Tanzania haiwezi survive bila Wazungu. Rais aache kuhadaa wajinga

Watu wamesababisha ukoloni , vita zote kubwa za dunia ...Hao wazungu ndio unawaabudu.

Nenda congo ukaon wenzio wanavytumikishwa kweny migodi ili watu watengeneze smartphone ..
 
Watu wamesababisha ukoloni , vita zote kubwa za dunia ...Hao wazungu ndio unawaabudu.
Hata waarabu wamesababisha na walifanya ukoloni na biashara za watumwa.

Na viongozi wa Afrika walitoa ushirikiano kwenye ukoloni na biashara ya utumwa hadi kufikia Afrika kutawaliwa kirahisi.
Nenda congo ukaon wenzio wanavytumikishwa kweny migodi ili watu watengeneze smartphone ..
Hii yote ni kutokana na ujinga wa viongozi wa huko Congo na Afrika kiujumla.
 
Nakwambia hivi, waafrika na waarabu hawawezi kujiongoza wenyewe.
Wapo viongozi wazuri sana sana tu afrika na Tanzania shida Ni mfumo wa upatikanaji wa viongozi. Sababu usaili wa mgombea hufanywa kwa njia ya maneno mbali na utendaji, hali inayopelekea kuwapata viongozi walio mahiri wa porojo.

Wengine wapo vizuri lkn hawataki tu kuingia kwa mfumo wa siasa. Ilikuwa vema Kama kungeruhusu mgombea binafsi.
 
Nin
Ninaamini hadi mda huu ameitwa kuambiwa asichezee sharubu za simba
 
Nin
Ninaamini hadi mda huu ameitwa kuambiwa asichezee sharubu za simba
Kabisa, na Mchina hasamehi Madeni yake kamwe, Mchina ni nyoko yule,
Mchina anasemaga Ile Swahili senge sana
 
What are the disadvantages of foreign aid?

It can be used to manipulate or control the recipient country's politics, limit its autonomy, and weaken its sovereignty. Additionally, foreign aid can create a dependence on the donor country, which can lead to long-term economic and social problems for the recipient nation.
 
Huyo uliyemquote hayajui yote haya anafurahia misaada tu ya wazungu, akilini mwake anaamini hizo NGOs za wazungu ziko hapa nchini kumwaga mabela kwa sababu wazungu wanampenda sana...

Hakika kuna muda huwa naamini mwafrika ndio binadamu pekee aliyetokana na nyani sijui sokwe.
 
jina lako na post yako Betray each other
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…