Tanzania haiwezi survive bila Wazungu. Rais aache kuhadaa wajinga

Mungu abariki wazungu make ndio wanafanya familia nyingi sana za Kitanzania watu wanaenda Chooni. Hata hao CCM kila mmoja anaota kufika Marekani au Ulaya.

1. NGO zilizo jaaa Tanzania asilimia 99.9 ziko funded na Wazungu wa Ulaya na Marekani. Hizi NGO Zimeajili makuni kwa maelfu ya raia.
Je kuna NGO kutoka China?

2. Sekita ya utalii asilimia 99.9 ya watalii wa maana wanatoka Ulaya na Marekani. Hao wakikata mrija tutakufa hakika.

3. Vipi vyoo tunavyo jengewa kwa hisani ya watu wa Marekani?

Rais anahadaa wajinga kwamba tunaweza jiamulia mambo yetu. Tanzania sio Urusi na labda tunajilinganisha na Urusu kwamba kwa sababu wametengwa basi na sisi tunaweza ishi bila wao.

Wajinga hawajui kwamba GDP ya jimbo la Calfornia ni kubwa kuliko GDP ya Africa nzima combined?

Wajifunze Zimbabwe hadi leo inajitafuta na haitakaa irudi kuwa stable kiuchumi kwa siku za hivi karibuni.
Wapi kasema inaweza survive bila wazungu?
 
Hizi ni Lugha za wendawazimu kutoka Kwa vibaraka wao.

Jiwe Magu aliwawashughulikia na kuwakoromea,Je Tanzania ilikufa?

Subirieni nyie vibaraka mje kushika Nchi ndio mta surrender sovereignty Kwa hao bwana zenu ila sisi haiwezi tokea.

Toka enzi ya Mwl tulikataa kupandws kichwani na Mabeberu na Sasa tunakataa.

Hongera Rais Samia,vibaraka lazima watokwe povu Kwa Ajili umewachana makavu bwana zao.
😀 😀
 
Diaspora wa huko wanakuangaliaje?
Diaspora waliitwa ? Na hao wazungu wanaomiliki hekari kadhaa bongo ...Nchi inaweza kuweka estrictions hata wakisema tusitumie vitu kutoka nchi fulani inawezekana ...Ndio maana ulaya bangi ni halali ila bongo haifai .

Kwa hiyo ni wazo la nchi husika , hata leo wakiamua kuwa mshirika wa china na ku'cut diplomatic ties na mzungu inawezekana na hakuna kitu mnaweza kufanya .
 
Umechomwa ndui wewe au unaropokwa tu? Chanjo ya polio kakupa mchina? Angalia mkono wako wa kushoto huna ndui? Aliekupiga hio ndui unamjua?
 
Umechomwa ndui wewe au unaropokwa tu? Chanjo ya polio kakupa mchina? Angalia mkono wako wa kushoto huna ndui? , hio ndui unamjua?
Ndio maana nikakuambia wewe ni bwege tena kiazi kabisa ,nchi ya TZ narudia haifungamani na nchi yoyote inapokea kokote ...Tz ni mshirika wa karibu wa Marekani miaka mingi tu . Kama angekuwa angekuwa hafungamani NA capitalism hata huyo USA tusingemjua mambo yake , tungebaki chini ya china ..

Unaijua china au unadanganywa kweny movie?

Kwa hyo wachina hawana chanjo ya polio ? Corona walimalizaje kwao na ndio ilipoanzia.
 
Ninaomba mwenye matokeo ya kidato cha Nne ya SSH, atuwekee hapa.

Nimefikiria,nimekuta Kuna shida mahali.
 
Mungu abariki wazungu make ndio wanafanya familia nyingi sana za Kitanzania watu wanaenda Chooni. Hata hao CCM kila mmoja anaota kufika Marekani au Ulaya.

1. NGO zilizo jaaa Tanzania asilimia 99.9 ziko funded na Wazungu wa Ulaya na Marekani. Hizi NGO Zimeajili makuni kwa maelfu ya raia.
Je kuna NGO kutoka China?

2. Sekita ya utalii asilimia 99.9 ya watalii wa maana wanatoka Ulaya na Marekani. Hao wakikata mrija tutakufa hakika.

3. Vipi vyoo tunavyo jengewa kwa hisani ya watu wa Marekani?

Rais anahadaa wajinga kwamba tunaweza jiamulia mambo yetu. Tanzania sio Urusi na labda tunajilinganisha na Urusu kwamba kwa sababu wametengwa basi na sisi tunaweza ishi bila wao.

Wajinga hawajui kwamba GDP ya jimbo la Calfornia ni kubwa kuliko GDP ya Africa nzima combined?

Wajifunze Zimbabwe hadi leo inajitafuta na haitakaa irudi kuwa stable kiuchumi kwa siku za hivi karibuni.
sikia wewe hapa sio suala la uzungu ni suala ya kuzingatia conventions za kidunia zisemavyo
 
Mungu abariki wazungu make ndio wanafanya familia nyingi sana za Kitanzania watu wanaenda Chooni. Hata hao CCM kila mmoja anaota kufika Marekani au Ulaya.

1. NGO zilizo jaaa Tanzania asilimia 99.9 ziko funded na Wazungu wa Ulaya na Marekani. Hizi NGO Zimeajili makuni kwa maelfu ya raia.
Je kuna NGO kutoka China?

2. Sekita ya utalii asilimia 99.9 ya watalii wa maana wanatoka Ulaya na Marekani. Hao wakikata mrija tutakufa hakika.

3. Vipi vyoo tunavyo jengewa kwa hisani ya watu wa Marekani?

Rais anahadaa wajinga kwamba tunaweza jiamulia mambo yetu. Tanzania sio Urusi na labda tunajilinganisha na Urusu kwamba kwa sababu wametengwa basi na sisi tunaweza ishi bila wao.

Wajinga hawajui kwamba GDP ya jimbo la Calfornia ni kubwa kuliko GDP ya Africa nzima combined?

Wajifunze Zimbabwe hadi leo inajitafuta na haitakaa irudi kuwa stable kiuchumi kwa siku za hivi karibuni.
Akili mgando
 
Hizi Airbus na Bombadier mnazopanda zipo controlled na hao wamarekani mnao wachafua, ndege zao zinatumia smart link system. Yaani wakiamua kuwamaliza ni swala la sekunde tu.
 
Sio kweli, ni wazungu ndio hawawezi kuikosa Africa, kama hamuamini waambieni wasije, kwanini wanajileta leta?
Magufulu hakwenda kwao ila wao kutwa walikuwa hapa
Shen enzy type
Umewahi kufika uzunguni? Karibu 95% wazungu naoishi nao hapa hawajui Tanzania; na hawajawahi kufikiria kuja au kuhusu hiyo nchi unayotaja
 
Back
Top Bottom