa na ufisadi harafu akimbilie kwake kutafuta misaada. China wako macho hawana masihara.
Kabisa, na Mchina hasamehi Madeni yake kamwe, Mchina ni nyoko yule,
 
Hata Simu Na Ndege Ni Wazungu.Katika Afya asilimia Kubwa Ni Wazungu,,Madawa ya ukimwi Ni Wazungu,,Kujenga vyoo mashuleni,,.Hawa Watu kiukweli wanatuongoza Bila kujua..Wazungu wanatuongoza...
Kila Siku tunakimbilia Huko
 
Ra
Mungu abariki wazungu make ndio wanafanya familia nyingi sana za Kitanzania watu wanaenda Chooni.Hata hao CCM kila mmoja anaota kufika Marekani au Ulaya.

1.NGO zilizo jaaa Tanzania asilimia 99.9 ziko funded na Wazungu wa Ulaya na Marekani. Hizi NGO Zimeajili makuni kwa maelfu ya raia.
Je kuna NGO kutoka China?

2. Sekita ya utalii asilimia 99.9 ya watalii wa maana wanatoka Ulaya na Marekani. Hao wakikata mrija tutakufa hakika.

3.Vipi vyoo tunavyo jengewa kwa hisani ya watu wa Marekani?

Raiasi anahadaa wajinga kwamba tunaweza jiamulia mambo yetu. Tanzania sio Urusi na labda tunajilinganisha na Urusu kwamba kwa sababu wametengwa basi na sisi tunaweza ishi bila wao.

Wajinga hawajiui kwamba GDP ya jimbo la Calfornia ni kubwa kuliko GDP ya Africa nzima combined?

Wajifunze Zimbabwe hadi leo inajitafuta na haitakaa irudi kuwa stable kiuchumi kwa siku za hivi karibuni.
Rais mwenyewe kutwa kiguu na njia kuzurura kwenye mataifa ya watu kuomba omba misaada ya kumnufaisha mwanae Abdul na machawa wake.
 
Mungu abariki wazungu make ndio wanafanya familia nyingi sana za Kitanzania watu wanaenda Chooni.Hata hao CCM kila mmoja anaota kufika Marekani au Ulaya.

1.NGO zilizo jaaa Tanzania asilimia 99.9 ziko funded na Wazungu wa Ulaya na Marekani. Hizi NGO Zimeajili makuni kwa maelfu ya raia.
Je kuna NGO kutoka China?

2. Sekita ya utalii asilimia 99.9 ya watalii wa maana wanatoka Ulaya na Marekani. Hao wakikata mrija tutakufa hakika.

3.Vipi vyoo tunavyo jengewa kwa hisani ya watu wa Marekani?

Raiasi anahadaa wajinga kwamba tunaweza jiamulia mambo yetu. Tanzania sio Urusi na labda tunajilinganisha na Urusu kwamba kwa sababu wametengwa basi na sisi tunaweza ishi bila wao.

Wajinga hawajiui kwamba GDP ya jimbo la Calfornia ni kubwa kuliko GDP ya Africa nzima combined?

Wajifunze Zimbabwe hadi leo inajitafuta na haitakaa irudi kuwa stable kiuchumi kwa siku za hivi karibuni.
Usisahau Chanjo watoto chini miaka 5 kwa miaka 60 Uhuru tunapewa bure .....
 
Back
Top Bottom